rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Nimeipenda hiyo ya Saturation, inahitajika timing to desaturate the collapsed systems.Mimi toka nilivoona anabariki mswada wa Kinga ya spika na wakubwa zake. Nitarajia haya kutokea na huu ni mwanzo tu.sheria ztavunjwa vunjwa sana katika siku za usoni wakitumia Kinga waliojiwekea...
Hivi aliwahi kuwa mwenyekiti wa wabunge gani sijui??Huyu ni the most hopeless and bogus speaker kwa Taifa na Afrika nzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenzake mstaafu Pius msekwa keshachomoa betri huko sasa sijui atawalindaje maana hawana uhalali tena au atafanya kama alivyofanya kwa Cecilia mwambe hahahah!Huyu ni the most hopeless and bogus speaker kwa Taifa na Afrika nzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenzake mstaafu Pius msekwa keshachomoa betri huko sasa sijui atawalindaje maana hawana uhalali tena au atafanya kama alivyofanya kwa Cecilia mwambe hahahah!
Wewe kweli ni pimbi, kuiba kura, kuua watu kwako ni demokrasia ila kuwafukuza uanachama wanachama waliokiuka maazimio ya chama kwako sio demokrasia!! Inabidi upimwe akili wewe punguaniDemokrasia gani hiyo?
Utajengaje Demokrasia kidikteta halafu uilaumu CCM?....
CCM ila hadharani wataitwa wabunge wa upinzani.Nimesikia sipika Job ndugai akidai kuwakingia kifua akina Alima na wenzake na kusema ataendelea kuwatambua. Swali langu ni je wataitwa wabunge kupitia chama kipi kulingana na katiba? Na karibia ili mbuge afanye kazi zake inabid awe ndani ya chama je watapata ushirikiano wa chama kipi ili kutimiza kazi zao ? Au ndo wamepindua chama? Kwani chama hakitataka kusikia wakitumia jina lao au kukihusisha na jambo lolote. Tafadhali wajuzi wa sheria za Tanzania ninaomba ufafanuz kwan nimejam hapa maana ninaona kama Tanzania haina katiba sasa asante na karibu
Naam,Parliament.Pia kundi la bundi kwa kiingeza linaitwa bunge.
Wakati walivyowadhalilisha mdee na Bulaya kupitia vyombo vya dola kwa nini hakuwalinda ??Haahaa CHADEMA inatisha.Yaani ndugai kaamua kujiingiza mzimamzima Mambo ya chadema.duh...