Uchaguzi 2020 Spika Ndugai: Wabunge wa CHADEMA (Viti Maalum) wasipohudhuria mikutano mitatu wamejifukuzisha

Huyu mpuuzi amekosa watu wa kufukuza atakuja kujifukuza hata yeye
 
Sio "mnazani" ni "mnadhani" michadema mbumbumbu kabisa😁
 
Hivi kumbe unaweza kushiriki uharamia wa hali ya juu tena kwa kumshirikisha shetani halafu 'kula kiapo' ukaapa kwa jina la Mungu? Au ni 'mungu' mwingine ila sio huyu Mungu muumba wa mbingu na nchi!
Ama kweli hizi kufuru sijui siku ya kiyama itakuwaje!
 
Ndiyo maana mimi sitaki tena kwenda kanisani.
 
Chama kimeanguka vipi Hali matokeo yalishapangwa kabla ya kura.
 
Idawa, andika yako, mihemko yako, unavyojibu hoja inaonyesha wewe ni chama gani! usitoe povu kwani huku kuna watu wanajua sana kumsoma mtu anaewasilisha hoja!
 
Huyu si alituahidi kua hakuna mbunge ata mmoja wa CHADEMA atakae kanyaga Bungeni?

Naona wapinzani wameanza kumtumia Spika.
 
Chadema acheni ujinga. Pelekeni wabunge bungeni. Walau hao kumi na tisa kila mmoja atachangia chama. Si huwa mnawakata ya kujenga chama ?Baadae msije kulia mitandaoni mnataka michango hata pango la Mtei mmeshindwa kulipa. Acheni kujitia kiburi wakati mmejaa shida.
 
Hapana kujenga tena chama kinatakiwa kife bana kabisa,wapinzani wamechelewesha sana maendeleo,hii mitano ni kazi tu
 
Kweli mkuu
Mi naona wangeenda tu bungeni
19 ni wengi sana wanauwezo wa kusikika wakiwa na hoja za msingi..
Hata wakisusa haiwaongezei credit
Mkuu tuwe watulivu muda ni Mwalimu mzuri Sana, kama iliwezekana kwa Lowassa sitashangaa lolote kutokea....hii ni November mpaka April tutaona mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…