Spika Ndugai: Nitawalinda wabunge wa Viti Maalumu CHADEMA kwa nguvu zote, Mnyika akajifunze kwa Dkt. Bashiru kazi za Katibu Mkuu

Mabeberu hawatoi $900m mjipange tena...hao covid -19 wanafukuzwa kesho mchana kweupee..Mwamba sio wa mchezo mchezo
 
Hiyo nguvu angetumia kuzuia kukatwa vidole vyake vya miguuni na kula mbolea kuongeza cd4 zake,[emoji16][emoji16]spika mjinga kuwahi tokea duniani,ccm mwenye akili timamu ni kabudi[emoji16][emoji16]
 
AG kasema mchakato wote ni halali kwa mujibu wa katiba na sheria!
Hivi mchakato wote unawezaje kuwa halali, wakati Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, ambaye ni lazima azijaze hizo form, zinazopokelewa na Bunge, amesema wazi kuwa yeye hajazijaza hizo form?

Nyinyi maccm ndiyo mnaotaka kuiendesha hii nchi namna mnavyotaka nyiye na wala si kwa mujibu wa sheria za nchi hii!
 
Nadhani wewe/nyie ndo hajamwelewa Mnyika.
Ni kwamba yuko tayari kwa lolote hata kujiuzulu kama maamuzi ya Kamati Kuu yataungana na hao wasaliti.
Hayuko tayari kudhalilishwa.
Ndugai anajulikana kuwa ni msaka tonge. Kama walivyo wengine katika awamu hii, yuko tayari kupindisha lolote ili kulinda 'upendo' wa Jiwe. Hakuna kosa kubwa duniani kama kusikiliza aina hizo za watu. Utajikuta ni wa kuyumbishwa tu.
 
Kwani Kila mbunge akiguswa ndugai lazima azungumze? Haha mapenzi ya ndugai kwa halima na bulaya yameanza lini?
Usiishi kwa kukariri , hayo ni mapenzi kwa wabunge wakekwa mujibu wa sheria .Kwahiyo mihemko yenu binafsi ikae kando kidogo.
 
Ndugai ni mpuuzi tu...sawa amepewa na tume ya uchaguzi..akubali kupkea barua za kuvuliwa uanachama..

Ama kuwalinda ni kutokutambua barua rasmi za chama kufukuza uanachama wa hao wasaliti.

Huyu mzee atakuwa hana akili sawa sawa. Akubali tu kulala bila ch**p akiolewa. Sio akichepuka anajifanya haelewi.
 
Mnyika kaongea kuhusu procedural illegularities mfano kutokuwepo kwa kikao cha kamati kuu ambacho kimependekeza majina, Wahusika(wabunge wanawake) kutopitisha form namba 8D kwa katibu mkuu, Time kutokutangaza kwenye Gvt gazette majina,kughushi saini na mihuri ya CDM
Yaani mdee,matiko na bulaya wafanye mapinduzi? Unawajua wajumbe wa kamati kuu wote lakini?
 
Mambo yote ya msingi kiutendaji huwa yanatolewa taarifa na Katibu Mkuu. Hauoni Msemaji Mkuu wa serikali ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari.
Hamna aliye mkubwa kuliko wanachama na mpaka sasa wenyeviti na viongozi wengi wa BAWACHA wamewakana. Sasa hayo mapinduzi watamfanyia nani? Mnyika avuliwe cheo? Mbowe ananyang'anywe uenyekiti? Watakachoweza kufanya ni kujaribu kupata wanachama wengi waungane nao. Sijui watawatoa wapi maana hata BAVICHA imewakana. Watakachoweza ni kupata wanachama mamluki ambao watakuwa tayari kusimama nao lakini sio kufa nao.

Amandla...
 
Hayo sio mambo ya CHADEMA tu,katika hilo sakata bunge linahusika moja kwa moja, hivyo yeye kama spika anayomamlaka ya kusema kitu.
Nchi zote omba omba duniani zina mtindo wa siasa unao fanana.
Hapa ndo utajua kwa nini ni maskini na tegemezi. Tanzania,Uganda,Congo, C.A.R, BUKINAFASO,BAGLADESH,IV COAST,Zimbabwe,Burundi...sudan.... zote zinafanana kisiasa Tawala za kiimla
 
Mabeberu hawatoi $900m mjipange tena...hao covid -19 wanafukuzwa kesho mchana kweupee..Mwamba sio wa mchezo mchezo
Mwamba gani? Huyuhuyu mnywa konyagi, alienipokea Lowassa kutoka CCM 2015?
[emoji23][emoji23]
 
Umeisoma hiyo barua kutoka BAWACHA?
Mnyika ajiandae kujiuzuru ukatibu mkuu kesho. Akajiunge na Tundu Lissu huko Ubeligiji kuendelea na uanaharakati. Siasa haziwezi. Anaweza uanaharakati tu kama wa akina Maria Sarungi, Fatuma Karume, Tundu Lissu, Jenerali Ulimwengu na kadhalika.
 
Sisi wananchi rafiki zetu wazungu wanatuelewa sana. Huo ndiyo uzuri wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…