Spika Ndugai: Serikali wapeni watu nafasi ya kufanya mambo yao, msiwe front sana

Tanzania hii nani sio mnafiki kila mtu analinda maslahi yake kwanza ndio maana nchi pekee utakuta mtu ana line 4 za simu kampuni tofauti strong signal vifurushi rafiki ndio hiyo hiyo hatuna kitu loyalty kwetu maslahi tu.
Eeh sasa utaacha kulinda ugali wako bwana?
 
Siku kuna proffesional
Eeh sasa utaacha kulinda ugali wako bwana?
Siachi hata mimi ningekuwa Ndungai ningefanya hivyo hivyo watu wanasema tu nje ya system lakini Tanzania hatuna malaika ni vile fursa hatujapata tuko bench si unajuwa ile ukiwa bench wenzako wanacheza akikosea unasema ahhhh kakosaje pale ukiingia na wewe unafanya yale yale ndio maisha ya Bongo usisikilize sana ya nje.
 
Bongo kila post ni ajira
 
Huyu mzee nikiskia jina lake limetajwa popote huwa roho inanichafuka. Katika kiongozi ambae anaongoza kunikusanyia dhambi za kutukana ni huyu, kwasababu ni muongo na mnafiki wa kiwango cha 4G.
Msimlaumu Sana, kosa lipo kwa aliyemweka, alijua udhaifu wa hili kabila akataka ulitumia.
Ukitongoza binti au mmama, ukimuuliza kabila akajibu ni mgogo, moyo lazima ushituke paa
 
Ilikuwa kila kiongozi asimalize kile anachotaka kukisema bila kuyataja mara tatu majina yote 4 ya Mheshimiwa kwenye hotuba yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…