Spika Ndugai: Gwajima akirudia tutamuita Waziri wa Mambo ya Ndani na kumhoji

Spika Ndugai: Gwajima akirudia tutamuita Waziri wa Mambo ya Ndani na kumhoji

Gwajima endelea kuwatwanga mpaka watoke vumbi jeusi 😂😂😂
 
Spika Job Ndugai amesema vyombo vingine vya serikali na chama vinapaswa kumuwajibisha Josephat Gwajima kutokana na kauli zake

Amesema kama hatowajibiswa na akarudia makosa aliyokutwa nayo kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge watalazimika kuitwa wao

Amesema Waziri wa Mambo ya Ndani atapaswa kuhojiwa na Kamati ya Maadili endapo makosa hayo yatajirudia
Maana yake watamchunguza uraia wake....... Hahahahaha..,..nchi hii!!!!
 
Hatuwezi kusema hakuna nidhamu serikalini.
Hili ni jambo zuri ambalo litarudisha amani katika nchi.
Kwa hiyo nadhani Askofu Gwajima ameshamuelewa Spika.
 
Askofu Gwajima alisema maswala ya madhara ya chanjo ni mambo ya kiimani kati ya yeye na waumini wake...wao wanaamini chanjo haifai kama ambavyo makanisa mengine yanaamini pombe haifai, kuvuta sigara hakufai...sasa kwa nini akamatwe ?🤣
 
Gwajima ni mfuasi wa jiwe na alishabikis udikteta wake sasa acha aonjeshwe raha ya udikteta aliofurahia enzi hizo.
 
Gwajima ni mfuasi wa jiwe na alishabikis udikteta wake sasa acha aonjeshwe raha ya udikteta aliofurahia enzi hizo.
Anayefuata falsafa za jiwe kwenye mambo ya chanjo ya UVIKO 19, ANALAUMIWA... vile aliyebadiri msimamo toka ule wa jiwe kuja mpya NAYE ANALAUMIWA... tufanyeje sasa..!!? WOTE WANASEMWA..
 
Says who that they are safe? 😂😂

I'm right here show me and tell me what the side effects are long-term short-term and we'll go from there but until then I'm not getting it it's in God's hands, and lol I always knew the vaccines are safe but I’m still choosing not to get vaccinated 😂 I just have no interest at all in getting it
 
Says who that they are safe? [emoji23][emoji23]

I'm right here show me and tell me what the side effects are long-term short-term and we'll go from there but until then I'm not getting it it's in God's hands, and lol I always knew the vaccines are safe but I’m still choosing not to get vaccinated [emoji23] I just have no interest at all in getting it
If you are not interested that's upon you.

Don't be like the self proclaimed "man of God" Gwajima who is trying very hard to convince the entire world through his Church that vaccines ain't worth it.
 
Askofu Gwajima alisema maswala ya madhara ya chanjo ni mambo ya kiimani kati ya yeye na waumini wake...wao wanaamini chanjo haifai kama ambavyo makanisa mengine yanaamini pombe haifai, kuvuta sigara hakufai...sasa kwa nini akamatwe ?🤣
Kwaiyo nakusema Rais Samia na serikali yake wameongwa na mabeberu hili waruhusu chanzo nalo ni la kiimani zaidi? nyie misukule ya gwajima muda mwingine mjitambue zaidi jaman,lol
 
Kuna tofauti gani kati ya msimamo ya Bishop Gwajima na Dkt.Polepole ?
 
Kwaiyo nakusema Rais Samia na serikali yake wameongwa na mabeberu hili waruhusu chanzo nalo ni la kiimani zaidi? nyie misukule ya gwajima muda mwingine mjitambue zaidi jaman,lol
Wewe unafikirije utakubali vipi watz wote wafanyiwe majaribio Kama hujahongwa Nini?
Chanjo ipo kwenye clinical trial.
 
Askofu Gwajima alisema maswala ya madhara ya chanjo ni mambo ya kiimani kati ya yeye na waumini wake...wao wanaamini chanjo haifai kama ambavyo makanisa mengine yanaamini pombe haifai, kuvuta sigara hakufai...sasa kwa nini akamatwe ?[emoji1787]
Uwezo wako wa kupambanua mambo ni mdogo sana,ingefaa ukae kimya.
Waumini wa ngwajima wakenya?
Kusema Rais amedanganya kuchanywa in Rais wa Burundi?
Kushawishi umma usimwamini Rais na vyombo vya dola vipo,vinaona na kusikia na havifanyi lolote,hapo hakuna kesi?

Lipi kosa kubwa.
1. Ben saanane kuhoji elimu ya mwendazake(akapotezwa na vyombo hivihivi vya dola)

2. Ngwajima kuuaminisha umma katikati ya maangamizi ya covid,kuwa chanjo haifai,Rais,makamu wa Raid,waziri mkuu na viongozi wengine waliochanjwa hawakuchanjwa kiuahalisia Bali wamedanganya?

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Hatuwezi kusema hakuna nidhamu serikalini.
Hili ni jambo zuri ambalo litarudisha amani katika nchi.
Kwa hiyo nadhani Askofu Gwajima ameshamuelewa Spika.

kumyamazisha gwajima ni kujibu hoja zake
 
Kwaiyo nakusema Rais Samia na serikali yake wameongwa na mabeberu hili waruhusu chanzo nalo ni la kiimani zaidi? nyie misukule ya gwajima muda mwingine mjitambue zaidi jaman,lol

watoke wasibitishe kama hawajaongwa
 
Spika Job Ndugai amesema vyombo vingine vya serikali na chama vinapaswa kumuwajibisha Josephat Gwajima kutokana na kauli zake

Amesema kama hatowajibiswa na akarudia makosa aliyokutwa nayo kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge watalazimika kuitwa wao

Amesema Waziri wa Mambo ya Ndani atapaswa kuhojiwa na Kamati ya Maadili endapo makosa hayo yatajirudia
Kuna viumbe vingine havifugiki...!
 
Back
Top Bottom