Spika Ndugai: Rais Samia naomba unisamehe kwa sintofahamu iliyotokana na kauli yangu🙏

Baada ya matamko kutoka viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi na serikali dhidi ya kauli ya Spika Job Ndugai kuhusu mikopo, leo Jumatatu saa 5:00 asubuhi, Ndugai anazungumza na waandishi wa habari, jijini Dodoma.

NDUGAI: NIMEUMIA KUOENEKANA NAPINGA MKOPO WA SERIKALI WA TSH. TRILIONI 1.3

Spika Job Ndugai amesema kauli yake aliyoitoa Desemba 26, 2021 alipoalikwa kwenye tukio la makumbusho ya wagogo kuwa imechukuliwa vibaya na kuleta mkanganyiko

Amesema alikuwa anazungumza kuhusu sababu iliyoifanya bunge kukubali na kuipitisha tozo na sio kuwa alikuwa akizungumzia taasisi nyingine yoyote

Ndugai amesema video iliyosambaa ilikatwa bila kuleta ujumbe kamili aliokuwa amekusudia. Ameumia kuonekana anapinga mkopo wa serikali

NDUGAI: TUTENGENEZE MAKUMBUSHO YA BUNGE

Spika wa Bunge Job Ndugai, amesema ni muhimu kwa Bunge kuwa na makumbusho yake ili wanaotembelea ofisi hizo wajue historia ya bunge kwa namna ilivyokuwa

Jambo hilo amesema ni muhimu hata kwa taasisi nyingine kuwa na makumbusho yake ili watu waweze kujua kuhusu historia ya taasisi husika

Amesema hayo alipokuwa anaongea na waandishi wa habari ofisi za Bunge Dodoma

NDUGAI: NAMUOMBA RADHI RAIS NA WANANCHI WOTE

Spika wa Bunge Job Ndugai amemuomba radhi Rais Samia Suluhu na wananchi wote kwa sintofahamu iliyotokana na kauli yake

Amesema yeye ni CCM ambao lengo lao ni moja hawawezi kutofautiana. Kuna watu wanaojaribu kuwafarakanisha lakini hawatafanikiwa

Ndugai amesema Rais anafanya vizuri lakini peke yake hawezi kwa hiyo ni jukumu la watu wote kumsaidia
ANAPULIA KINYESI PAFYUMUUU!!? Kwahiyo alikuwa na maana yelusalemu ndiyo itauzwa kwa madeni kwasababu mke wa yesu anatoka huko?
 
Stupid Zake anataka kushindana na Rais? Atapotea?
 
Nimeshangaa sana kuona spika hajui maana ya kutoka hadharan na kuomba msamaha tena ukitumia media. Anashambulia waliomkosoa then anataka awaforce wakosoaji wake wajue km hakukosea at the same time,anawasihi wamsamehe😄
Nadhan ilimstahil kumwendea Mh. Rais na amuombe msamaha kimya kimya, na si km hivi amefanya leo.

Binafs nimesikia neno samahan,lkn sijasikia au hata body language yake kumwonyesha km ALIMAANISHA watu wamsamehe!
Useme "nimekosa sn,nimekosa mimi" na palepale useme hao waliokukosoa ni "Watoto wadogo hawajui kitu"..how!!?
Mh.Spika umejitoa damu puani mwenyewe boss wangu!
 
Job Ndugai: Hapakuwa na lolote la kukashifu au kudharau juhudi zozote za Serikali, Serikali ni baba yetu, Serikali ni mama yetu. Tunahitaji Serikali na tunaiunga mkono na katika mazungumzo yetu niliwataka wenzangu pamoja na mamabo mengine kujiimarisha kiuchumi, pamoja na mambo mengine tulipe kodi, ushuru, tulipe tozo.

Pumbavu zake
 
Back
Top Bottom