Siku zote tunasema kuwa Ukiwa kiongozi inabidi uwe mfano mzuri kwa matendo yako na maneno yako.
Ulevi na uzinzi umewaponza Wanaume wengi .
Form ilisainiwa na mtu akiwa Chakari huku akiwa anawashila shikashika matako wanawake wenye akili zao timamu wakiwa na jambo lao kichwani.
Chadema itafakari jambo hili bila Jazba.
Hao Makamanda wa Viti Maalumu wametimiza matakwa ya Katiba ya nchi.
Chama chochote kinachokiuka Katiba ya nchi Kinatakiwa kifutwe haraka sana.
Mbowe Mwenyekiti awe makini na aonyeshe ukomavu wa kisiasa.
Kuwafukuza Wanawake walikipigania Chama kwa muda mrefu ni kukidhoofisha.
Hao akina Malisa wamekifanyia nini chama zaidi ya kujificha kwenye Keybody za simu na Computer.?
Demokrasia iko wapi kama Chadama nayo inawafukuza watu wanaotimiza matakwa ya Katiba mama ya Tanzania.
Kujenga Chama ni vigumu lakini kukifuta na kubaki kama kumbukumbu ni dakika moja hasa chama kikijichanganya kwenye uamuzi.
Mbowe Linda chama kisifutwe na Msajili.
Mnyika alishafika Bei siku nyingi ndio maana hakugombea Ubunge Mwaka huu. Alijua anachofanya.
Wanasiasa kwenye Demokrasia wanakinzana kwa ustawi wa Nchi na mustakabali wao kisiasa. Ndio maana Nchi zilizoendelea vyama vinabadilishana kushoka madaraka mana watu wanabadiliawazo yao bila kujali vyama vyao. Leo mtu yupo Republican lakini akitofautiana na chama chake anapiga kura kwa Democratic bila kuhama chama wala kufukuzana.
Nchi yetu inakwama kwa sababu ya kulinda katiba na malengo ya vyama kuliko Katiba ya Nchi.
Hii tabia CCM wanayo na sasa Chadema nayo imeota mizizi.
Wanawake wakipata Nafasi ni ushindi mkubwa mana ndio walezi watawalea watoto na kuwaambia uzuri wa Chadema na hivyo kujenga kizazi kinachopigania chama.