Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Wamuite IGPSpika Job Ndugai amesema vyombo vingine vya serikali na chama vinapaswa kumuwajibisha Josephat Gwajima kutokana na kauli zake
Amesema kama hatowajibiswa na akarudia makosa aliyokutwa nayo kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge watalazimika kuitwa wao
Amesema Waziri wa Mambo ya Ndani atapaswa kuhojiwa na Kamati ya Maadili endapo makosa hayo yatajirudia
Ukikaa nchale ukisimama nchale.Anayefuata falsafa za jiwe kwenye mambo ya chanjo ya UVIKO 19, ANALAUMIWA... vile aliyebadiri msimamo toka ule wa jiwe kuja mpya NAYE ANALAUMIWA... tufanyeje sasa..!!? WOTE WANASEMWA..
Ndungai awe anaona aibu wakati mwingine, sio kila jambo lazima ulitolee tamko.Spika Job Ndugai amesema vyombo vingine vya serikali na chama vinapaswa kumuwajibisha Josephat Gwajima kutokana na kauli zake
Amesema kama hatowajibiswa na akarudia makosa aliyokutwa nayo kwenye Kamati ya Maadili ya Bunge watalazimika kuitwa wao
Amesema Waziri wa Mambo ya Ndani atapaswa kuhojiwa na Kamati ya Maadili endapo makosa hayo yatajirudia
Ndugai amegundua hamuwezi Gwajima ndiyo maana anawalazimisha wengine wabebe mzigo.Wataalam wa maswala ya kibunge na taratibu zake hebu toeni ufafanuzi.
Kwamba Askofu akirudia kosa Waziri ataitwa kwenye kamati ahojiwe Kwa msingi upi? Kosa la Gwajima ila anaehojiwa ni waziri? Hii imekaa vipi wadau!?
Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
Ujinga, nothing will be done mkuu. Gwajima hana jinai.Kwa lugha nyepesi ni kwamba waziri wa mambo ya ndani anasisitizwa aviagize vyombo husika vichukue hatua kwa askofu rashidi na waziri ahakikishe hatua zinakua kali kweri-kweri ili muovu huyu asithubutu kurudia kosa husika.
The feeling is mutual...and if you're interested that's upon you. The majority are not. Last time i checked we were 60m, plse remind me how many have been vaccinated so far? 😂😂😂. I see those million shots are about to expire.😊😊If you are not interested that's upon you.
Don't be like the self proclaimed "man of God" Gwajima who is trying very hard to convince the entire world through his Church that vaccines ain't worth it.
Kwamba Wizara ya Mambo ya Ndani ambayo ndio inasajili makundi mbalimbali, iangalie kama kanisa la Askofu Gwajima linatekeleza majukumu yake kwa kadri ya masharti ya usajili! Yaani- kuna uwezekano wa kulifungia kanisa kama alivyofanya Kagame kule Rwanda! Musiki Mtamu, tusubiri! Na Gwajima amejibu mapigo jana hio hio kwenye mahubiri yake!!!!Wataalam wa maswala ya kibunge na taratibu zake hebu toeni ufafanuzi.
Kwamba Askofu akirudia kosa Waziri ataitwa kwenye kamati ahojiwe Kwa msingi upi? Kosa la Gwajima ila anaehojiwa ni waziri? Hii imekaa vipi wadau!?
Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
yeye tapeli Gwajima ndio ilitakiwa atoe Ushaidi kuthibitisha hizo tuhuma zake, sio kazi ya mtuhumiwa (serikali) kuthibitisha hizo tuhuma fake za Tapeli gwajimawatoke wasibitishe kama hawajaongwa
wewe ndio prosecutor hadi unasema gwajima hana jinaiUjinga, nothing will be done mkuu. Gwajima hana jinai.
yeye tapeli Gwajima ndio ilitakiwa atoe Ushaidi kuthibitisha hizo tuhuma zake, sio kazi ya mtuhumiwa (serikali) kuthibitisha hizo tuhuma fake za Tapeli gwajima
Una maana mpambano wa Askofu na Mungumtu?Acha kijifariji, hao wahuni wanajuana
Achana naye SpikaWataalam wa maswala ya kibunge na taratibu zake hebu toeni ufafanuzi.
Kwamba Askofu akirudia kosa Waziri ataitwa kwenye kamati ahojiwe Kwa msingi upi? Kosa la Gwajima ila anaehojiwa ni waziri? Hii imekaa vipi wadau!?
Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
Kwani yeye ni kamanda wa vyombo Vya ulinzi na usalama? ANAWAAMRISHA KAMA NANI?Hapo anamaanisha polisi wafanye kazi yao na vyombo vyote vya ulinzi na usalama.
Watu kama nyinyi ndo mnatakiwa muitwe vituo vya polisi maana inaonekana unajua hao majambazi na magaidi na wauza madawa wa chadema .....Ushauri tu msipende kujenga chuki kwenye jamii kwa ujinga wa uvyama leo hii yule Hamza alie ua maaskari wetu kuna picha kavaa nguo za ccm kwa hiyo tuwaite ccm magaidi hiyo haifai.Tujengeni umoja wa kitaifa hizi chuki tulizo nazo hazitatufikisha popote.CHADEMA ni kichaka cha wahalifu wa aina zote;
magaidi, majambazi, wauza madawa, wote wamejificha ktk chama cha chadema.
Mmh Sawa mkuu,Achana naye Spika
Waziri ni mhimili mwingine wa serikali unaojitegemea hana huo ubavu
Waandike baruaKwa lugha nyepesi ni kwamba waziri wa mambo ya ndani anasisitizwa aviagize vyombo husika vichukue hatua kwa askofu rashidi na waziri ahakikishe hatua zinakua kali kweri-kweri ili muovu huyu asithubutu kurudia kosa husika.
Ndugai ni mtu mwenye chuki snWataalam wa maswala ya kibunge na taratibu zake hebu toeni ufafanuzi.
Kwamba Askofu akirudia kosa Waziri ataitwa kwenye kamati ahojiwe Kwa msingi upi? Kosa la Gwajima ila anaehojiwa ni waziri? Hii imekaa vipi wadau!?
Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app