share
JF-Expert Member
- Nov 22, 2008
- 6,064
- 10,468
Na viti vingine apewe Mahera, mkewe, na mchepuko wake.Hio viti maalumu wapewe polisi maana nao ni chama cha siasa wamefanya kazi nzuri Sana ya kuiweka ccm madarakani wapewe hata viti 10
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na viti vingine apewe Mahera, mkewe, na mchepuko wake.Hio viti maalumu wapewe polisi maana nao ni chama cha siasa wamefanya kazi nzuri Sana ya kuiweka ccm madarakani wapewe hata viti 10
Huyu mpuuzi amekosa watu wa kufukuza atakuja kujifukuza hata yeyeSpika wa Bunge Job Ndugai amesema kwa mujibu wa Katiba na Kanuni za Bunge, wabunge 19 wa viti maalumu kutoka CHADEMA endapo hawatohudhuria mikutano mitatu ya Bunge, watakuwa wamejifukuzisha ubunge wenyewe.
Spika Ndugai amesema mkutano wa wa kwanza ni huu wa pili Januari na wa tatu Aprili
My take.
Toka Sasa hadi April ni mbali sana, tutashudia vituko na mgawanyiko mkubwa Sana hapa katikati...huu ni mtihani mwingine ndani ya Chadema.
Bado wakurungezi na watendaji wa mitaaNa viti vingine apewe Mahera, mkewe, na mchepuko wake.
Sio "mnazani" ni "mnadhani" michadema mbumbumbu kabisa😁Lana inampiga huyo na bado ,hawajui wanachokizungumza,mwaka huu miccm itapukutika hadi ndani ya bunge,miccm haipo na amani wanawindwa na mauti kila wanapoangalia,watapukutika kama kuku wa kideri,na wasijekujaribu kwenda kwa mganga kuzuia mauti yao ndio itakuwa balaa zaidi.
Mwenyezi Mungu ameombwa na ndugu na jamaa waliouliwa kwa makusudi katika uchaguzi huu,CCM mnazani mpo salama ?
Ndiyo maana mimi sitaki tena kwenda kanisani.Hivi kumbe unaweza kushiriki uharamia wa hali ya juu tena kwa kumshirikisha shetani halafu 'kula kiapo' ukaapa kwa jina la Mungu? Au ni 'mungu' mwingine ila sio huyu Mungu muumba wa mbingu na nchi!
Ama kweli hizi kufuru sijui siku ya kiyama itakuwaje!
True na wake wa wakuu wa vyombo Kama zawadi ya kusaidia ushindiNa viti vingine apewe Mahera, mkewe, na mchepuko wake.
Awamu hii imedhalilisha Sana diniNdiyo maana mimi sitaki tena kwenda kanisani.
Chama kimeanguka vipi Hali matokeo yalishapangwa kabla ya kura.Mtachukua tu hizo nafasi, aliyekuwa anazuia kesha lala mbele,
Mbowe anataka pesa kisha azire kwa lipi?
Mwenzake keshaenda kula maisha bila kazi, na mbweadanganyike aone cha mtema kuni.
Hata akina mdee kukaa nje ya bunge ndo kwa heri hiyo.
Nyie washabai humu JF ndo mmesaidia kuangusha chama baada ya kulazimisha Tundu Lisu kupeperusha bendera.
Kuna MUNGU lakini hakuna dini ni makusanyiko tu ya waovu kama waovu wengine.Awamu hii imedhalilisha Sana dini
Hawa Bembelezwi kifupi wamepewa Taarifakuna wabunge wa chadema ambao amewaapisha alafu hawaingii bungeni?
Viongozi wa dini wamefunga ndoa na tawala dhalimuKuna MUNGU lakini hakuna dini ni makusanyiko tu ya waovu kama waovu wengine.
Nduga kapagawa na zile tilioni 2 kuota mbawa anamwangukia Mbowe ampe viti,si awape police,mke wa Mahera,wakuu wa vyombo ili column itimie.wameapishwa lini hadi wahesabike watoro?
Hapana kujenga tena chama kinatakiwa kife bana kabisa,wapinzani wamechelewesha sana maendeleo,hii mitano ni kazi tuChadema acheni ujinga. Pelekeni wabunge bungeni. Walau hao kumi na tisa kila mmoja atachangia chama. Si huwa mnawakata ya kujenga chama ?Baadae msije kulia mitandaoni mnataka michango hata pango la Mtei mmeshindwa kulipa. Acheni kujitia kiburi wakati mmejaa shida.
Supika ameanza vitukokuna wabunge wa chadema ambao amewaapisha alafu hawaingii bungeni?
Mkuu tuwe watulivu muda ni Mwalimu mzuri Sana, kama iliwezekana kwa Lowassa sitashangaa lolote kutokea....hii ni November mpaka April tutaona mengi.