Spika Ndugai: TAMISEMI inaniudhi sana; kwanini inapora Madaraka ya Halmashauri?

Hakuona halimashauri zinanyanganywa kodi za majengo,na mabango?
Haya yote Ndugu Johnson Mbwambo (yule Mwana Habari NGULI) alisha yasema. Ndugu Gai ASILIE, ajiweke sawa SINDANO iingie vizuri sehemu yake..
Bangladeshi!
 
Ndungai akae kimya hana research yeyote ile kuhusu hili la kupanga watumishi vituo vya kazi kutoka TAMISEMI alitakiwa kuhoji nini ki,esababisha hadi walimu kupngwa moja kwa moja kutika wizarani,

Mfano walimu wamejazana mijin huku shule za vijijini zikikosa walimu kwa sababu halmashauri zilikuwa zinakula rushwa ya PESA ,NGONO na vimemo na maafisa wengine walipata mahawala kupitia deal hilo la vituo vya kazi yaani kipindi cha ajira huwa ni fursa kwa watumish wenye dhamana wasio waadilifu ( nina ushahidi kwa hili.)

naunga mkono TAMISEMI kupanga moja kwa moja, kama ndugai ana ndugu yake kapangwa kijijini huko avumilie tu maana nchi hii ni yetu sote na hakuna aliye andikiwa kushi katika mazingira magumu ya kazi asijifanye leo anataka haki wakati yeye mwenyesi si mtenda haki hasa pale silahi lake linapo guswa.
 
Kweli huu mpango wa TAMISEMI uendelee tu, mjini walimu wamejaa vijijin huko walimu hakuna , tena ingekuwa vzr ajira zote mpya wapangwe vivijin asietaka aache kazi, ila ikija halmashaur mmh!
 
Ndugai please stop that, wewe mbona madaraka ya Buge yameporwa na executive> Keep quiet!
 
Je unao ushahidi? Usiongee kwa mambo usiokuwa na ushahidi, ukipigwa pingu hapo utaanza kulalama.
Mimi ninao ushahidi na tulisha fanya tafiti na tukahoji walimu wenyewe,watumishi wa afya ,kilimo na migugo na watumishi wa halmashauri pamoja na wakuu wa shule rushwa ya ngono ipo sana maafisa elimu,maofisa taaluma na wakuu wa idara na pia rushwa ya fedha ipo pia tena sana kwa kada za AFYA,ELIMU,KILIMO NA MIFUGO

lakin pia kuna kujuana na vimemo nina ushahidi na uhakika na utafiti wetu tulisha uwasilisha TAKUKURU ili na wao walinganishe na tafiti zao na wao pia walifanya tafiti na majibu yakawa sawa na mapendekezo yakatumwa mamlaka ya ajira za watumishi na matokeo ndio hayo

Tatizo ninalo liona hapa ni moja ambalo TAMISEMI wanatakiwa kulizingatia , wanatakiwa wawe wanatumia taarifa ambazi ni valid na za wakati husika maana wanaweza wakawa wanatumia takwimu za nyuma kumbe walimu husika walisha hama nk.
 
Warejeshe kazi ya wizara ya elimu hiyo, hawa watu kwa nini hawaelewi. Hiyo ni kazi ya wizara inayohusika na elimu. Jafo hana kosa, lakini wizara ya elimu ifanye kazi gani
 
Mh Ndugai sio rahisi hivyo.. Kama ungepata nafasi kuongea na hayati Sita nadhani ungekuwa kimya.
 

Wote tunashauriwa KUPAMBANA NA HALI ZETU.
 
Wewe unapotumia vibaya madaraka yako make mjengon unadhan wenzio wanafurahishwa? Hapo umlaum RAS wako ktk halmashauri yako sio Mr Jaffo, Jaffo yuko sahihi kabisaaa!
 
Hata mimi ninaushahidi na hili la maafisa kuhongwa ili jamaa wapangiwe mjini hili halina ubishi
 
Wakipangwa halmashauri ikasawazishe ikama hukohuko kwa fedha za uhamisho
 
Pambaneni hukohuko na Serikali yenu.. Sisi hatuna takwimu.
 
acha hizo hautaki tuwafaidi walimu huku halmashauri?
 
Huyu Spika nae naonakaishiwa, Alikwenda Israel NA kuunga mkono Jerusalem kuwa makao makuu ya Israel, Serekali yake imepiga vote ya hapana UN. Sasa kipi kitaamuosha. Tungoje bungeni atakavyochambuliwa NA wabunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…