Spika Ndugai: Nitawalinda wabunge wa Viti Maalumu CHADEMA kwa nguvu zote, Mnyika akajifunze kwa Dkt. Bashiru kazi za Katibu Mkuu

Chadema ipo ICU mda wowote inafariki ghafra endapo itawakumbatia mdee aliyeonyesha dharau kubwa kwa katibu mkuu na Lisu, kuendelea kuilea dharau za mdee ni kuizika chadema
Lisu Hana u avu was kufanya chochote na hv kakimbia nchi!!!
Mwisho was lisu NI kukubaliana uteuzi yey na mnyika waunge juhudi
 
Lisu Hana u avu was kufanya chochote na hv kakimbia nchi!!!
Mwisho was lisu NI kukubaliana uteuzi yey na mnyika waunge juhudi
Huko ndipo watapokwenda kwani mbowe anaenda kutoa maamuzi ambayo yatawadhalilisha Lisu na mnyika
 
Chadema ipo ICU mda wowote inafariki ghafra na kitendo cha kuwaacha salama Bulaya na mdee ndicho kitaiua chadema na kudharaulika mno kwenda kwenye level ya chauma UDP DP TLP NCCR na CUF ya Lipumba
 
Hakuna mbunge yoyote yule atakaefutwa uanachama. Ila Kuna uwezekano mkubwa wa mnyika kujiudhuru.
Mnyika akitaka kulinda Heshima yake asepe maana mbowe kavuta mpunga na Salum mwalimu wapo kitu kimoja na hao wanandungai pamoja yeye kazingukwa
 
Kwenye Dili la kutafuna pesa za CCM hawa hawamo katibu mkuu mnyika na Tundu lisu ndiyo maana wao wamesalia na msimamo wao thabiti, Mbowe na Salum mwalimu na wakike 19 wanandungai lao ni moja wamegawana pesa tokea CCM ingawa mbowe anaweza kuzuga chochote kujifanya mkali kutoa Adhabu kukwepa Aibu na kuihadaa Dunia, lakini ukweli mbowe sasa anawinda ruzuku haramu kwa njia zote za kishetani kajitoa fahamu zote hajali chochote
 
Hawa wasichana watakuwa wamepigwa mpunga wa maana.
 
Naichukia. Ccm pia namchukia Ndugai lakini kwa hili namuunga mkono Ndugai. Mnyika amekuwa kama mwenezi wa Chadema na sio katibu mkuu. Niliwahi kushauri hapa aache kuwanufaisha maadai kwa kuongea kwenye vyombo vya habari kila jambo. Hiyo kazi aachiwe mwenezi.
Kwa jicho la tatu mimi sioni kosa la kina Halima. Naona kuna faida kwa Chadema kuwakilishwa bungeni na hawa wadada kuliko kukosa uwakilishi wa upinzani.
Jaribio lolote la kuwa fukuza hawa wadada, ni anguko kubwa sana kwa Chadema.
Ndugai najua atawalinda na watakuwa wabunge hadi bunge la kumi na mbili liishe.
Kikao Chadema watakacho fanya leo kiwe cha siri na wasitoe mrejesho kwa vyombo vya hbari. Ni bora Mnyika aachie ngazi na sio kuwafukuza hawa wabunge.
 
Nawe ukaamini huo upendo mpya WA GHAFLA waliyonao wachawi wa CHADEMA.
Mbinu za kumaliza mchezo.Huoni kuwa tokea sakata la Mdee na wenzake limewaondoa Chadema kwa muda kwenye hoja yao ya msingi uchaguzi usio kuwa huru na haki?

Chadema kwa kutolitambua hilo wao wanaanika kila jambo hadharani, na kila kikundi kimegeuka msemaji. Hawana siri, hawana uvumilivu ni kinyume cha mbinu za medani.

Sasa mnaitana Covid-19,watumwa wa Ndugai,wasaliti,wachumia tumboni n.k hata kabla ya maamuzi ya kamati kuu.

Wabaya wenu wamewachezesha SINGELI nanyi mmeingia kichwa kichwa mtavuna mabua.
 
Mwajidanganya sana.
 
Mwajidanganya sana.
 
Mnyika akitaka kulinda Heshima yake asepe maana mbowe kavuta mpunga na Salum mwalimu wapo kitu kimoja na hao wanandungai pamoja yeye kazingukwa
Afadhali wewe umeweka mihemuko pembeni na umeutambua ukweli,ingawa mara zote imekuwa upande wa CHADEMA hapa jukwaani.Wengine wamekaa ushabiki kiasi Kwamba hawaelewi picha linavyoenda.

TUNDU na MNYIKA tayari wamewekwa mtu Kati bila kujitambua.Sitaki kuamini kabisa kuwa eti Mdee ameenda bungeni kwa matwakwa yake bila Mbowe kujua.Tangu ampokee Lowassa 2015,nilimuona kama mfanyabiashara wa siasa.
 
Chadema ipo ICU mda wowote inafariki ghafra endapo itawakumbatia mdee aliyeonyesha dharau kubwa kwa katibu mkuu na Lisu, kuendelea kuilea dharau za mdee ni kuizika chadema

Watanzania wengi hasa wanawake weikubali chadema kwa sababu ya hao wanawakeajasiri.

Kuwafukuza Wabunge walioapishwa kikatiba ni kosa kubwa sana.

Adhabu ya kuwafukuza watu waliotekeleza matakwa ya Kikatiba ni Kukifuta hicho chama.

Nitahakikisha Chadema inafutwa kwenye Orodha ya vyama vya siasa endepo hao wabunge watafukuzwa ili eti wapoteze sifa ya kuwa wabunge.

Hivi Nyie Chadema bado mnataka kuwaumiza Watu kama CCM.

Wabunge 20 tena wanawake kuwafukuza kwa sababu tu hawakishirikishwa kwenye nafasi za maamuzi ya kwao kama wanawake ni kuua Demokrasia.

Chama Chenye katiba na viongozi wanaopingana na matakwa ya katiba ya nchi ni chama cha Kigaidi kinapaswa kufutwa haraka sana.

Mbowe kuwa makini na maamuzi yasoyojali maslahi ya Taifa la leo na kesho.

Makamanda Mdee na Bulaya wameshapata ajira yao kwa miaka mitano hivyo busara itumike wabaki kwenye Chama ili chama kinusurike kufutwa.

Wameteuliwa na uongozi bila wao kujua na majina yepelekwa bila wao kujua kwa hiyo wao hawana makosa. Aliyepeleka majina ndiye wakuhojiwa.
 
Mkuu hao hawana maarifa wala maono. Jiulize kama kiongozi wao ni jiwe hapo unadhani kipi kingetokea zaidi ya kilichotokea. Amini nakwambia kamwe maskini au mtu mshamba hawezi kukuongoza kwenda kwenye neema au maendeleo.
Masikini hawezi kuwa kiongozi bora lzm aumize watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…