Spika Ndugai: Nitawalinda wabunge wa Viti Maalumu CHADEMA kwa nguvu zote, Mnyika akajifunze kwa Dkt. Bashiru kazi za Katibu Mkuu

Wanahitajika kivipi na wakati wana kwamisha maendeleo?
Sababu wanajua hawawezi kuleta maendeleo ndyomaana wanatumia nguvu kubwa kuhakikisha covid 19 wapo bungeni ili mwisho wa siku wawasingizie kuwa ndyo wanakwamisha maendeleo.
 
[emoji3516][emoji3516]
 
Mzee ndugai jana alikuwa akitoa kauli hizo kupitia katika kituo cha TBC mubashara akiwa amekaa kwenye kochi au sofa kubwa huku akibadilisha mikao. Ndugai alikuwa akiongea kwa upole sana kama padri hivi huku maneno yake yakiwa makali sana, Mh. alitumia muda mwingi kuwa tambua na kuwa bariki wabunge 19 wa Chadema ambao tayari alikwisha waapisha bungeni...
Anasema hawawezi kwenda yeye kama nani?....hawa si wabunge wa chadema..yeye inamuhusu nini...hawa wanasiasa njaa wa bongo ni kichekesho sana....hahahaha
 
Mimi ndio kinacho nishangaza wao ccm hawakutaka mpinzani yoyote kwa bunge, iweje hawa waseme watawapigania kwa nguvu zote..ukiona hivyo ujue kuna mfereji wa pesa
 
[emoji16][emoji16][emoji16].Sasa hivi halima na ndugai ni MARAFIKI
nawashangaa mnaochukulia SIASA kwa u serious wa PEKEE.
 
Anasema hawawezi kwenda yeye kama nani?....hawa si wabunge wa chadema..yeye inamuhusu nini...hawa wanasiasa njaa wa bongo ni kichekesho sana....hahahaha
Ana haki ya kuwalinda..kumbuka huyu ndio bosi wao na ndio anawalipa mshahara..chadema haiwalipi hawa ila wao ndio wanailipa, chadema haikuwalipia kadi za uanachama wala ada.
 
Mzee ndugai jana alikuwa akitoa kauli hizo kupitia katika kituo cha TBC mubashara akiwa amekaa kwenye kochi au sofa kubwa huku akibadilisha mikao. Ndugai alikuwa akiongea kwa upole sana kama padri hivi huku maneno yake yakiwa makali sana, Mh. alitumia muda mwingi kuwa tambua na kuwa bariki wabunge 19 wa Chadema ambao tayari alikwisha waapisha bungeni...
Mnyika hawezi pambana na Covid-19
 
CHADEMA iwafukuze hao si wapiga kura.tulioibiwa Kura tupo na chadema hao wawe wabunge kwa miaka 5+ kwa nguvu za Dola haitupi shida muhimu watupishe.
 
Wamesema wanakwamisha maendeleo sisi tulitaka wabakie ccm wenyewe ili wasiwe na visingizio vya kuifanya tza kuizidi ulaya kimaendeleo.
 
Kwa haya yanayotrend kisiasa, wengi tumegundua kuwa , hakuna bunge bila upinzani. Ndyo maana Serikali imeamua kutumia resources zozote kuhakikisha bunge halikosi wapinzani kabisa.

Kauli ya ndugai kuwa atawalinda covid 19 kwa nguvu zote imetuonesha kuwa hawa covid 19 ni zaidi ya wabunge 100 wa ccm.

Tanzania hakuna siasa tena!

Shida yao waliiba kupita kiasi hata Kama awakuwataka chadema wakongwe wangewaingiza hata chadema wapya wasio na majina angalau 40 hivi hii tabu ya vitu maalumu wasingeipata
 
Ana haki ya kuwalinda..kumbuka huyu ndio bosi wao na ndio anawalipa mshahara..chadema haiwalipi hawa ila wao ndio wanailipa, chadema haikuwalipia kadi za uanachama wala ada.
Ndio umejitoa akili kiasi hicho? Jionee huruma
 
Kwa haya yanayotrend kisiasa, wengi tumegundua kuwa , hakuna bunge bila upinzani. Ndyo maana Serikali imeamua kutumia resources zozote kuhakikisha bunge halikosi wapinzani kabisa.

Kauli ya ndugai kuwa atawalinda covid 19 kwa nguvu zote imetuonesha kuwa hawa covid 19 ni zaidi ya wabunge 100 wa ccm.

Tanzania hakuna siasa tena!
Hapo kwe covid 19[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mimi ndio kinacho nishangaza wao ccm hawakutaka mpinzani yoyote kwa bunge, iweje hawa waseme watawapigania kwa nguvu zote..ukiona hivyo ujue kuna mfereji wa pesa
Hiyo ndiyo ccm sasa, kiongozi anapokosa maarifa ishu kama hizo lazima zitokee, angekuwa na maarifa/maono basi hili wangelijua mapema na lisingewasumbua. Siyo kwamba fisiemu wote ni wajinga au hawakulijua hili bali je nani angeweza kumshauri bwana yule asiyeshaurika.
 
Kwa haya yanayotrend kisiasa, wengi tumegundua kuwa , hakuna bunge bila upinzani. Ndyo maana Serikali imeamua kutumia resources zozote kuhakikisha bunge halikosi wapinzani kabisa.

Kauli ya ndugai kuwa atawalinda covid 19 kwa nguvu zote imetuonesha kuwa hawa covid 19 ni zaidi ya wabunge 100 wa ccm.

Tanzania hakuna siasa tena!
Wabunge wa upinzani ni asset, bila hao serikali inapoteza zaidi ya trillion 1.7.
Mibunge ya sisiemu ni liability, haina faida
 
Back
Top Bottom