Ulipoamrishwa kuandamana kushinikiza marudio ya Uchaguzi ulijitokeza? Wacha wenye chama wakiokoe chama chao(ruzuku),kwa njia itakayowapendeza.Nafasi yako uliokuwa nayo ni kuandamana, na haukufanya hivuo.Nacho zote omba omba duniani zine mtindo wa siasa unao fanana.
Hapa ndo utajua law nini ni maskini na tegemezi. Tanzania,Uganda,Congo, C.A.R, BUKINAFASO,BAGLADESH,IV COAST,Zimbabwe,Burundi...sudan.... zote zinafanana kisiasa
Wewe msukuma fekiHujielewi.
Mark my words. Kwenye kikao cha kesho, msitegee matarajio mtakayolala nayo usiku huu kwenye mafuvu yenu.Haahaa Asante kwa utabiri
Saisa sio nyepesi kihivyo mkuu, siku niliyowakuta Mdee na Gwajiboy wakinywa soda pamoja ndo niliamini hivyo. Kwahiyo kwa akili zako Mdee na Halima wameanza kulink up jana eeh? Haya mkuu[emoji23]Haahaa halima ameanza kuwa mbunge wake Jana? Mkuu tuache unafiki
DJ hana elimu, F4 failure, Mnyika alitimuliwa chuo, kwa hiyo naye hana elimu ndo maana wanapelekeshwapelekeshwa na Lissu ambaye yuko Ubelgiji anakula bata!Unazungumzia elimu ipi bob?
Tatizo naliona tz kwa macho ya kiroho zaidi,Spika Ndugai amesema kanuni za bunge zinamtaka kuwalinda wabunge walio wachache na maslahi yao naye atafanya hivyo kwa nguvu zake zote.
Ndugai amesema wabunge 19 wa CHADEMA wameteuliwa kihalali na kama CHADEMA wana matatizo nao walipaswa kuwaita kwa heshima na kuwasikiliza badala ya kuwahukumu na kuwafokea kupitia vyombo vya habari.
Spika Ndugai amesisitiza kuwa Mnyika bado hajakomaa kisiasa hivyo amemshauri aende kwa Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru akafundishwe namna Katibu mkuu anavyopaswa kutenda kazi zake kwa ufanisi.
Chanzo: TBC Aridhio
Maendeleo hayana vyama!
NOTE: Ilishadokezwa tangu juzi kuwa Ndugai ana mkakati huo > Ofisi ya Spika ‘kuwalinda’ wabunge wa Viti Maalum wa CHADEMA - Imevuja!
Wivu wa nini/kipi?Wivu huo .Shetani ni wewe
Nimeisoma vizuri sana.Umeisoma hiyo barua kutoka BAWACHA?
Mnyika ajiandae kujiuzuru ukatibu mkuu kesho. Akajiunge na Tundu Lissu huko Ubeligiji kuendelea na uanaharakati. Siasa hawaziwezi. Wanaweza uanaharakati tu kama wa akina Maria Sarungi, Fatuma Karume, Tundu Lissu, Jenerali Ulimwengu na kadhalika.
Hahaha bora wewe unaakili unaweza kumshauri Ndugai anangea hovyo hovyo.Si kila jambo ni la kujiongelea tu!
Nakubaliana na wewe. Nakumbuka ule wakati walifoji sahihi za wajumbe ili kumkataa Meya Muita. Na wakati ule walipofoji barua ya kumnyang'anya umeya ndugu Jacob na hata pale ambapo chama chake kilipowasilisha barua ya kuikana ile barua wakawaambia waende polisi. Bila shaka unakumbuka kisa kilichotokea Ubungo ambapo msimamizi aliwastukia walipowasilisha barua ya kufoji ya kujifanya ni wagombea wa chama chetu. Kweli hawafai kabisa. Sio watu wa kuwaamini.Usiwaamini sana Chadema bwashee!
Nimeona Grace Kiwelu yuko upande wa Mnyika..... Ngoma inogile!Umeisoma hiyo barua kutoka BAWACHA?
Mnyika ajiandae kujiuzuru ukatibu mkuu kesho. Akajiunge na Tundu Lissu huko Ubeligiji kuendelea na uanaharakati. Siasa haziwezi. Anaweza uanaharakati tu kama wa akina Maria Sarungi, Fatuma Karume, Tundu Lissu, Jenerali Ulimwengu na kadhalika.
Spika wa bunge Job Ndugai amemtaka katibu mkuu wa CHADEMA akajifunze namna ya kuwa katibu mkuu kwa Bashiru Ally ambaye ni Katibu Mkuu wa CCM.
Ndugai amesema kitendo cha Mnyika kuwasema hadharani, kuwahukumu na kuwashutumu wabunge wa viti maalum kwenye vyombo vya habari inaonesha wazi Mnyika hafai kuwa Katibu Mkuu.
Ndugai ameshauri mambo kama hayo huongelewa kwenye vikao vya ndani na kisha katibu mkuu hutoka na taarifa za kikao na kuwaambia wananchi sio kupayuka hadharani.
Sambamba na hilo Ndugai amesema kwamba yeye majina hayo kumi na Tisa(19) ya viti maalumu ya CHADEMA amepewa na Tume ya uchaguzi yeye kazi yake ni kuwaapisha tu Wabunge hao na ameshafanya hivyo. Na ameapa kuwalinda Wabunge hao hivyo amewataka wawe na imani kabisa.
Source: TBC ARIDHIO.
Mnyika hakutoa hukumu. Alirudia mara mbili mbili kuwa kamati kuu ndio itakayoamua.Spika wa bunge Job Ndugai amemtaka katibu mkuu wa CHADEMA akajifunze namna ya kuwa katibu mkuu kwa Bashiru Ally ambaye ni Katibu Mkuu wa CCM.
Ndugai amesema kitendo cha Mnyika kuwasema hadharani, kuwahukumu na kuwashutumu wabunge wa viti maalum kwenye vyombo vya habari inaonesha wazi Mnyika hafai kuwa Katibu Mkuu.
Ndugai ameshauri mambo kama hayo huongelewa kwenye vikao vya ndani na kisha katibu mkuu hutoka na taarifa za kikao na kuwaambia wananchi sio kupayuka hadharani.
Sambamba na hilo Ndugai amesema kwamba yeye majina hayo kumi na Tisa(19) ya viti maalumu ya CHADEMA amepewa na Tume ya uchaguzi yeye kazi yake ni kuwaapisha tu Wabunge hao na ameshafanya hivyo. Na ameapa kuwalinda Wabunge hao hivyo amewataka wawe na imani kabisa.
Source: TBC ARIDHIO.