Spika Ndugai: Mnaogopa nini kuleta viambatanishi ili tuwavue Ubunge kwa Haki?

Spika Job Ndugai ameendelea kutoa ufafanuzi juu ya utaratibu wa kuwavua ubunge wabunge 19 wa viti maalumu wa CHADEMA, Mh Spika ameendelea kusisitiza kuwa anaongoza Bunge kwa Katiba, Sharia, Kanuni, Hekima na Utamaduni ili kutenda haki...

Anahangaika tu. Bawacha kweli wamemshika pahala.

Yeye ndie anaetakiwa kuonyesha nyaraka zilizomfanya awaapishe. Sasa kama Msajili wa Vyama vya Siasa ana Katiba latest ya vyama vya siasa kwa nini asishauriane nae hata kabla ya kuletewa Katiba ya Chadema na Chadema?

Na swali linabaki pale pale, hivi CCM na CUF walipotimua wabunge wao waliambatisha nakala za Katiba zao na muhtasari wa vikao vyao? Hajui Sakaya anaweza kumuumbua kirahisi tu? Akumbuke pia kuwa barua yenye viambatishi huwa inataja viambatishi vilivyopelekwa pamoja na hiyo barua.

Kweli BAWACHA ndio saizi yake. CHADEMA wala wasimjibu.

Amandla....
 
Spika Job Ndugai ameendelea kutoa ufafanuzi juu ya utaratibu wa kuwavua ubunge wabunge 19 wa viti maalumu wa CHADEMA, Mh Spika ameendelea kusisitiza kuwa anaongoza Bunge kwa Katiba, Sharia, Kanuni, Hekima na Utamaduni ili kutenda haki...

Wakati wa kuwaapisha alipewa katina na muhtasari?
 
Kawaida unapokaribia kuangamia huwa unang'ang'ania upumbavu, kama ilivyokuwa kwa mwendazake kwenye ishu ya Corona
 
wapishe mjengoni fasta.
issue ya dollar bilion 1 za european union za utawala bora zimebuma wazungu wanajua mchezo wote unaoendelea jamaa waliiiba kura kupitiliza vigezo na masharti vikapotea ikabidi sasa covid 19 walazimishwe kuingia kwenye hilo jengo linaloitwa bunge dhaifu.

hakuna kupeleka documents hadi hao waliofoji signature za katibu wa chama na kujiteua wenyewe wakamatwe na kuhukumiwa jela kwa forgery.

Nchi la kingese kwelikweli yaani watu wanajiteua na speaker wa bunge anasema nitawalinda dhidi ya mfume dume
European union wana mabalozi hapa wanjua kila kitu wanawacheka tu style ya kitoto kweli kuvuta trilions 2 zao kirahisirahisi kwa maigizo ya covid 19 eti kuna upinzani bungeni wa kina mzee mdee
 
Mpaka hapo inaonesha wazi spika anajua chadema walikosea wapi kisheria ndio maana kila siku anawataka wapeleke

Maybe kwenye hiko kikao akidi ilikuwa haijatimia au kuna mapungufu kutokana na Katiba yao
Jibu kamili ,sasa wao wanataka awavue ubunge kihuni
 
Spika au NEC wangekuwa na hiyo barua wangeitoa zamani. Wana mapenzi gani na Mbowe na Mnyika kiasi cha kuwafichia aibu yao? Wangeitoa, wakina Halima wangepata uhalali na Mbowe na Mnyika wangeonekana wazi kuwa sio watu wa kuaminiwa.

Hiyo ni spinning tu na haina ukweli wowote.

Amandla...
 
Hoping utaruhusu mjadala bila jazba/matusi, kwa mtazamo wangu suala la Ndugai vs CDM linakuzwa bila sababu za msingi. Mamlaka iliyowapeleka akina Halima Mdee bungeni sio Spika. Ni Tume ya Taifa ya Uchaguzi, ambayo inadai ilipewa majina hayo 19 na CDM, kitu ambacho CDM inakataa.

Sasa Ndugai anaingiaje katika suala hili? Lakini hata tukiweka kando ukweli huo kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ndio iliwapeleka akina Halima bungeni, na Ndugai akawaapisha tu, ni nani asiyejua chuki za Ndugai kwa Chadema? So what's the use of complaining about someone who you very well know hates you?

This is a legal, not emotional, matter.
 
Tuachane na sakata la kuvuliwa Ubunge, hoja ni nani aliwateua kuwa wabunge wa viti maalumu? Katibu Mkuu wa CHADEMA ameweka wazi kitabu cha kusaini upokeaji nyaraka NEC, anauliza nani aliwasilisha yale majina NEC? Hii ndiyo hoja Spika anapaswa ajibu....
 
Unawaonea wivu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Subirini muone! Unafikiri Ndugai anajiamini bure tu? Anajua sana kilichotokea tatizo nyie wafuasi sugu hamuwezi kuelewa haya mambo
 
Mmeambiwa pelekeni taarifa zenye akili sio vipeperushi, we unadhani mboe hajui kufuata ama anafanya makusudi.
 
Hayo ni makubaliano yapo kati ya Mbowe, Mnyika na Ndugai.
 
Vyovyote Iwavyo HAO wabunge wameshaharibikiwa mambo yao ndani ya chama chao cha chadema spika hata angewalinda naamini Hawana nafasi tena kwenye chama chao..
Hivi wanaposema 'Mfumo dume' manake ni kuwa wakiondolewa hao COVID 19 watakaochukua nafasi zao wanakuwa ni wanaume? au mie ndio sijaelewa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…