zanzibakwetu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2014
- 618
- 377
Kweli Mkuu.Hiki Chama kimejaa wahuni nakumbuka maneno ya Dr SlaaKwa busara tu, Mnyika ajiuzulu. Kwanza anapwaya sana kweny nafasi, hana elimu. Mwenyekiti elimu ni sifuri, KM hana elimu.. Ndo mana chama imekuwa genge la wahuni tu, hakuna mwenye uelewa ya nini kifanyike wapi na kwa muda gn?? Kila mtu msemaji na mtoaji wa matamko. Cheki hata Lisu anatoa matamko tena bila makubaliano ya vikao, ni uropoaji tu. Ni hatari kwa mustakali wa chama.