Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mzee ana laana huyoHivi jizi hili lililotumia mabilioni ya pesa zetu kwa matibabu India bado linaweweseka na Lissu tu? Je jukumu LA kupeleka maji vijijini ni la nani? Ni ka serikali. Kama serikali inaona kijiji fulani hakina maji kwa nini kisipeleke?
Kuhusu madeni usimbishie yeye ndio anajua status ya wabungewake anaowaongoza pale mjengoni.Mbona sioni la maana ktk jimbo lake alichofanya?
mbona anapenda ku-attack sana wenzie?
Aliwahi kusema hadharani kuwa Lema ana madeni makubwa sana na bunge likiisha hana fedha za malipo.
Kuna kitu hakiko salama kichwani.
Ndio, anatakiwa kuwamuongeaji tu, ama kwalugha nyingine mpigadebe bungeni ama diwani na hasa kaziyake ya uwakili inamfaa sana.Lissu ni mwanaharakati .
Vyanzo vya maji havijengwi na wabunge,vinajengwa na Serikali kupitia Kodi.Leo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lissu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi!
Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka kumi!
My take
Nguvu aliyoitumia Lissu mzee wa MIGA kutetea Acacia angeielekeza kutetea wananchi wa jimbo lake wangefika mbali sana kwa miaka 10.
Inasikitisha sana wananchi hawana maji alafu yeye anatetea wezi wa madini !!!
Jielekeza kwenye shutuma ondoa ushabiki, watu wanataka maji. Ushabiki haulizi maji. Tujifunze kukubaliana kwente mapungufu yetu kwa kujenga nchi bora.Hivi huyu bwana hana kazi nyingine hapo Bungeni? anahangaika tu ooh Mbowe ooh Lema ooh Lisu , huyu jamaa vipi? kwakweli hapa tumepatikana , mambo yamaana hayaguswi hata kidogo hii ni takataka kabisa
Kwa lugha rahisi anasema serikali imefeli kupeleka maji kwenye hilo jimbo.Leo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lissu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi!
Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka kumi!
My take
Nguvu aliyoitumia Lissu mzee wa MIGA kutetea Acacia angeielekeza kutetea wananchi wa jimbo lake wangefika mbali sana kwa miaka 10.
Inasikitisha sana wananchi hawana maji alafu yeye anatetea wezi wa madini !!!
Kazi ya Mbunge ni kupeleka maji? Lissu amekua mbunge kwa vipindi vingapi? Lissu sio mbunge, mbona asimtaje Kassim kuwa nyumbani kwake hakuna hata lami? Tujenge hojaJielekeza kwenye shutuma ondoa ushabiki, watu wanataka maji. Ushabiki haulizi maji. Tujifunze kukubaliana kwente mapungufu yetu kwa kujenga nchi bora.
Ni kuwajengea visima vya maji jimboni kwa Lissu! UmefurahiKazi ya mbunge ni nini
Unaijua Kongwa?Leo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lissu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi!
Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka kumi!
My take
Nguvu aliyoitumia Lissu mzee wa MIGA kutetea Acacia angeielekeza kutetea wananchi wa jimbo lake wangefika mbali sana kwa miaka 10.
Inasikitisha sana wananchi hawana maji alafu yeye anatetea wezi wa madini !!!
Jamani mbona mnachanganya mada inamaana ndo pay master wa bunge?kwamba hakuna idara ya uhasibu so kila kitu kinachohusiana na fedha anakijua Basi huyo atakuwa mbeya na mfitinishiKuhusu madeni usimbishie yeye ndio anajua status ya wabungewake anaowaongoza pale mjengoni.
Ndugu yangu Etwege, kuna mada nyingine unazileta humu ndani hata wewe mwenyewe huwezi kuzitetea, suala la maji nchi hii lipo karibu maeneo yote hasa kwenye Halmashauri za Wilaya, kwa mada hii hata Spika humtendei haki, kwasababu hii central zone ya nchi yetu kijiografia (imepitiwa na Rift Valley) vyanzo vya maji ni tatizo, wakati mwingine tujadili issues sio watuLisu alijifunza kwa Ndugai?
Kwa hiyo Jimbo lina endelea kwa jinsi Mbunge wake alivyo mahili kuongea....!!?Leo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lissu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi!
Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka kumi!
My take
Nguvu aliyoitumia Lissu mzee wa MIGA kutetea Acacia angeielekeza kutetea wananchi wa jimbo lake wangefika mbali sana kwa miaka 10.
Inasikitisha sana wananchi hawana maji alafu yeye anatetea wezi wa madini !!!
Jielekeza kwenye shutuma ondoa ushabiki, watu wanataka maji. Ushabiki haulizi maji. Tujifunze kukubaliana kwente mapungufu yetu kwa kujenga nchi bora.
Kwa hiyo Jimbo lina endelea kwa jinsi Mbunge wake alivyo mahili kuongea....!!?
Mipango mibovu ya serikali lawama wanatupiwa Wabunge. By the way CCM hawapeleki maendeleo kwenye majimbo ya Wapinzani. Mwendazake alishatupa hiyo siri... Sasa sijui Ndugai alitaka Lissu atumie pesa yake ya mfukoni...!!
Ujinga wetu watanzania ndiyo unaotuadhibu kwa kupata viongozi aina ya NdugaiHivi huyu bwana hana kazi nyingine hapo Bungeni? anahangaika tu ooh Mbowe ooh Lema ooh Lisu , huyu jamaa vipi? kwakweli hapa tumepatikana , mambo yamaana hayaguswi hata kidogo hii ni takataka kabisa