Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Wamuite IGPSpika Job Ndugai amesema vyombo vingine vya serikali na chama vinapaswa kumuwajibisha Josephat Gwajima kutokana na kauli zake
Amesema kama hatowajibiswa na akarudia makosa aliyokutwa nayo kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge watalazimika kuitwa wao
Amesema Waziri wa Mambo ya Ndani atapaswa kuhojiwa na Kamati ya Maadili endapo makosa hayo yatajirudia