Mantombazane
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 579
- 367
Akili mbovu ileHata hatujazika ameanza kukimbilia miradi..miradi tunajua itaendelezwa tu kwani kuna shida gani, wewe baba ako alikua anajenga nyumba akaachia kwenye lenta, Bahat mbaya akafariki , utaiacha nyumba usiimalizie ?
Tabia za watu wezi. Wanapenda maficho.Miradi mingine haipo kwenye ilani mingine haipiti bungeni, Vurugu mechi
Na wengine wengi tu wamekufa.Crew nzima haipo.Dah!!!, Ukisikia nchi kubaki ukiwa ndio huku sasa.
Kamongo umekwishaaaaaaaiseee, hizi akili zpo nchi hii kweli?
Pole kufiwa! Maisha yataendelea tu.aiseee, hizi akili zpo nchi hii kweli?
Wengi sana wamekufa na kupotea kimaajabu maajabu kwenye hii awamu ya mwamba bila uchunguzi wala haki yoyote, mwamba kawajoin, sote tuseme amina.Mshahara wa dhambi ni mauti. Mungu hasemi uongo kamwe
Basi ndo hivyo ishatokea. Tugange yajayo.Na wengine wengi tu wamekufa.
Lakini aliyesababisha vifo hivyo ni mtu mmoja ambaye angeruhusu watu watahadhari na kuchukua hatua za kujikinga hao watu wangekuwa hai leo.
Hicho ndio kinanisikitisha.
Usiseme hivyo mkuuMshahara wa dhambi ni mauti. Mungu hasemi uongo kamwe
Mwenyezi Mungu ni Mkali wa Kuadhibu.
Z[emoji2]Crew nzima haipo.Dah!!!, Ukisikia nchi kubaki ukiwa ndio huku sasa.
Kamongo umekwishaaaaaa
Ptuuuuuuuuuh
Indeed yesPole kufiwa! Maisha yataendelea tu.
Ndungai amejificha tangu dereva wake afe kwa covid. Ameponea chupuchupu. Uliaona msima wa Kijazi hata hakuwepo.Naye aache maneno mengi anaweza kuingia nyavuni.
Maisha yanabadilika kwa kasi kubwa mno!!
Mbona tuliambiwa tumuongezee na muda kwamba bila yeye hakuna wa kutuvusha ?