zanzibakwetu
JF-Expert Member
- Nov 6, 2014
- 618
- 377
Wivu huo .Shetani ni weweShetani anazidi kujifunua. Hana hoja, akawalinde tu wabunge 'wake' kama alivyopanga ila itazidi kuwa ngumu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wivu huo .Shetani ni weweShetani anazidi kujifunua. Hana hoja, akawalinde tu wabunge 'wake' kama alivyopanga ila itazidi kuwa ngumu.
KimaInawakopesha[emoji1787]
Hiyo nguvu angetumia kuzuia kukatwa vidole vyake vya miguuni na kula mbolea kuongeza cd4 zake,[emoji16][emoji16]spika mjinga kuwahi tokea duniani,ccm mwenye akili timamu ni kabudi[emoji16][emoji16]Spika Ndugai amesema kanuni za bunge zinamtaka kuwalinda wabunge walio wachache na maslahi yao naye atafanya hivyo kwa nguvu zake zote.
Ndugai amesema wabunge 19 wa CHADEMA wameteuliwa kihalali na kama CHADEMA wana matatizo nao walipaswa kuwaita kwa heshima na kuwasikiliza badala ya kuwahukumu na kuwafokea kupitia vyombo vya habari.
Spika Ndugai amesisitiza kuwa Mnyika bado hajakomaa kisiasa hivyo amemshauri aende kwa Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru akafundishwe namna Katibu mkuu anavyopaswa kutenda kazi zake kwa ufanisi.
Chanzo: TBC Aridhio
Maendeleo hayana vyama!
NOTE: Ilishadokezwa tangu juzi kuwa Ndugai ana mkakati huo > Ofisi ya Spika ‘kuwalinda’ wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA - Imevuja!
Hivi mchakato wote unawezaje kuwa halali, wakati Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, ambaye ni lazima azijaze hizo form, zinazopokelewa na Bunge, amesema wazi kuwa yeye hajazijaza hizo form?AG kasema mchakato wote ni halali kwa mujibu wa katiba na sheria!
Halafu ins viongozi wapumbavu hadi unashangaa. Ona mnyika alivyo wa out smart wanafanya makosa ya kitotoNchi inaendeshwa na gangs / thugs
Nadhani wewe/nyie ndo hajamwelewa Mnyika.Ila sidhani kama Mnyika kamwelewa. Mnyika kupayuka hadharani bila kujuwa msimamo wa wakubwa wake ukoje na maamuzi ya vikao vya juu yatakuwaje ni kupwaya kwenye wadhifa wake wa katibu mkuu. Aliyoyasema yalipaswa kusemwa na katibu mwenezi au mwenyekiti mwenyewe ambao nao ingalikuwa ngumu kusema hayo kabla ya maamuzi ya vikao vya chama.
Kama kamati kuu ya chama itaamua kinyume na alichokisema, Mnyika atapaswa kujiuzuru ukatibu mkuu.
Usiishi kwa kukariri , hayo ni mapenzi kwa wabunge wakekwa mujibu wa sheria .Kwahiyo mihemko yenu binafsi ikae kando kidogo.Kwani Kila mbunge akiguswa ndugai lazima azungumze? Haha mapenzi ya ndugai kwa halima na bulaya yameanza lini?
Mnyika kaongea kuhusu procedural illegularities mfano kutokuwepo kwa kikao cha kamati kuu ambacho kimependekeza majina, Wahusika(wabunge wanawake) kutopitisha form namba 8D kwa katibu mkuu, Time kutokutangaza kwenye Gvt gazette majina,kughushi saini na mihuri ya CDMTofautisha mtendaji mkuu na msemaji mkuu wa tasisi. Ulishaona wapi kwa mfano katibu mkuu wa wizara akawa ndiyo msemaji mkuu wa wizara? Kipi kitampata kama atakayoyasema siyo msimamo wa wizara yake au waziri wake?
Mnyika anafanya uanaharakati badala ya ukatibu mkuu. Ndiyo maana wahusika wamemunyamazia. Kesho ataona mziki wake. Akina Mdee, Matiko na Bulaya siyo watu wadogo kwenye hicho chama. Wana uwezo wa kuendesha mapinduzi kwenye hicho chama.
Mambo yote ya msingi kiutendaji huwa yanatolewa taarifa na Katibu Mkuu. Hauoni Msemaji Mkuu wa serikali ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari.Tofautisha mtendaji mkuu na msemaji mkuu wa tasisi. Ulishaona wapi kwa mfano katibu mkuu wa wizara akawa ndiyo msemaji mkuu wa wizara? Kipi kitampata kama atakayoyasema siyo msimamo wa wizara yake au waziri wake?
Mnyika anafanya uanaharakati badala ya ukatibu mkuu. Ndiyo maana wahusika wamemunyamazia. Kesho ataona mziki wake. Akina Mdee, Matiko na Bulaya siyo watu wadogo kwenye hicho chama. Wana uwezo wa kuendesha mapinduzi kwenye hicho chama.
Haahaa Asante kwa utabiriHakuna mbunge yoyote yule atakaefutwa uanachama. Ila Kuna uwezekano mkubwa wa mnyika kujiudhuru.
Nchi zote omba omba duniani zina mtindo wa siasa unao fanana.Hayo sio mambo ya CHADEMA tu,katika hilo sakata bunge linahusika moja kwa moja, hivyo yeye kama spika anayomamlaka ya kusema kitu.
Bashiru yupi? Huyu KM ama yule wa UDSM?Mnyika akajifunze kazi kwa Dr Bashiru!
Mwamba gani? Huyuhuyu mnywa konyagi, alienipokea Lowassa kutoka CCM 2015?Mabeberu hawatoi $900m mjipange tena...hao covid -19 wanafukuzwa kesho mchana kweupee..Mwamba sio wa mchezo mchezo
Haahaa halima ameanza kuwa mbunge wake Jana? Mkuu tuache unafikiUsiishi kwa kukariri , hayo ni mapenzi kwa wabunge wakekwa mujibu wa sheria .Kwahiyo mihemko yenu binafsi ikae kando kidogo.
Umeisoma hiyo barua kutoka BAWACHA?Nadhani wewe/nyie ndo hajamwelewa Mnyika.
Ni kwamba yuko tayari kwa lolote hata kujiuzulu kama maamuzi ya Kamati Kuu yataungana na hao wasaliti.
Hayuko tayari kudhalilishwa.
Ndugai anajulikana kuwa ni msaka tonge. Kama walivyo wengine katika awamu hii, yuko tayari kupindisha lolote ili kulinda 'upendo' wa Jiwe. Hakuna kosa kubwa duniani kama kusikiliza aina hizo za watu. Utajikuta ni wa kuyumbishwa tu.
Spika Ndugai amesema kanuni za bunge zinamtaka kuwalinda wabunge walio wachache na maslahi yao naye atafanya hivyo kwa nguvu zake zote.