Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatamani ningekuwa na kesi ya ugaidi mahakamani au uhujumu uchumi eeeeeeh.Ulipoamrishwa kuandamana kushinikiza marudio ya Uchaguzi ulijitokeza? Wacha wenye chama wakiokoe chama chao(ruzuku),kwa njia itakayowapendeza.Nafasi yako uliokuwa nayo ni kuandamana, na haukufanya hivuo.
👉Kwahiyo acha kujifanya una uchungu Sana, kelele zako nyuma ya keyboard hazina mashiko yoyote.
Muwatimue kwani hamtaki ruzuku?Yes watabaki kuwa wabunge wa mataga ila Chadema ni taasisi inayojitegemea na itafanya maamuzi ya kuwatimua waje huko CCM kuwaongoza maana mna upungufu mkubwa sana wa viongozi.
Mataga kaa kwa kutulia soon mtakuwa na Mdee hapo Lumumba upate japo fursa ya kupiga naye picha.Muwatimue kwani hamtaki ruzuku?
Ebo! Biashara ya kuunga juhudi, CCM inanunua wanaadamu kama bizaa sokoni.CCM hainunui watu bwashee!
🤣🤣🤣🤣 Kwahiyo wao ndo wanatakiwa kuhangaika mahakamani na kesi za ajabuajabu Kila siku,kwakua wao sio binadamu kama wewe sio🤔?Unatamani ningekuwa na kesi ya ugaidi mahakamani au uhujumu uchumi eeeeeeh.
"Mbwa ukimjua jina hakupi tabu"
Unatumia nn kuwaza? Makalio bila shaka.CCM hainunui watu bwashee!
Makapi.Watanzania wengi hasa wanawake weikubali chadema kwa sababu ya hao wanawakeajasiri...
Uko sahihi kabisa. Kwa dharau zilizoonyeshwa, nani anategemea kuwaona Mnyika na Lissu na wengine wenye misimamo thabiti, wakibaki kama walivyokua, kama hao wamama wakipewa baraka za kuendelea na bunge wakiwa chini ya mwamvuli wa CHADEMA.Chadema ipo ICU mda wowote inafariki ghafra endapo itawakumbatia mdee aliyeonyesha dharau kubwa kwa katibu mkuu na Lisu, kuendelea kuilea dharau za mdee ni kuizika chadema
Ni kwamba ulikuwa hujawahi kuzisikia au hazikuwepo? Hazikuwepo au ulikuwa hujabahatika kuzisikia?Hivi hizo kanuni za Bunge za kuwalinda wachache zimeanza lini ...!!?
Masoud Kipanya, naomba tafadhali sana atucholee katuni ya Msajili wa vyama vya Siasa na Chadema halafu aipost kwenye thread hii!Nitahakikisha Chadema inafutwa kwenye Orodha ya vyama vya siasa endepo hao wabunge watafukuzwa ili eti wapoteze sifa ya kuwa wabung
Mkuu mbona unaongea pumba hivyo? Adhabu ya hao ni kufukuzwa tu na so vinginevyo halafu endapo chama kitafutwa basi nakifutwe tuanze at scratch kuliko kubaki na chama kisichokuwa na wanachama wenye diWatanzania wengi hasa wanawake weikubali chadema kwa sababu ya hao wanawakeajasiri.
Kuwafukuza Wabunge walioapishwa kikatiba ni kosa kubwa sana...
No nilikuwa sijamuona akiwa commited jiasi hiki kuwa Linda wachache. Experience yangu naona kama vile wachache wajikuwa wanakandamizwa zaidi hasa kwenye Bunge kililopita chini ya Ndugai.Ni kwamba ulikuwa hujawahi kuzisikia au hazikuwepo? Hazikuwepo au ulikuwa hujabahatika kuzisikia?
Lakini wewe akili zako huwa ni nywele za taahira nini? Kukutana na bandiko lako la haja na hoja ni nadra kama kukutana na sisimizi mwenye kengeza! Tangu mwanzo kabisa kule Arusha Mnyeti alitanabaisha nia, sababu na uwezo wa ccm kununua wapinzani! Acha utopolo.CCM hainunui watu bwashee!
Ila wachache kutaka kuonewa katika kiwango hiki kabla uliwahi kuona?No nilikuwa sijamuona akiwa commited jiasi hiki kuwa Linda wachache. Experience yangu naona kama vile wachache wajikuwa wanakandamizwa zaidi hasa kwenye Bunge kililopita chini ya Ndugai.