Wamesha m-zoom tayariMbowe ameanza kuwajoyce Mkuya wanaotaka vitimaalumu??
Anatumia VPNMitandao kaonaje na wakati mitandao ilifungwa?
KUMBE wapeni TLP na UDP wagawane hizo nafasi huku pia wanawake wapo,wao wameshasema hawakubaliani na kilichofanyika sasa wapeni wengine au ni lazima wao bac sawaViti maalum kupitia vyama vya saisa, viko vyama bado havijatuletea wabunge wao, tunachoona kwenye mitandao na mahali pengine eti wanalumbana eti wasiwalete sijui wawalete, yaani ni ajabu, aibu kubwa sana kwa vya vya namna hii
Mbunge wa Nkasi ana akili sana.sasa anaumia nn huyu ndu.guy wakati hicho ndicho bosi wake (Jiwe) anachokitaka?! kwamba wawepo ccm peke yao mjengoni kwakuwa wapinzani wanazuia maendeleo!
namshauri wabadili kanuni bungeni nafasi zote wajaze ccm kusudi nchi tupate maendeleo
Kasema ucheleweshaji kuwateua kwa visingizio vya kutunga Kuna lengo baya la rushwa isiyoeleweka
Ili kukwepa hayo yote angewateua yeye mwenyewe toka kwenye chama chake CCM. Shida iko wapi??Spika kasema Kuna maneno uteuzi wa akina mama viti maalumu vyama vya upinzani kwa akina mama
Spika kaonya wabunge viti maalum upinzani wajihadhari na rushwa isiyoeleweka kuwa wataeuliwa huko vyama vyao wakijirahisisha kirushwa wasije kwenda kumshtakia wakikosa kuwa ohh Mimi Kuna Rushwa isiyoeleweka mtu asiseme ooh nilitoa rushwa isiyoeleweka na chama hakikuniteua
Kasema ndio maana Kuna ucheleweshaji Kuna maneno huko vyama vya upinzani