Spika Ndugai: Nitawalinda wabunge wa Viti Maalumu CHADEMA kwa nguvu zote, Mnyika akajifunze kwa Dkt. Bashiru kazi za Katibu Mkuu

Spika Ndugai: Nitawalinda wabunge wa Viti Maalumu CHADEMA kwa nguvu zote, Mnyika akajifunze kwa Dkt. Bashiru kazi za Katibu Mkuu

Kwa busara tu, Mnyika ajiuzulu. Kwanza anapwaya sana kweny nafasi, hana elimu. Mwenyekiti elimu ni sifuri, KM hana elimu.. Ndo mana chama imekuwa genge la wahuni tu, hakuna mwenye uelewa ya nini kifanyike wapi na kwa muda gn?? Kila mtu msemaji na mtoaji wa matamko. Cheki hata Lisu anatoa matamko tena bila makubaliano ya vikao, ni uropoaji tu. Ni hatari kwa mustakali wa chama.
Kweli Mkuu.Hiki Chama kimejaa wahuni nakumbuka maneno ya Dr Slaa
 
Tofautisha mtendaji mkuu na msemaji mkuu wa tasisi. Ulishaona wapi kwa mfano katibu mkuu wa wizara akawa ndiyo msemaji mkuu wa wizara? Kipi kitampata kama atakayoyasema siyo msimamo wa wizara yake au waziri wake?

Mnyika anafanya uanaharakati badala ya ukatibu mkuu. Ndiyo maana wahusika wamemunyamazia. Kesho ataona mziki wake. Akina Mdee, Matiko na Bulaya siyo watu wadogo kwenye hicho chama. Wana uwezo wa kuendesha mapinduzi kwenye hicho chama.
Haahaa kituko, Kama watalazimisha kuendelea kubaki wabunge wajiandae kulindwa na ndugai
 
Kuna taratibu za kichama pia ambazo zina kupa uhalali wa kuwa hapo na usipo zifata utaadhibiwa... Hivyo tuelewe hilo pia.

Mwenyekiti na Rais wetu alisema wabunge wa chama chetu naweza kuwadhibiti ni kwa kanuni na taratibu za chama, kama kwa sheria za nchi basi haiwezi kuwa wabunge wa CCM pekee ni wa vyama vyote ana weza Fanya hivyo kwa mamlaka aliyo nayo
Ila sio kuwafuta ubunge kizembezembe.,kama ambavyo nyumbu wengi wanatarajia.
 
Ndugai hajawahi kukosea kucheza mchezo huu wa siasa za tiki taka, 😅😅💚💛 Na CHADEMA wakiendelea kufoka foka, Ndugai anawapiga doba alafu anawafunga..!! 😂 Waiter njoo huku, mpe Ndugai Black Label kubwa moja plz..
 
Mmeacha kuifanya Tanzania kua kama Toronto mnaanza kuwalinda akina mdee
Wameshindwa kulinda rasimali za nchi kwa manufaa ya watanzania wote wamebakia kulinda wasaliti.

Magufuli aliwahi kusema kwenye vita wasaliti wanatandikwa mvua ya risasi za moto.
 
Swala la chadema kuita wanachama wao linawahusu yeye lamuhusu nn
Kwani ameingilia wito wao? Au labda amewazui kuitikia wito wa chama chao?
Ukumbuke tu kuwa, kwasasa wale si wanachama wa CHADEMA tu,bali pia Wabunge wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tz, sioni kosa la ndugai kama spika kuzungumzia wabunge ambao ni sehemu ya bunge lake.
 
Kwani ameingilia wito wao? Au labda amewazui kuitikia wito wa chama chao?
Ukumbuke tu kuwa, kwasasa wale si wanachama wa CHADEMA tu,bali pia Wabunge wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tz, sioni kosa la ndugai kama spika kuzungumzia wabunge ambao ni sehemu ya bunge lake.
Kwani Kila mbunge akiguswa ndugai lazima azungumze? Haha mapenzi ya ndugai kwa halima na bulaya yameanza lini?
 
Ila kodi za wananchi zinatumika vibaya katika awamu hii ,kila nikikumbuka namna Nasrat Hanje alivyotoka gerezani naikumbuka story ya Paulo na Sila,Maaskari magereza wameachwa solemba na madeni yao wanayoidai serikali narudia kusema katika watu wana laana nchi hii ni maaskari wa aina zote, sio Polisi sio Jwtz sio magereza sio Uhamiaji sio fire,
 
Back
Top Bottom