Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
wote ni wabovu balaa hakuna wa maana hata mmojaWaziri na IGP wote wanauelewa mkubwa, wanaona wanavyotaka kuingizwa kwa nguvu kwenye Mambo yanayo itaji hekima wao watumie nguvu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wote ni wabovu balaa hakuna wa maana hata mmojaWaziri na IGP wote wanauelewa mkubwa, wanaona wanavyotaka kuingizwa kwa nguvu kwenye Mambo yanayo itaji hekima wao watumie nguvu.
Kaa na usubiri uone kama kuna jinai atafunguliwa. Wewe mwenyewe unaona wanavyo laanika wanaobeza ukuu wa Mungu. Dkt Magufuli was a voice of God and Gwajima ni mmoja ya watu waliosimamia kile ambacho Dkt Magufuli alituasa. So serikali inapaswa kielewa na si kulazimishawewe ndio prosecutor hadi unasema gwajima hana jinai
Pole Sana msukule wa gwajima na dikteta,Kaa na usubiri uone kama kuna jinai atafunguliwa. Wewe mwenyewe unaona wanavyo laanika wanaobeza ukuu wa Mungu. Dkt Magufuli was a voice of God and Gwajima ni mmoja ya watu waliosimamia kile ambacho Dkt Magufuli alituasa. So serikali inapaswa kielewa na si kulazimisha
Very few have been vaccined yes, but that doesn't make vaccines UNSAFE mkuu.The feeling is mutual...and if you're interested that's upon you. The majority are not. Last time i checked we were 60m, plse remind me how many have been vaccinated so far? [emoji23][emoji23][emoji23]. I see those million shots are about to expire.[emoji4][emoji4]
Simbachawend amepwaya...ktk mawaziri ambao wamekuwa wapole kupita maelezo ni Waziri wa mambo ya ndani.
Waziri amekuwa mpole sana, amekuwa mzito sana kutoa makemeo na makaripio.
kuna kauli nyingi sana zinatolewa ambazo zinaashiria uvunjifu wa amani na kauli hizo zinatolewa na baadhi ya viongozi tena wa dini!!!
Waziri wa Mambo ya ndani afahamu kuwa amebeba dhamana ya Amani na Usalama wa Wananchi wote wa Tz, hayupo hapo kuwachekea wavunjifu wa amani.
Tunamtaka Waziri wetu abadilike.
Sent using Jamii Forums mobile app
sana.Simbachawend amepwaya...
Uwezo wako wa kupambanua mambo ni mdogo sana,ingefaa ukae kimya.
Waumini wa ngwajima wakenya?
Kusema Rais amedanganya kuchanywa in Rais wa Burundi?
Kushawishi umma usimwamini Rais na vyombo vya dola vipo,vinaona na kusikia na havifanyi lolote,hapo hakuna kesi?
Lipi kosa kubwa.
1. Ben saanane kuhoji elimu ya mwendazake(akapotezwa na vyombo hivihivi vya dola)
2. Ngwajima kuuaminisha umma katikati ya maangamizi ya covid,kuwa chanjo haifai,Rais,makamu wa Raid,waziri mkuu na viongozi wengine waliochanjwa hawakuchanjwa kiuahalisia Bali wamedanganya?
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
yeye tapeli Gwajima ndio ilitakiwa atoe Ushaidi kuthibitisha hizo tuhuma zake, sio kazi ya mtuhumiwa (serikali) kuthibitisha hizo tuhuma fake za Tapeli gwajima
Uwezo wako wa kupambanua mambo ni mdogo sana,ingefaa ukae kimya.
Waumini wa ngwajima wakenya?
Kusema Rais amedanganya kuchanywa in Rais wa Burundi?
Kushawishi umma usimwamini Rais na vyombo vya dola vipo,vinaona na kusikia na havifanyi lolote,hapo hakuna kesi?
Lipi kosa kubwa.
1. Ben saanane kuhoji elimu ya mwendazake(akapotezwa na vyombo hivihivi vya dola)
2. Ngwajima kuuaminisha umma katikati ya maangamizi ya covid,kuwa chanjo haifai,Rais,makamu wa Raid,waziri mkuu na viongozi wengine waliochanjwa hawakuchanjwa kiuahalisia Bali wamedanganya?
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Bunge limemshindwa Gwajima. Kama kalidhalilisha bunge kwanini bunge lisimwajibishe kuendana na kanuni zake?
Ndugai acha woga. Gwajima kama ana makosa ya kisiasa basi chama kimchukulie hatua. Vilevile kama ana makosa ya kiutendaji kama mbunge, basi bunge limshughulikie.
Waziri wa mambo ya ndani asilazimishwe kuingia kwenye hizi drama
Ingekuwa wana munkari wa kujadili tozo tungewaona wa maana, huyu jamaa siku hizi kesha wasahau wanyonge kama walivyo wenzake.Yani leo nimepata hasira,,katika mambo yote yanayosumbua wananchi ,mmepata mda wa kumjadiili Gwajima🤨.
WTH!
Spika Job Ndugai amesema vyombo vingine vya serikali na chama vinapaswa kumuwajibisha Josephat Gwajima kutokana na kauli zake
Amesema kama hatowajibiswa na akarudia makosa aliyokutwa nayo kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge watalazimika kuitwa wao
Amesema Waziri wa Mambo ya Ndani atapaswa kuhojiwa na Kamati ya Maadili endapo makosa hayo yatajirudia
😆😆😆 Imenikumbisha hadithi ya zamani sana ya mtoto Karumekenge aliyekataa kwenda shule.Kosa la Gwajima ila anaehojiwa ni waziri? Hii imekaa vipi wadau!?
Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
Ngwajima achukuliwe hatua za kisheria na kinidhamuSasa hapo huoni kuna la kujifunza baada ya kupotezwa huyo jamaa Je nini kikatokea aliekuwa kinara kwa sasa yuko wapi naye ?
Unataka waliopo wapite mulemule? Unawatakia mema kweli?
Tumuogope Mungu ndugu yangu !
Mambo mengine ni ya kuacha yapite kama upepo!
Nadhani umelemewa na usingizi was kutokupambanuaUmma upi wa watanzania aloushawishi?
Waumini wa kanisani kwake ndio useme Umma wa watanzania?
Mbona hamshangai pombe na sigara kukatazwa waumini wasitumie wakati serikali inakusanya kodi kubwa sana?
Kwanini Chanjo ya Covid 19 kukatazwa kanisani kwa waumini ndio iwe nongwa?
Ngwajima achukuliwe hatua za kisheria na kinidhamu
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app