Spika Ndugai: Gwajima akirudia tutamuita Waziri wa Mambo ya Ndani na kumhoji

wewe ndio prosecutor hadi unasema gwajima hana jinai
Kaa na usubiri uone kama kuna jinai atafunguliwa. Wewe mwenyewe unaona wanavyo laanika wanaobeza ukuu wa Mungu. Dkt Magufuli was a voice of God and Gwajima ni mmoja ya watu waliosimamia kile ambacho Dkt Magufuli alituasa. So serikali inapaswa kielewa na si kulazimisha
 
Ninadhani wanamuogopa Gwajiboy. Akifanya kosa mara nyingine si wamuite wamuhoji tena na kuchukua hatua nyingine?? Waziri aje kueleza nini sasa??

This is a coded message, arrest the dude next time he spits his vile words!! Kama jamaa haja yamaza jumapili kanisani, naona akitupa jela jumapili jioni!!
 
Pole Sana msukule wa gwajima na dikteta,
 
Very few have been vaccined yes, but that doesn't make vaccines UNSAFE mkuu.

In Africa the disaster didn't hit that hard like Europe. That's why we have the guts to question the credibility of the vaccines.
 
Simbachawend amepwaya...
 


Umma upi wa watanzania aloushawishi?

Waumini wa kanisani kwake ndio useme Umma wa watanzania?

Mbona hamshangai pombe na sigara kukatazwa waumini wasitumie wakati serikali inakusanya kodi kubwa sana?

Kwanini Chanjo ya Covid 19 kukatazwa kanisani kwa waumini ndio iwe nongwa?
 
yeye tapeli Gwajima ndio ilitakiwa atoe Ushaidi kuthibitisha hizo tuhuma zake, sio kazi ya mtuhumiwa (serikali) kuthibitisha hizo tuhuma fake za Tapeli gwajima


Kwani amekutapeli kitu gani? Mbona unaonesha kuwa na chuki binafsi naye? Kulikoni?
 
Bunge limemshindwa Gwajima. Kama kalidhalilisha bunge kwanini bunge lisimwajibishe kuendana na kanuni zake?

Ndugai acha woga. Gwajima kama ana makosa ya kisiasa basi chama kimchukulie hatua. Vilevile kama ana makosa ya kiutendaji kama mbunge, basi bunge limshughulikie.

Waziri wa mambo ya ndani asilazimishwe kuingia kwenye hizi drama
 


Sasa hapo huoni kuna la kujifunza baada ya kupotezwa huyo jamaa Je nini kikatokea aliekuwa kinara kwa sasa yuko wapi naye ?

Unataka waliopo wapite mulemule? Unawatakia mema kweli?

Tumuogope Mungu ndugu yangu !

Mambo mengine ni ya kuacha yapite kama upepo!
 


Mbona ameshapewa adhabu stahiki au wewe unaadhabu zako nyingine?

Acha kuchochea kuni haitasaidia!

Rev. Gwajima ni MwanawaMungu!
 
Yani leo nimepata hasira,,katika mambo yote yanayosumbua wananchi ,mmepata mda wa kumjadiili Gwajima🤨.
WTH!
Ingekuwa wana munkari wa kujadili tozo tungewaona wa maana, huyu jamaa siku hizi kesha wasahau wanyonge kama walivyo wenzake.
 

Ni ujinga mkubwa kupita kiasi kwa Ndugai & the Gang kuamini kwamba Jeshi la Polisi na Mahakama ni vyombo vinavyoweza kutumika kumtoa mtu mapepo ya ujinga aliyonayo.
 
Ngwajima achukuliwe hatua za kisheria na kinidhamu

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Nadhani umelemewa na usingizi was kutokupambanua

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…