Spika Ndugai: Lissu kwa miaka 10 ya Ubunge hakuna 'legacy' yoyote aliyoacha Jimboni kwake

Hivi jizi hili lililotumia mabilioni ya pesa zetu kwa matibabu India bado linaweweseka na Lissu tu? Je jukumu LA kupeleka maji vijijini ni la nani? Ni ka serikali. Kama serikali inaona kijiji fulani hakina maji kwa nini kisipeleke?
Mzee ana laana huyo
 
Mbona sioni la maana ktk jimbo lake alichofanya?
mbona anapenda ku-attack sana wenzie?
Aliwahi kusema hadharani kuwa Lema ana madeni makubwa sana na bunge likiisha hana fedha za malipo.
Kuna kitu hakiko salama kichwani.
Kuhusu madeni usimbishie yeye ndio anajua status ya wabungewake anaowaongoza pale mjengoni.
 
Lissu ni mwanaharakati .
Ndio, anatakiwa kuwamuongeaji tu, ama kwalugha nyingine mpigadebe bungeni ama diwani na hasa kaziyake ya uwakili inamfaa sana.
Nilishangaa sana mboe alivyo mpanafasi ya kugombea urais.
 
Leo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lissu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi!

Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka kumi!

My take
Nguvu aliyoitumia Lissu mzee wa MIGA kutetea Acacia angeielekeza kutetea wananchi wa jimbo lake wangefika mbali sana kwa miaka 10.

Inasikitisha sana wananchi hawana maji alafu yeye anatetea wezi wa madini !!!
Vyanzo vya maji havijengwi na wabunge,vinajengwa na Serikali kupitia Kodi.
Sasa weka hapa mchanganuo wa Kodi na maduhuri aliokuwa anakusanya Tundu lisu.
 
Hivi huyu bwana hana kazi nyingine hapo Bungeni? anahangaika tu ooh Mbowe ooh Lema ooh Lisu , huyu jamaa vipi? kwakweli hapa tumepatikana , mambo yamaana hayaguswi hata kidogo hii ni takataka kabisa
Jielekeza kwenye shutuma ondoa ushabiki, watu wanataka maji. Ushabiki haulizi maji. Tujifunze kukubaliana kwente mapungufu yetu kwa kujenga nchi bora.
 
Leo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lissu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi!

Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka kumi!

My take
Nguvu aliyoitumia Lissu mzee wa MIGA kutetea Acacia angeielekeza kutetea wananchi wa jimbo lake wangefika mbali sana kwa miaka 10.

Inasikitisha sana wananchi hawana maji alafu yeye anatetea wezi wa madini !!!
Kwa lugha rahisi anasema serikali imefeli kupeleka maji kwenye hilo jimbo.
 
Kwa bahati nzuri sana nimefika Kongwa (anakotoka Huyo Ndugai), nimefika Ruangwa (anakotoka Kasim ambaye ni PM) na nimefika Buhigwe (Nyumbani kwa Mpango ambaye ni Makamu wa Raisi.

Hakuna sehemu ambazo zinatia aibu kama hizo, kuna watu wana maisha ya ajabu sijapata kuona. Then mpuuzi mmoja ananyanyua makalio na kuanzia kuongea ujinga ujinga hapa
 
Jielekeza kwenye shutuma ondoa ushabiki, watu wanataka maji. Ushabiki haulizi maji. Tujifunze kukubaliana kwente mapungufu yetu kwa kujenga nchi bora.
Kazi ya Mbunge ni kupeleka maji? Lissu amekua mbunge kwa vipindi vingapi? Lissu sio mbunge, mbona asimtaje Kassim kuwa nyumbani kwake hakuna hata lami? Tujenge hoja
 
Kazi ya mbunge ni nini
 
Huyu naye, huenda ikawa ameacha kumeza dozi! Kama ni mtu mwema aje atueleze zile Billions ambazo zilipotea katika mazingira ya utata kwenye report ya CAG kule Bahi kwa mkewe walizipeleka wapi sio kumtupia burden Lissu ilihali ni udhaifu wa wizara ya maji
 
Leo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lissu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi!

Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka kumi!

My take
Nguvu aliyoitumia Lissu mzee wa MIGA kutetea Acacia angeielekeza kutetea wananchi wa jimbo lake wangefika mbali sana kwa miaka 10.

Inasikitisha sana wananchi hawana maji alafu yeye anatetea wezi wa madini !!!
Unaijua Kongwa?
 
Kuhusu madeni usimbishie yeye ndio anajua status ya wabungewake anaowaongoza pale mjengoni.
Jamani mbona mnachanganya mada inamaana ndo pay master wa bunge?kwamba hakuna idara ya uhasibu so kila kitu kinachohusiana na fedha anakijua Basi huyo atakuwa mbeya na mfitinishi
 
Tulia dawa ikuingie wewe
 
Lisu alijifunza kwa Ndugai?
Ndugu yangu Etwege, kuna mada nyingine unazileta humu ndani hata wewe mwenyewe huwezi kuzitetea, suala la maji nchi hii lipo karibu maeneo yote hasa kwenye Halmashauri za Wilaya, kwa mada hii hata Spika humtendei haki, kwasababu hii central zone ya nchi yetu kijiografia (imepitiwa na Rift Valley) vyanzo vya maji ni tatizo, wakati mwingine tujadili issues sio watu
 
Leo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lissu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi!

Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka kumi!

My take
Nguvu aliyoitumia Lissu mzee wa MIGA kutetea Acacia angeielekeza kutetea wananchi wa jimbo lake wangefika mbali sana kwa miaka 10.

Inasikitisha sana wananchi hawana maji alafu yeye anatetea wezi wa madini !!!
Kwa hiyo Jimbo lina endelea kwa jinsi Mbunge wake alivyo mahili kuongea....!!?

Mipango mibovu ya serikali lawama wanatupiwa Wabunge. By the way CCM hawapeleki maendeleo kwenye majimbo ya Wapinzani. Mwendazake alishatupa hiyo siri... Sasa sijui Ndugai alitaka Lissu atumie pesa yake ya mfukoni...!!
 
Jielekeza kwenye shutuma ondoa ushabiki, watu wanataka maji. Ushabiki haulizi maji. Tujifunze kukubaliana kwente mapungufu yetu kwa kujenga nchi bora.

..mara ya kwanza Lissu alikuwa mbunge lakini halmashauri ilibaki na ccm.

..safari ya pili alishinda ubunge na halmashauri, lakini akachezea marisasi miaka miwili baada ya kuchaguliwa.

..pia huyu mbunge wa sasa wa ndiye alikuwa mkuu wa wilaya lilipo jimbo la Lissu. kwa hiyo sidhani kama unaweza kumhoji mbunge bila kumhoji mkuu wa wilaya.

..mbunge ni mtunga sheria, hivyo anaweza kuhojiwa kuhusu michango na hoja zake bungeni. je michango ya mbunge imekuwa na faida gani ktk kutunga sheria zinazogusa maisha ya wananchi?

..jambo lingine ni kuhusu FEDHA ZA MFUKO WA MAENDELEO YA JIMBO hilo ni suala ambalo mbunge anaweza kuulizwa jinsi alivyo-influence matumizi ya fedha hizo.

..mambo mengine kuhusu miradi ya maendeleo hayo huwa ni masuala ya mipango ya SERIKALI KUU. Wabunge wana nafasi ndogo sana ktk ku-influence mipango ya serikali. Mara nyingi miradi hutekelezwa mahali fulani na mbunge huchukua credit kama bahati tu iliyomuangukia kwamba mradi fulani umetekelezwa wakati wa kipindi chake cha ubunge.
 
Kwa hiyo Jimbo lina endelea kwa jinsi Mbunge wake alivyo mahili kuongea....!!?

Mipango mibovu ya serikali lawama wanatupiwa Wabunge. By the way CCM hawapeleki maendeleo kwenye majimbo ya Wapinzani. Mwendazake alishatupa hiyo siri... Sasa sijui Ndugai alitaka Lissu atumie pesa yake ya mfukoni...!!

..Unajua Miraji Mtatiro alikuwa mkuu wa wilaya wakati Lissu ni mbunge?

..Kwa hiyo kama wilaya imekosa maji basi Mtatiro anastahili lawama kubwa zaidi kwasababu yeye ndio alikuwa mtendaji wa serikali na muwakilishi wa rais magufuli wilayani.
 
Hivi huyu bwana hana kazi nyingine hapo Bungeni? anahangaika tu ooh Mbowe ooh Lema ooh Lisu , huyu jamaa vipi? kwakweli hapa tumepatikana , mambo yamaana hayaguswi hata kidogo hii ni takataka kabisa
Ujinga wetu watanzania ndiyo unaotuadhibu kwa kupata viongozi aina ya Ndugai
 
Back
Top Bottom