Hebu nieleweshe wewe mkuu, sio ulivyo elewa wewe.. Nieleweshe spika amesema nini na ana maana gani.Utakuwa una upeo mdogo sana kama hujaelewa maana ya hiyo kauli ya spika .
Yeye atahojiwa na nani kwa kukandamiza haki za wananchi kuona bunge Live?Spika Job Ndugai amesema vyombo vingine vya serikali na chama vinapaswa kumuwajibisha Josephat Gwajima kutokana na kauli zake
Amesema kama hatowajibiswa na akarudia makosa aliyokutwa nayo kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge watalazimika kuitwa wao
Amesema Waziri wa Mambo ya Ndani atapaswa kuhojiwa na Kamati ya Maadili endapo makosa hayo yatajirudia
Wote wachanjwe. Pia posho zipunguzwe proportionately.Halafu anawapiga biti.
Afadhali apate muda wa kuhubiri neno la Mungu, sio kuleta siasa na taarab madhabahuniJumapili kibwetere atakuwa wabariiiidi.
Waziri ndio ana mapolisi (IGP) wanajua kuna jinai wamekaa kimya!!!... Waziri wa Afya katoa taarifa Mchungaji akamatwe ahojiwe (Waziri na polisi wake kimya Hadi Bunge limeamua kuchukua hatua)Wataalam wa maswala ya kibunge na taratibu zake hebu toeni ufafanuzi.
Kwamba Askofu akirudia kosa Waziri ataitwa kwenye kamati ahojiwe Kwa msingi upi? Kosa la Gwajima ila anaehojiwa ni waziri? Hii imekaa vipi wadau!?
Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
Imetoka iyo.. Wamemshindwa....!Spika Job Ndugai amesema vyombo vingine vya serikali na chama vinapaswa kumuwajibisha Josephat Gwajima kutokana na kauli zake
Amesema kama hatowajibiswa na akarudia makosa aliyokutwa nayo kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge watalazimika kuitwa wao
Amesema Waziri wa Mambo ya Ndani atapaswa kuhojiwa na Kamati ya Maadili endapo makosa hayo yatajirudia
Bunge la hovyo kabisa hili. Matatizo yooooooooooooooooooooooooooote ya watanzania with regard to Bunge wameona la Gwajima ndilo pressing. Stpid!Yani leo nimepata hasira,,katika mambo yote yanayosumbua wananchi ,mmepata mda wa kumjadiili Gwajima🤨.
WTH!
Kwenda kule, embu orodhesha hizo kauli unazotaka jeshi likamate watu?? Au unamaanisha kauli za Hamza?!ktk mawaziri ambao wamekuwa wapole kupita maelezo ni Waziri wa mambo ya ndani.
Waziri amekuwa mpole sana, amekuwa mzito sana kutoa makemeo na makaripio.
kuna kauli nyingi sana zinatolewa ambazo zinaashiria uvunjifu wa amani na kauli hizo zinatolewa na baadhi ya viongozi tena wa dini!!!
Waziri wa Mambo ya ndani afahamu kuwa amebeba dhamana ya Amani na Usalama wa Wananchi wote wa Tz, hayupo hapo kuwachekea wavunjifu wa amani.
Tunamtaka Waziri wetu abadilike.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mbado...!! kwa tone ya kichagga"Wakimalizana na sisi watageukiana wao kwa wao" by Tundu Lissu
CHADEMA ni kichaka cha wahalifu wa aina zote;Kwenda kule, embu orodhesha hizo kauli unazotaka jeshi likamate watu?? Au unamaanisha kauli za Hamza?!
Umu jukwaani kuna machizi wengiCHADEMA ni kichaka cha wahalifu wa aina zote;
magaidi, majambazi, wauza madawa, wote wamejificha ktk chama cha chadema.
Hapo anamaanisha polisi wafanye kazi yao na vyombo vyote vya ulinzi na usalama.Hebu nieleweshe wewe mkuu, sio ulivyo elewa wewe.. Nieleweshe spika amesema nini na ana maana gani.
Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
CHADEMA wanatamani Gwajima afukuzwe wapate mgombea maana kwa Sasa hoi kabisa.Spika ndungai na wajumb wa kamati husika ni CCM tupu.
Hakuna CHADEMA kwenye hayo maamuzi yaliyofanyika kwa huyo kibwetere wenu.
Hili mtamalizana nyie mataga pori wenyewe kwa wenyewe huko Lumumba na Bungeni, msiwahamishie CHADEMA matatizo yenu.
Nyinyi ni Chadema jina,fikra na matendo yenu yote ni kama Fisiemu.Spika ndungai na wajumbe wa kamati husika ni CCM tupu.
Hakuna CHADEMA kwenye hayo maamuzi yaliyofanyika kwa huyo kibwetere wenu.
Hili mtamalizana nyie mataga pori wenyewe kwa wenyewe huko Lumumba na Bungeni, msiwahamishie CHADEMA matatizo yenu.
Wewe wasema lkn sisi tunafahamiana humu kulingana na misimamo yetu. Kama wewe ni sukuma gang au sijui gwajiboy hayo ni yako.Nyinyi ni Chadema jina,fikra na matendo yenu yote ni kama Fisiemu.
Tena awamu hii ndo mmedhihirisha kabisa nyi ni CCM-B so msitumie nguvu kubishana na watu ambao wameamua kutofungamana na huo ulaghai wenu wa vyama vya siasa