Spika Ndugai aumizwa na chama cha siasa kutoleta Wabunge wa Viti Maalum, adai zingekuwa nafasi za wanaume wangelishafika

Nenda wewe mwanamke ukawe hivyo Viti Maalum..kwani umezuiwa??
 
Inamuuma nini? Wakiwa ndani, oooh wanapinga kila kitu, wako nje bado wanalia tena
 
Mtu mwenye akili hata ndogo kabisa hawezi kuongea hivyo. Lakini kwa sababu shetani amewafanya wawe vipofu, wataendelea kubwabwaja lakini wajue dhalimu haidumu, na mwisho wa dhalimu ni aibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe misukule pia huzungumza [emoji848]
 
Sasa Bw Ndugai kwa nini usiwatonye TAKUKURU wafanye kazi yao?
 
Hizo nafasi vinawafaa wafuatao,
Yehodaya
Magonjwa mtambuka
Troll
Motochini
Mama D
Sabaya
Jerry muro
Chalamila
Hapi
Kawe alumin
Mambosasa
Siro
Mr njaa
Musiba
Bia yetu
 
Teueni basi hata poisi kuliko kuwatumiaaaaa kwa vimishahara vya LAKI 3 huku wakibebwa kwenye makarandinga na kufuga mabata.

Ninyi mnakaa kwenye viyoyozi halafu askari sifa yeo,ni kuwambiwa ninyi makamanda wanaishi kwenye nyumba za mabati.


 
Mnahangaika mara viti maalum, mara PAC, LARC kwani shida iko wapi? Kama mmeweza kufanya ubatili kwenye sanduku la kura, fanyeni ubatili bila woga kote kulikobaki! Nani atawasema? Mnaogopa nini? Mahakama zenu, Police qwenu, Jeshi lenu, Bunge lenu, shida iko wapi... weka watoto wa shule kwenye viti maalum atawasema nani? kusanyeni barabarani hata vichaa mkipenda weka tu
 
Hata hao watakao toa izo B 2 wapinzani wakiwa wanawake wote ni wajinga tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…