Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaambiwa kamkosea Mungu. Samia ndiyo Mingu huku Tanganyika. Matunda ya Mwungano. Upuuzi mtupuNi wazi kauli yake imeleta uharibifu na mkanganyiko Mkubwa sana. Kwanini alikawia kuomba radhi? Tena badala ya kufafanua akadai anasemwa kwasababu yeye ni Mgogo!
Ndugai angeweza hata kutoa press release kama kweli alikuwa anaumwa kama anavyodai lakini aliamua kukaa kimya mpaka leo Je alikuwa anapima nini?
Je radhi yake ni ya kweli? Au ni namna ya kuwakabili wabunge kwenye kamati zinazotarajiwa kuanza?
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Tumbooo na madaraka ni hatari Sanaa mkuu... Kwani unadhani ni kwa nini Polepole anahangaika Sana?"Nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana"
Tangu kuzaliwa kwangu sijawahi mwungamia binadamu mwenzangu.
Timu Magufuli hampendani. Gwajima hampendi Ndugai, Gwajima hampendi BASHITE, @ndugai hampendi Bush Man Humphrey Polepole na wote wako Sukuma gangKwa hasira alizo nazo atamshukia kama mwewe [emoji13][emoji13][emoji13]
Hivi kaomba radhi kwa “kosa” gani haswa?
Aitwe kwenye kamati ya maadili na ahojiwe na afungiwe kama anavyofanya kwa wenzake...Huu MTINDO WAKE WA KUTENDA MAKOSA MAKUSUDI NA KUOMBA RADHI SASA UMEKUWA SUGU KWA NDUNGAI...NYIE MCHEKEENI TU....ANA AKILI ZA KIJINGAJINGA SANA HUYU...MARA ACHAPE WATU FIMBO...KWA UMRI WAKE NA MATENDO YAKE NDANI NA NJE YA BUNGE NI YA OVYO OVYO SANA....ANA HILA HILA SANA HUYU, MARA HALIMA MDEE NA WENZAKE 19....SIJUI PUNGUANIBaada ya matamko kutoka viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi na serikali dhidi ya kauli ya Spika Job Ndugai kuhusu mikopo, leo Jumatatu saa 5:00 asubuhi, Ndugai anazungumza na waandishi wa habari, jijini Dodoma.
NDUGAI: NIMEUMIA KUOENEKANA NAPINGA MKOPO WA SERIKALI WA TSH. TRILIONI 1.3
Spika Job Ndugai amesema kauli yake aliyoitoa Desemba 26, 2021 alipoalikwa kwenye tukio la makumbusho ya wagogo kuwa imechukuliwa vibaya na kuleta mkanganyiko
Amesema alikuwa anazungumza kuhusu sababu iliyoifanya bunge kukubali na kuipitisha tozo na sio kuwa alikuwa akizungumzia taasisi nyingine yoyote
Ndugai amesema video iliyosambaa ilikatwa bila kuleta ujumbe kamili aliokuwa amekusudia. Ameumia kuonekana anapinga mkopo wa serikali
NDUGAI: TUTENGENEZE MAKUMBUSHO YA BUNGE
Spika wa Bunge Job Ndugai, amesema ni muhimu kwa Bunge kuwa na makumbusho yake ili wanaotembelea ofisi hizo wajue historia ya bunge kwa namna ilivyokuwa
Jambo hilo amesema ni muhimu hata kwa taasisi nyingine kuwa na makumbusho yake ili watu waweze kujua kuhusu historia ya taasisi husika
Amesema hayo alipokuwa anaongea na waandishi wa habari ofisi za Bunge Dodoma
NDUGAI: NAMUOMBA RADHI RAIS NA WANANCHI WOTE
Spika wa Bunge Job Ndugai amemuomba radhi Rais Samia Suluhu na wananchi wote kwa sintofahamu iliyotokana na kauli yake
Amesema yeye ni CCM ambao lengo lao ni moja hawawezi kutofautiana. Kuna watu wanaojaribu kuwafarakanisha lakini hawatafanikiwa
Ndugai amesema Rais anafanya vizuri lakini peke yake hawezi kwa hiyo ni jukumu la watu wote kumsaidia
View attachment 2066990
View attachment 2067070
Pia soma;
Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni
Kumbe wake jamaa wanatembeleaga Noah nyeusi😃😃😃Nadhani aliona Noah Nyeusi zinazunguka maeneo ya nyumbani
Mtemi kakutana na watemi wenzake...ungeacha kupiga magoti ili ushuhudie unavyonyolewa..wewe si uliangia Prof Asad aletwe kwako kwa pingu...sasa ungeacha wewe ungekwenda kwa machela
Wewe utalii ha Mungu wa Tanzania. Huyo mama ni Kama Mungu sasa hivi, kila kitu yeye tu. It is a very sad situation. Historians will tell us in the future. Alisema ukweli, why? Hakumegewa $$$$$,Mi naona ndugai kaleta changamoto nzuri kwa uongozi wala hakukosea kitu.
Watu wanakuja tu na mapesa yao kuwakopesha kwa mguvu ili mnunue matakataka au bidhaa au huduma toka makampuni yao halafu nchi inakopa ttu
Wanapata faida tupu mara mbili. Kwanza kuwakopesha mnalipa riba pilinanunua toka kampuni za kwao tena bei kubws tu. Sisi ni hasara tupu. Kwanza kidaikolojia wanakufanyeni tegemezi na wajinga. Pili mnachokopea hakina maana tena hela za mkopo zinaliwa na wao kushirikiana na wenyeji. Unakuta hakuna impact yoyote kwa mchi.
Alichosema ndugai tuwe na mikopo ya kuamua wenyewe kufuatana na mipango yetu sio kusukumiziwa mikopo ya kilaghai na kinyonyaji.
Ajabu iliyoje sasa.Cha ajabu hata wananchi wengi wa kawaida wanaamini Ndugai kamkosea mama inabidi aombe msamaha, tuna safari ndefu sana watanzania
Wananchi gani umezingumza nao wewe?Cha ajabu hata wananchi wengi wa kawaida wanaamini Ndugai kamkosea mama inabidi aombe msamaha, tuna safari ndefu sana watanzania
Japo sijaalikwa kuchangia ngoja nimwage kapumba kangu kiduchu...Wakuu
Hii press ya Job leo unaichambuaje?
Je, Ndugai & The Gang walikuwa wanaupima upepo?
Je, wananchi ama wanaharakati wangeonesha kumuunga mkono angefanya hii submission press ya leo?
Thinkers wa JF, mnaiangaliaje hii move ya Ndugai kuomba radhi hadharani leo akiwa kama mkuu wa Mhimili huru wa Bunge? Jambo hili limekaaje
Kisiasa
Kiusalama
Kidemokrasia
Pascal Mayalla
Mshana Jr
figganigga
Mzito Kabwela
Mchambuzi87
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtemi kakutana na watemi wenzake...ungeacha kupiga magoti ili ushuhudie unavyonyolewa..wewe si uliangia Prof Asad aletwe kwako kwa pingu...sasa ungeacha wewe ungekwenda kwa machela [emoji38] [emoji1787] [emoji1]