Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Dunia inaenda kwa kasi sana!"Wakimalizana na sisi watageukiana wao kwa wao"
Kwa lugha nyepesi ni kwamba waziri wa mambo ya ndani anasisitizwa aviagize vyombo husika vichukue hatua kwa askofu rashidi na waziri ahakikishe hatua zinakua kali kweri-kweri ili muovu huyu asithubutu kurudia kosa husika.Wataalam wa maswala ya kibunge na taratibu zake hebu toeni ufafanuzi.
Kwamba Askofu akirudia kosa Waziri ataitwa kwenye kamati ahojiwe Kwa msingi upi? Kosa la Gwajima ila anaehojiwa ni waziri? Hii imekaa vipi wadau!?
Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
Duh...Kwa lugha nyepesi ni kwamba waziri wa mambo ya ndani anasisitizwa aviagize vyombo husika vichukue hatua kwa askofu rashidi na waziri ahakikishe hatua zinakua kali kweri-kweri ili muovu huyu asithubutu kurudia kosa husika.
Gwajima ni adui wa TaifaYani leo nimepata hasira,,katika mambo yote yanayosumbua wananchi ,mmepata mda wa kumjadiili Gwajima🤨.
WTH!
Ndiyo kilichopo now"Wakimalizana na sisi watageukiana wao kwa wao"
ktk mawaziri ambao wamekuwa wapole kupita maelezo ni Waziri wa mambo ya ndani.Spika Job Ndugai amesema vyombo vingine vya serikali na chama vinapaswa kumuwajibisha Josephat Gwajima kutokana na kauli zake
Amesema kama hatowajibiswa na akarudia makosa aliyokutwa nayo kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge watalazimika kuitwa wao
Amesema Waziri wa Mambo ya Ndani atapaswa kuhojiwa na Kamati ya Maadili endapo makosa hayo yatajirudia
Jumapili kibwetere atakuwa wabariiiidi."""""Tukutane j pili""""
Hawawez mfanya chochote CCM maana waziri wa afya alitoa maelekezo kwa plc wamushughulikie lkn wazir amepuuzwaSpika Job Ndugai amesema vyombo vingine vya serikali na chama vinapaswa kumuwajibisha Josephat Gwajima kutokana na kauli zake
Amesema kama hatowajibiswa na akarudia makosa aliyokutwa nayo kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge watalazimika kuitwa wao
Amesema Waziri wa Mambo ya Ndani atapaswa kuhojiwa na Kamati ya Maadili endapo makosa hayo yatajirudia
Utakuwa una upeo mdogo sana kama hujaelewa maana ya hiyo kauli ya spika .Wataalam wa maswala ya kibunge na taratibu zake hebu toeni ufafanuzi.
Kwamba Askofu akirudia kosa Waziri ataitwa kwenye kamati ahojiwe Kwa msingi upi? Kosa la Gwajima ila anaehojiwa ni waziri? Hii imekaa vipi wadau!?
Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
Acha kijifariji, hao wahuni wanajuana"Wakimalizana na sisi watageukiana wao kwa wao"
Gwajima & Slaa, tukutane mwaka 2022 - Job ******.Spika Job Ndugai amesema vyombo vingine vya serikali na chama vinapaswa kumuwajibisha Josephat Gwajima kutokana na kauli zake
Amesema kama hatowajibiswa na akarudia makosa aliyokutwa nayo kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge watalazimika kuitwa wao
Amesema Waziri wa Mambo ya Ndani atapaswa kuhojiwa na Kamati ya Maadili endapo makosa hayo yatajirudia
Tundu Lissu ana maono sana bwana yule..."Wakimalizana na sisi watageukiana wao kwa wao"