zanzibakwetu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2014
- 618
- 377
Kweli Mkuu.Hiki Chama kimejaa wahuni nakumbuka maneno ya Dr SlaaKwa busara tu, Mnyika ajiuzulu. Kwanza anapwaya sana kweny nafasi, hana elimu. Mwenyekiti elimu ni sifuri, KM hana elimu.. Ndo mana chama imekuwa genge la wahuni tu, hakuna mwenye uelewa ya nini kifanyike wapi na kwa muda gn?? Kila mtu msemaji na mtoaji wa matamko. Cheki hata Lisu anatoa matamko tena bila makubaliano ya vikao, ni uropoaji tu. Ni hatari kwa mustakali wa chama.
Haahaa Kama barua hii ni kweli hao wanapaswa kufutwa uwanachama kabisa, kudharau katibu mkuu ni kiosa kubwa Sana.Mnyika tafuta kaziView attachment 1635477
Chadema ndio mnaolialia!CCM NDIO WANAUMIA ZAIDI NA WAKINA HALIMA KULIKONI HATA WANA CHADEMA.
Haahaa kituko, Kama watalazimisha kuendelea kubaki wabunge wajiandae kulindwa na ndugaiTofautisha mtendaji mkuu na msemaji mkuu wa tasisi. Ulishaona wapi kwa mfano katibu mkuu wa wizara akawa ndiyo msemaji mkuu wa wizara? Kipi kitampata kama atakayoyasema siyo msimamo wa wizara yake au waziri wake?
Mnyika anafanya uanaharakati badala ya ukatibu mkuu. Ndiyo maana wahusika wamemunyamazia. Kesho ataona mziki wake. Akina Mdee, Matiko na Bulaya siyo watu wadogo kwenye hicho chama. Wana uwezo wa kuendesha mapinduzi kwenye hicho chama.
Job Ndugai uwezo wake wa kufikiri unazidi kupunguaKatibu Mkuu yule aliyekuwa anawaita akina Makamba kwenye vyombo vya habari au Katibu Mkuu mwengine huyo huyo aliyekuwa anakataliwa na Membe kuwa hajafuata utaratibu.
Ila sio kuwafuta ubunge kizembezembe.,kama ambavyo nyumbu wengi wanatarajia.Kuna taratibu za kichama pia ambazo zina kupa uhalali wa kuwa hapo na usipo zifata utaadhibiwa... Hivyo tuelewe hilo pia.
Mwenyekiti na Rais wetu alisema wabunge wa chama chetu naweza kuwadhibiti ni kwa kanuni na taratibu za chama, kama kwa sheria za nchi basi haiwezi kuwa wabunge wa CCM pekee ni wa vyama vyote ana weza Fanya hivyo kwa mamlaka aliyo nayo
Wameshindwa kulinda rasimali za nchi kwa manufaa ya watanzania wote wamebakia kulinda wasaliti.Mmeacha kuifanya Tanzania kua kama Toronto mnaanza kuwalinda akina mdee
Ukiona hivyo ujue wao ndiyo walio-engineer hao wabunge wa viti maalum 19, kuwepo hapo Bungeni!Mbona Mihimili ya Nchi ina watetea sana? Kuna nini?
Kwani ameingilia wito wao? Au labda amewazui kuitikia wito wa chama chao?Swala la chadema kuita wanachama wao linawahusu yeye lamuhusu nn
Ubunge ndugai atawalinda.watafutwa uwanachama tuIla sio kuwafuta ubunge kizembezembe.,kama ambavyo nyumbu wengi wanatarajia.
Nchi inaendeshwa na gangs / thugsKama mnyika anapaswa kujifunza ukatibu kwa bashiru basi MAGUFULI akajifunze uraisi kwa waliomtangulia maana hata alitumia sms na PM anasema hadharani. Ndugai hayupo sawa kichwani yule
Kwani Kila mbunge akiguswa ndugai lazima azungumze? Haha mapenzi ya ndugai kwa halima na bulaya yameanza lini?Kwani ameingilia wito wao? Au labda amewazui kuitikia wito wa chama chao?
Ukumbuke tu kuwa, kwasasa wale si wanachama wa CHADEMA tu,bali pia Wabunge wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tz, sioni kosa la ndugai kama spika kuzungumzia wabunge ambao ni sehemu ya bunge lake.
KimaCCM hainunui watu bwashee!
Hakuna mbunge yoyote yule atakaefutwa uanachama. Ila Kuna uwezekano mkubwa wa mnyika kujiudhuru.Ubunge ndugai atawalinda.watafutwa uwanachama tu