Kwani hiyo rushwa isiyoeleweka kaombwa yeye au mke wake.Kasema ucheleweshaji kuwateua kwa visingizio vya kutunga Kuna lengo baya la rushwa isiyoeleweka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hiyo rushwa isiyoeleweka kaombwa yeye au mke wake.Kasema ucheleweshaji kuwateua kwa visingizio vya kutunga Kuna lengo baya la rushwa isiyoeleweka
Huyu spika ni wa JINSIA gani? Ana mipasho utadhani Amida.Kasema ucheleweshaji kuwateua kwa visingizio vya kutunga Kuna lengo baya la rushwa isiyoeleweka
Nenda wewe mwanamke ukawe hivyo Viti Maalum..kwani umezuiwa??Spika kasema Kuna maneno uteuzi wa akina mama viti maalumu vyama vya upinzani kwa akina mama
Spika kaonya wabunge viti maalum upinzani wajihadhari na rushwa isiyoeleweka kuwa wataeuliwa huko vyama vyao wakijirahisisha kirushwa wasije kwenda kumshtakia wakikosa kuwa ohh Mimi Kuna Rushwa isiyoeleweka mtu asiseme ooh nilitoa rushwa isiyoeleweka na chama hakikuniteua
Kasema ndio maana Kuna ucheleweshaji Kuna maneno huko vyama vya upinzani
Hizo nafasi vinawafaa wafuatao,Spika kasema Kuna maneno uteuzi wa akina mama viti maalumu vyama vya upinzani kwa akina mama
Spika kaonya wabunge viti maalum upinzani wajihadhari na rushwa isiyoeleweka kuwa wataeuliwa huko vyama vyao wakijirahisisha kirushwa wasije kwenda kumshtakia wakikosa kuwa ohh Mimi Kuna Rushwa isiyoeleweka mtu asiseme ooh nilitoa rushwa isiyoeleweka na chama hakikuniteua
Kasema ndio maana Kuna ucheleweshaji Kuna maneno huko vyama vya upinzani
Na wewe una ushirika kwenye uwendawazimu wake. Yule anavyoongea tu, unajua kichwani kuna shida ya akili, rohoni anaishi na shetani.Kasema ucheleweshaji kuwateua kwa visingizio vya kutunga Kuna lengo baya la rushwa isiyoeleweka
Umemsahau mmoja, Mr. Njaa.Hizo nafasi vinawafaa wafuatao,
Yehodaya
Magonjwa mtambuka
Troll
Motochini
Mama D
Sabaya
Jerry muro
Chalamila
Hapi
Kawe alumin
Mambosasa
Siro
[emoji16][emoji16]ngoja nimuweke
Hivi hawa wafunga rais miguu na mikono wanawataka wa nini? Wanawatafutia nini wapinga maendeleo? Tunasubiri maendeleo maana vigingi vimeng'olewaHahahaaaa! Ndugai anawaza maparachichi tu!