Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bunge zuzu, supika zuzu na wabunge ni mazuzu hakuna namnaKwani Jenerali ni nani mpaka kudhihaki bunge na spika? Kwanza Jenerali siyo mtanzania
Wakati huo huo ndani ya bunge anajifanya KUB .Ndugai anajiona ndio mbadala wa Jiwe.
Wananchi wangapi au wewe na nani lete takwimu,acha mara moja hili jina la ImhotepHuo muhimili udharauliwe mara ngapi? wakati Wananchi wameshaupuuza.
Naona alishasahau enzi zile ameshaota mapembe.Kwani Jenerali ni nani mpaka kudhihaki bunge na spika? Kwanza Jenerali siyo mtanzania
Hivi huyo mtu anajiona kama nani haswa hapa dodoma?Ametoa onyo hilo leo Mjini Dodoma na amemtaka Ulimwengu kuacha mara moja kutoa lugha za dharau dhidi ya Mhimili wa bunge .
Bali hakusema ni hatua gani atachukua ikiwa Jenerali Ulimwengu atakaidi onyo hilo , ila anasema watapambana naye ndani na nje .
Mbona wasiyo watanzania ni wengi tu hapa nchini?Kwani Jenerali ni nani mpaka kudhihaki bunge na spika? Kwanza Jenerali siyo mtanzania
Mimi sijawahi kuangalia hicho kikao chao hata siku mojaHuo muhimili udharauliwe mara ngapi? wakati Wananchi wameshaupuuza.
Huyo Spika anahusika katika kuwarubuni na kuwatisha Wabunge wa Upinzani wakubali rushwa ili wahamie CCM, huyo Spika anayekwenda kinyume na Sheria na Katiba kwa kuruhusu Wabunge wasiokuwa na Vyama wakae Bungeni.Wananchi wangapi au wewe na nani lete takwimu,acha mara moja hili jina la Imhotep
Yule alikuwa genius,siyo
mie mwenyewe nawadharau kinoma hako kakikundi hapo dom!Kwani Jenerali ni nani mpaka kudhihaki bunge na spika? Kwanza Jenerali siyo mtanzania
Hana ajuwalo msameheni huyo maradhi yanamsumbuaSpika wa Bunge, Job Ndugai amempa onyo kali Mwanazuoni Jenerali Ulimwengu kutokana na alichokiita tabia yake ya kukashifu Watu mitandaoni.
Akizungumza katikati ya mjadala wa marekebisho ya Sheria mbalimbali uliowasilishwa Bungeni, Spika Ndugai amesema Ulimwengu ambaye ni Mwandishi wa Habari Nguli amekuwa akilikashfu Bunge na Spika apendavyo.
"Jenerali amekuwa akilivunjia heshima Bunge na Spika pia, napenda kumpa onyo kali kuchunga ulimi wake, haipendezi Mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyoovyo, akiendelea na sisi tutaacha ukimya itabidi Watu washughulike nae ndani na nje yaani Mahakamani, habari imfikie uvumilivu wetu umefika mwisho, sisi sio kama anavyodhani" ——— Spika Ndugai
Hana jipya zaidi tu aendelee kujiuguzaWatanzania wote wameshalipuuza hili bunge..
Huyu zuzu aelewe tu.
Kapiga melemle kwenye mshonoNdugai ana chukia kuambiwa ukweli kuwa bunge ni dhaifu na hakuna cha maana wafanyacho zaidi ya kuridhia kila kiletwacho na serikali.
Jenerali ametonesha donda la Prof Assad.