Spika Ndugai: Nitawalinda wabunge wa Viti Maalumu CHADEMA kwa nguvu zote, Mnyika akajifunze kwa Dkt. Bashiru kazi za Katibu Mkuu

Spika Ndugai: Nitawalinda wabunge wa Viti Maalumu CHADEMA kwa nguvu zote, Mnyika akajifunze kwa Dkt. Bashiru kazi za Katibu Mkuu

HISTIRIA..........HYSTERIA! Don't be Hysterical, tulia, jenga hoja
 
Mimi toka nilivoona anabariki mswada wa Kinga ya spika na wakubwa zake. Nitarajia haya kutokea na huu ni mwanzo tu.sheria ztavunjwa vunjwa sana katika siku za usoni wakitumia Kinga waliojiwekea.

Namimi nataka niseme wazi baada ya mda kupita baada ya kuvunja vunja sheria sasa utakuja uvunjaji wa sheria kitasisi na hatimae itatokea saturation ambayo itapelekea vyombo vyao vikiwageuka Bila woga na ndy fukuto kuu litajitokeza. Huo ndy utakua mwanzo wa Zama za kikombozi. Tanzania yetu iko katika mkwamo wa hali ya juu...

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Mimi toka nilivoona anabariki mswada wa Kinga ya spika na wakubwa zake. Nitarajia haya kutokea na huu ni mwanzo tu.sheria ztavunjwa vunjwa sana katika siku za usoni wakitumia Kinga waliojiwekea...
Nimeipenda hiyo ya Saturation, inahitajika timing to desaturate the collapsed systems.
 
Sijawahi kuona spika wa hovyo kama hii kitu inaitwa ndugai. Sijui kama tabia na taaluma aliyosoma vina uhusiano wa moja kwa moja. Kuchungulia "vinyeo" vya wanyama yataka moyo na ufyatu kidogo eti.
 
Demokrasia gani hiyo?
Utajengaje Demokrasia kidikteta halafu uilaumu CCM?....
Wewe kweli ni pimbi, kuiba kura, kuua watu kwako ni demokrasia ila kuwafukuza uanachama wanachama waliokiuka maazimio ya chama kwako sio demokrasia!! Inabidi upimwe akili wewe punguani

Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
 
Nimesikia sipika Job ndugai akidai kuwakingia kifua akina Alima na wenzake na kusema ataendelea kuwatambua. Swali langu ni je wataitwa wabunge kupitia chama kipi kulingana na katiba? Na karibia ili mbuge afanye kazi zake inabid awe ndani ya chama je watapata ushirikiano wa chama kipi ili kutimiza kazi zao ? Au ndo wamepindua chama? Kwani chama hakitataka kusikia wakitumia jina lao au kukihusisha na jambo lolote. Tafadhali wajuzi wa sheria za Tanzania ninaomba ufafanuz kwan nimejam hapa maana ninaona kama Tanzania haina katiba sasa asante na karibu
 
CCM ila hadharani wataitwa wabunge wa upinzani.
 
Spika analawiti katiba atakavyo kwa sababu ana uhakika ya kuwa Watanzania ni mapunguani
 
Pia kundi la bundi kwa kiingeza linaitwa bunge.
 
Back
Top Bottom