Spika Ndugai: Nitawalinda wabunge wa Viti Maalumu CHADEMA kwa nguvu zote, Mnyika akajifunze kwa Dkt. Bashiru kazi za Katibu Mkuu

Ingawa mimi sio mwanasiasa naomba niwaambie Chadema....kama kweli hawa wadada hawakuwa na baraka zenu nirudie tena hawakuwa na baraka zenu....wafukuzeni haraka sana tena sana...ili mlinde chama na imani ya wanachama wenu.
Nchi hii ilipofikia mtu maarufu ni mmoja tu..Rais...hawa wengine hata wabunge wa CCM hawana kitu.
Kila la kheri.
Chadema ipo ICU mda wowote inafariki ghafra na kama chadema haitawafukuza wanandungai 19 itambue itadharaulika mno na kuwa level ya chauma UDP DP TLP NCCR na CUF ya Lipumba
 
Ukumbuke Anna Makind na msekwa waliongoza chini ya Marais gani

Ndugai Yuko Katika uongoz was magu na magu hataki ujinga was kuonekana aibu
Ndungai ndiyo spika mwizi haijapata kutokea alipiga bilion 12 peke yake akiwa India na sasa anaisaidia CCM kuidhoofisha chadema ili wasije kumpa kesi za ufisadi mfuko wa Bunge
 
Lisu alipotangaza Seif kuwa ndio mgombea wao wa urais Zanzibar, kuna kikao gani kilikaa?
Shida ya cdm hawakai vikao kutoa maamuzi
Walimfukuza zitto bila kikao
Walimleta losasa bila kikao
Walimkubali seif kuwa mgombea wao zbae bila kikao
Sasa wameteua wabunge viti m bila kikao na mengine mengi
Vikao vyao viko mtandaoni

Hebu fikiria mnyika anasema wanachama watume maoni ya adhabu watakayopewa wakina mdee mdee hv ndio utaratibu was chama au katiba ya chama Chao
 
Mmeacha kuifanya Tanzania kua kama Toronto mnaanza kuwalinda akina mdee
Pesa inayotumika kuwanunua wabunge chadema na kumlipa mbowe ni pesa za walipa kodi ni pesa za maendeleo CCM hawataki maendeleo wanatumia pesa nyingi kwa mambo ya hovyo yasiyo na tija kwa Taifa
 
Siku zote tunasema kuwa Ukiwa kiongozi inabidi uwe mfano mzuri kwa matendo yako na maneno yako.
Ulevi na uzinzi umewaponza Wanaume wengi .
Form ilisainiwa na mtu akiwa Chakari huku akiwa anawashila shikashika matako wanawake wenye akili zao timamu wakiwa na jambo lao kichwani.

Chadema itafakari jambo hili bila Jazba.
Hao Makamanda wa Viti Maalumu wametimiza matakwa ya Katiba ya nchi.
Chama chochote kinachokiuka Katiba ya nchi Kinatakiwa kifutwe haraka sana.

Mbowe Mwenyekiti awe makini na aonyeshe ukomavu wa kisiasa.
Kuwafukuza Wanawake walikipigania Chama kwa muda mrefu ni kukidhoofisha.
Hao akina Malisa wamekifanyia nini chama zaidi ya kujificha kwenye Keybody za simu na Computer.?

Demokrasia iko wapi kama Chadama nayo inawafukuza watu wanaotimiza matakwa ya Katiba mama ya Tanzania.

Kujenga Chama ni vigumu lakini kukifuta na kubaki kama kumbukumbu ni dakika moja hasa chama kikijichanganya kwenye uamuzi.

Mbowe Linda chama kisifutwe na Msajili.
Mnyika alishafika Bei siku nyingi ndio maana hakugombea Ubunge Mwaka huu. Alijua anachofanya.
Wanasiasa kwenye Demokrasia wanakinzana kwa ustawi wa Nchi na mustakabali wao kisiasa. Ndio maana Nchi zilizoendelea vyama vinabadilishana kushoka madaraka mana watu wanabadiliawazo yao bila kujali vyama vyao. Leo mtu yupo Republican lakini akitofautiana na chama chake anapiga kura kwa Democratic bila kuhama chama wala kufukuzana.

Nchi yetu inakwama kwa sababu ya kulinda katiba na malengo ya vyama kuliko Katiba ya Nchi.
Hii tabia CCM wanayo na sasa Chadema nayo imeota mizizi.

Wanawake wakipata Nafasi ni ushindi mkubwa mana ndio walezi watawalea watoto na kuwaambia uzuri wa Chadema na hivyo kujenga kizazi kinachopigania chama.
 
Shida ya cdm hawakai vikao kutoa maamuzi
Walimfukuza zitto bila kikao
Walimleta losasa bila kikao
Walimkubali seif kuwa mgombea wao zbae bila kikao
Sasa wameteua wabunge viti m bila kikao na mengine mengi
Vikao vyao viko mtandaoni

Hebu fikiria mnyika anasema wanachama watume maoni ya adhabu watakayopewa wakina mdee mdee hv ndio utaratibu was chama au katiba ya chama Chao
Mbowe kakaa vikao na CCM wamempa bilion 3 kamgawia Salum mwalimu kidogo kawazunguka Lisu na mnyika kaenda kuificha pesa yake Nairobi kenya, leo hatakuwepo kwenye kikao
 
Waliomuibia kura Mdee sasa hv ni rafiki yao wanamlinda!!?????
sitaki tena kusikia habari za siasa....
 
Nafasi za viti maalum huwa ni kwa wale wanawake ambao hawakugombea majimboni lakini akina mdee wameubaka kuulawiti kuunajisi utaratibu na kujisimika ubunge kienyeji kwa njia haramu za kishetani huku Ndungai akiwazawadia vicent pamoja na mgao toka kwa mbowe ambaye kapokea mzigo mkubwa yupo kenya anauficha kusikojulikana
 
Chadema ipo ICU mda wowote inafariki ghafra na kama chadema haitawafukuza wanandungai 19 itambue itadharaulika mno na kuwa level ya chauma UDP DP TLP NCCR na CUF ya Lipumba
Kuna kitu unakijua wewe huko Chadema
Hahaha
 
Waliomuibia kura Mdee sasa hv ni rafiki yao wanamlinda!!?????
sitaki tena kusikia habari za siasa....
Chadema ipo ICU mda wowote inafariki ghafra na Le endapo chadema haitawafukuza Mdee na wanandungai wenzao itambue kuwa inakufa ghafra na kuwa level ya chauma UDP DP TLP NCCR na CUF ya Lipumba
 
Mbowe kakaa vikao na CCM wamempa bilion 3 kamgawia Salum mwalimu kidogo kawazunguka Lisu na mnyika kaenda kuificha pesa yake Nairobi kenya, leo hatakuwepo kwenye kikao
Hahahaha hyo Kali aisee
Ndio maana umesema cdm inakufa Kama TLP
 
Nawe ukaamini huo upendo mpya WA GHAFLA waliyonao wachawi wa CHADEMA.
Mbowe kachukua bilion 3 kamgawia Salum mwalimu kidogo na kuwazunguka Lisu na mnyika yupo kenya anazificha kisha aje na sinema za kuwahadaa watanzania , cha Muhimu ni kuwafukuza wanandungai 19 tu kinyume na hapo chadema itadharaulika mno na kufariki ghafra
 
Nafasi za viti maalum huwa ni kwa wale wanawake ambao hawakugombea majimboni lakini akina mdee wameubaka kuulawiti kuunajisi utaratibu na kujisimika ubunge kienyeji kwa njia haramu za kishetani huku Ndungai akiwazawadia vicent pamoja na mgao toka kwa mbowe ambaye kapokea mzigo mkubwa yupo kenya anauficha kusikojulikana
Shida ya cdm hawakai vikao kutoa maamuzi
Walimfukuza zitto bila kikao
Walimleta losasa bila kikao
Walimkubali seif kuwa mgombea wao zbae bila kikao
Sasa wameteua wabunge viti m bila kikao na mengine mengi
Vikao vyao viko mtandaoni

Hebu fikiria mnyika anasema wanachama watume maoni ya adhabu watakayopewa wakina mdee mdee hv ndio utaratibu was chama au katiba ya chama Chao

Jamani tuangalie katiba ya nchi sio vyama .
Hii mambo ya katiba za vyama ndiyo yaliyotufikisha hapa.

Chama kinapaswa kufuata katiba ya nchi. Kugoma kupeleka wabunge waliotajwa kikatiba ni kosa .

Kuna hoja nyingi sana za kwenda kuzipambania Bungeni na kuongeza umaarufu wa Chama kuliko kukaa mitaani huku vyama vikiwa vimezuia kufanya mikutano.
Niliwaunga mkono Chadema wasipeleke wanawake bungeni kwa viti maalum nikidhani wameshirikishwa vya kutosha na kutoa maoni yao kumbe wanaume ndio wamewazuilia bila kutafuta maoni ya BAWACHA na kuwaambia faida na hasara ya kuwapeleka Bungeni.
 
Ila sidhani kama Mnyika kamwelewa. Mnyika kupayuka hadharani bila kujuwa msimamo wa wakubwa wake ukoje na maamuzi ya vikao vya juu yatakuwaje ni kupwaya kwenye wadhifa wake wa katibu mkuu. Aliyoyasema yalipaswa kusemwa na katibu mwenezi au mwenyekiti mwenyewe ambao nao ingalikuwa ngumu kusema hayo kabla ya maamuzi ya vikao vya chama.

Kama kamati kuu ya chama itaamua kinyume na alichokisema, Mnyika atapaswa kujiuzuru ukatibu mkuu.
Mnyika yupo sahihi katibu mkuu lazima ashikilie msimamo wake hivyo vikao vya kienyeji vya kufanya maamuzi gizani kwa matakwa ya CCM kwa njia haramu za kishetani haipaswi alaumiwe Katibu mkuu ambaye hakupewa mgao na mbowe toka kwenye bilion 3 alizopewa na CCM, Mnyika simama imara kataa ushetani wa wanandungai ikibidi sepa zako achana na chadema ifariki kifo cha Aibu
 
Mbowe kakaa vikao na CCM wamempa bilion 3 kamgawia Salum mwalimu kidogo kawazunguka Lisu na mnyika kaenda kuificha pesa yake Nairobi kenya, leo hatakuwepo kwenye kikao
kumbe siasa inalipa kiasi hiki bwasheee
 
Jamani tuangalie katiba ya nchi sio vyama .
Hii mambo ya katiba za vyama ndiyo yaliyotufikisha hapa.

Chama kinapaswa kufuata katiba ya nchi. Kugoma kupeleka wabunge waliotajwa kikatiba ni kosa .

Kuna hoja nyingi sana za kwenda kuzipambania Bungeni na kuongeza umaarufu wa Chama kuliko kukaa mitaani huku vyama vikiwa vimezuia kufanya mikutano.
Niliwaunga mkono Chadema wasipeleke wanawake bungeni kwa viti maalum nikidhani wameshirikishwa vya kutosha na kutoa maoni yao kumbe wanaume ndio wamewazuilia bila kutafuta maoni ya BAWACHA na kuwaambia faida na hasara ya kuwapeleka Bungeni.
Chadema ipo ICU mda wowote inafariki ghafra endapo itawakumbatia mdee aliyeonyesha dharau kubwa kwa katibu mkuu na Lisu, kuendelea kuilea dharau za mdee ni kuizika chadema
 
Mbowe kakaa vikao na CCM wamempa bilion 3 kamgawia Salum mwalimu kidogo kawazunguka Lisu na mnyika kaenda kuificha pesa yake Nairobi kenya, leo hatakuwepo kwenye kikao
Ila mbowe kiboko
Hakumshirukisha hata Lemaa!!!!?
 
Nafikiri ndugai na wewe mleta uzi pamoja na tbc Ccm mna matatizo. Mnyika hajamfokea mtu. Mnyika amehoji kuhusu utaratibu/procedure za kupitia mpaka kupata mbunge wa vitu maalum. Yule ndugai anaongea ujinga tu. Leo mdee na bulaya sio wasaganaji yena ni mashujaa?
Mnyika yupo sahihi kwa 100% na ameisaidia Dunia kujua dharau za mdee kwa Uongozi wa chadema , sasa kila Mtanzania anajua Mdee anaudharau mno Uongozi wa chadema
 
Back
Top Bottom