Mtaani maisha magumuUbunge wenyewe ameupewa na mwendazake kama unavyompa mwanao kitumbua au andazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaani maisha magumuUbunge wenyewe ameupewa na mwendazake kama unavyompa mwanao kitumbua au andazi.
Anaomba msamaha kwa kukosa sana wakati anasema ni clip ya kutengenezewa! Zile siasa zake chafu zimekutana na uchafu ule ule, karma is a bitch.
ANAPULIA KINYESI PAFYUMUUU!!? Kwahiyo alikuwa na maana yelusalemu ndiyo itauzwa kwa madeni kwasababu mke wa yesu anatoka huko?Baada ya matamko kutoka viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi na serikali dhidi ya kauli ya Spika Job Ndugai kuhusu mikopo, leo Jumatatu saa 5:00 asubuhi, Ndugai anazungumza na waandishi wa habari, jijini Dodoma.
NDUGAI: NIMEUMIA KUOENEKANA NAPINGA MKOPO WA SERIKALI WA TSH. TRILIONI 1.3
Spika Job Ndugai amesema kauli yake aliyoitoa Desemba 26, 2021 alipoalikwa kwenye tukio la makumbusho ya wagogo kuwa imechukuliwa vibaya na kuleta mkanganyiko
Amesema alikuwa anazungumza kuhusu sababu iliyoifanya bunge kukubali na kuipitisha tozo na sio kuwa alikuwa akizungumzia taasisi nyingine yoyote
Ndugai amesema video iliyosambaa ilikatwa bila kuleta ujumbe kamili aliokuwa amekusudia. Ameumia kuonekana anapinga mkopo wa serikali
NDUGAI: TUTENGENEZE MAKUMBUSHO YA BUNGE
Spika wa Bunge Job Ndugai, amesema ni muhimu kwa Bunge kuwa na makumbusho yake ili wanaotembelea ofisi hizo wajue historia ya bunge kwa namna ilivyokuwa
Jambo hilo amesema ni muhimu hata kwa taasisi nyingine kuwa na makumbusho yake ili watu waweze kujua kuhusu historia ya taasisi husika
Amesema hayo alipokuwa anaongea na waandishi wa habari ofisi za Bunge Dodoma
NDUGAI: NAMUOMBA RADHI RAIS NA WANANCHI WOTE
Spika wa Bunge Job Ndugai amemuomba radhi Rais Samia Suluhu na wananchi wote kwa sintofahamu iliyotokana na kauli yake
Amesema yeye ni CCM ambao lengo lao ni moja hawawezi kutofautiana. Kuna watu wanaojaribu kuwafarakanisha lakini hawatafanikiwa
Ndugai amesema Rais anafanya vizuri lakini peke yake hawezi kwa hiyo ni jukumu la watu wote kumsaidia
Yah right..... No wonder alikosea cha kuongea mpaka akaanza kuwaalika Wabunge kupitia press conference yake.Kaongea kikubwa...
Stupid Zake anataka kushindana na Rais? Atapotea?Baada ya matamko kutoka viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi na serikali dhidi ya kauli ya Spika Job Ndugai kuhusu mikopo, leo Jumatatu saa 5:00 asubuhi, Ndugai anazungumza na waandishi wa habari, jijini Dodoma.
NDUGAI: NIMEUMIA KUOENEKANA NAPINGA MKOPO WA SERIKALI WA TSH. TRILIONI 1.3
Spika Job Ndugai amesema kauli yake aliyoitoa Desemba 26, 2021 alipoalikwa kwenye tukio la makumbusho ya wagogo kuwa imechukuliwa vibaya na kuleta mkanganyiko
Amesema alikuwa anazungumza kuhusu sababu iliyoifanya bunge kukubali na kuipitisha tozo na sio kuwa alikuwa akizungumzia taasisi nyingine yoyote
Ndugai amesema video iliyosambaa ilikatwa bila kuleta ujumbe kamili aliokuwa amekusudia. Ameumia kuonekana anapinga mkopo wa serikali
NDUGAI: TUTENGENEZE MAKUMBUSHO YA BUNGE
Spika wa Bunge Job Ndugai, amesema ni muhimu kwa Bunge kuwa na makumbusho yake ili wanaotembelea ofisi hizo wajue historia ya bunge kwa namna ilivyokuwa
Jambo hilo amesema ni muhimu hata kwa taasisi nyingine kuwa na makumbusho yake ili watu waweze kujua kuhusu historia ya taasisi husika
Amesema hayo alipokuwa anaongea na waandishi wa habari ofisi za Bunge Dodoma
NDUGAI: NAMUOMBA RADHI RAIS NA WANANCHI WOTE
Spika wa Bunge Job Ndugai amemuomba radhi Rais Samia Suluhu na wananchi wote kwa sintofahamu iliyotokana na kauli yake
Amesema yeye ni CCM ambao lengo lao ni moja hawawezi kutofautiana. Kuna watu wanaojaribu kuwafarakanisha lakini hawatafanikiwa
Ndugai amesema Rais anafanya vizuri lakini peke yake hawezi kwa hiyo ni jukumu la watu wote kumsaidia
Bado tuna safari ndefu sana.
I now agree huyu mzee kachoka ajiuzulu tu.Hahaaaa!!!!!tukiwaambia hii katiba chakavu hamtak
Mwenyekiti wa CCM ana nguvu kubwa sana by Kikwete!Hakuna mkate mgumu mbele ya chai bwashee
Analeta jeuri wakati ana njaa,anaweza kuwa Meneja wa Bar yule? Au anadhani kujiajiri ni Kazi nyepesi?Anajiuzulu au anaita watu kwenye kikao cha kamati ya maadili ya bunge?
Mgogo huyoo...Mbona anatia huruma kama vile anaomba kusaidiwa kitu flani [emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
I now agree huyu mzee kachoka ajiuzulu tu.
Huna hiyo jeuri ya kushindana na Rais wewe,ndugaye na wote mnaotumana.Sisi tunachochea kuni....
Tupo na Ndugai....
Mama tuachie Nchi
Tunaenda na Samia na si vinginevyo.Rais wa Tanzania mwaka 2025 ni mwanamke Kwa kudra za mwenyezi !
Mwenyekiti wa CCM ana nguvu kubwa sana by Kikwete!
Iko hivyo.Huo ubavu hana,bila mabadiliko ya msingi nchi hii haiwezi kupiga hatua
Job Ndugai: Hapakuwa na lolote la kukashifu au kudharau juhudi zozote za Serikali, Serikali ni baba yetu, Serikali ni mama yetu. Tunahitaji Serikali na tunaiunga mkono na katika mazungumzo yetu niliwataka wenzangu pamoja na mamabo mengine kujiimarisha kiuchumi, pamoja na mambo mengine tulipe kodi, ushuru, tulipe tozo.