Spika Ndugai: Serikali wapeni watu nafasi ya kufanya mambo yao, msiwe front sana

Sasa hivi ndio nawaelewa sana waliosema Bunge, mahakama na sijui poli nini vile viko mfukoni mwa Sizonje. Wameanza kujitoa mmoja mmoja; kuanzia kwa mpwa kuomba radhi, spika kusema rais alishatiwa vibaya juu ya bandari ya Bagamoyo, Johnthebaptist, n.k wanadhihirisha haya
 
Bola shaka jiwe mzee meko alimbemenda ndugai sasa naona amepona tumpe sapoti maana serikali imezidiii tu hakuna uhuru
 
Siku Aliposema Wabunge Msivae Tai Nyekundu
Ukivaa Tusilaumiane Ndiyo Nilimdharau Mpaka
๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ฃ๐Ÿ˜๐Ÿ™„๐Ÿ˜ถ๐Ÿ˜‘๐Ÿ˜๐Ÿ™‚โ˜บ๐Ÿ˜‡๐Ÿค”
 
Yuko sahihi, serikali inatakiwa kutengeneza mazingira mazuri kwa namna yoyote ili watu waweze kufanya ubunifu kuanzisha biashara na hatimaye kuwa walipa kodi wazuri.
Sasa serikali inatangaza ajira kila Sikh mwisho makusanyo yote TRA yataishia kulipa mishahara.
 
hata shetani kuna wakati anakumbuka mambo mema ya huko mbinuni alikotoka na kuyaongea kwa wenzie si bure
 
Wapendwa,
Nduguyai alichotakiwa kufanya ni kutubu kwanza kwa aliyoyafanya kwa maneno na matendo yake yote kwa binadamu wengine, ili Mungu wa haki amsamehe dhambi zake na ampokee ili aweze kuongozwa na kufanyikaa kiumbe kipya.
Lakini mpaka sasa haonekani kujutia chochote na nimejikuta ninazidi kuamini kuwa anaendeleza ushetani wake wa unafiki/usanii.
Kwangu; He is just a 'survivist'
 
Wapendwa,
Nduguyai alichotakiwa kufanya ni kutubu kwanza kwa aliyoyafanya kwa maneno na matendo yake yote kwa binadamu wengine, ili Mungu wa haki amsamehe dhambi zake na ampokee ili aweze kuongozwa na kufanyikaa kiumbe kipya.
Lakini mpaka sasa haonekani kujutia chochote na nimejikuta ninazidi kuamini kuwa anaendeleza ushetani wake wa unafiki/usanii.
Kwangu; He is just a 'survivist'
 
Hiyo ni sawa lakini spika wetu yuko bungeni kwa miaka karibia 20 sasa hajawahi kusema hili hadi akaitwa dhaifu na prof. Assad
 
Unyumbu utachukua muda kuondoka yaani 'herding behavior' an occurrence of thoughtful people suspending their individual reasong because of panic or fear (amygdala)
 
Kama serikali inakuja fronti sanaa, si aibutue.....yeye si ndo ana mamlaka ya kuisimamia. Yaani unamwona fowadi anasumbua na wewe ni beki unaanza kulialia, piga kiatu au vunja mguu ijulikane moja....
 
Hivi Ndugai hiyo busara anayokuja nayo kila kukicha kaitoa wapi๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜..... Enzi za Mwendazake alikuwa hatii hayo maneno!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ