Uchaguzi 2020 Spika Ndugai: Wabunge wa CHADEMA (Viti Maalum) wasipohudhuria mikutano mitatu wamejifukuzisha

Uchaguzi 2020 Spika Ndugai: Wabunge wa CHADEMA (Viti Maalum) wasipohudhuria mikutano mitatu wamejifukuzisha

Spika wa Bunge Job Ndugai amesema kwa mujibu wa Katiba na Kanuni za Bunge, wabunge 19 wa viti maalumu kutoka CHADEMA endapo hawatohudhuria mikutano mitatu ya Bunge, watakuwa wamejifukuzisha ubunge wenyewe.

Spika Ndugai amesema mkutano wa wa kwanza ni huu wa pili Januari na wa tatu Aprili

My take.
Toka Sasa hadi April ni mbali sana, tutashudia vituko na mgawanyiko mkubwa Sana hapa katikati...huu ni mtihani mwingine ndani ya Chadema.
Huyu mpuuzi amekosa watu wa kufukuza atakuja kujifukuza hata yeye
 
Lana inampiga huyo na bado ,hawajui wanachokizungumza,mwaka huu miccm itapukutika hadi ndani ya bunge,miccm haipo na amani wanawindwa na mauti kila wanapoangalia,watapukutika kama kuku wa kideri,na wasijekujaribu kwenda kwa mganga kuzuia mauti yao ndio itakuwa balaa zaidi.
Mwenyezi Mungu ameombwa na ndugu na jamaa waliouliwa kwa makusudi katika uchaguzi huu,CCM mnazani mpo salama ?
Sio "mnazani" ni "mnadhani" michadema mbumbumbu kabisa😁
 
Hivi kumbe unaweza kushiriki uharamia wa hali ya juu tena kwa kumshirikisha shetani halafu 'kula kiapo' ukaapa kwa jina la Mungu? Au ni 'mungu' mwingine ila sio huyu Mungu muumba wa mbingu na nchi!
Ama kweli hizi kufuru sijui siku ya kiyama itakuwaje!
 
Ndiyo maana mimi sitaki tena kwenda kanisani.
 
Mtachukua tu hizo nafasi, aliyekuwa anazuia kesha lala mbele,
Mbowe anataka pesa kisha azire kwa lipi?
Mwenzake keshaenda kula maisha bila kazi, na mbweadanganyike aone cha mtema kuni.
Hata akina mdee kukaa nje ya bunge ndo kwa heri hiyo.

Nyie washabai humu JF ndo mmesaidia kuangusha chama baada ya kulazimisha Tundu Lisu kupeperusha bendera.
Chama kimeanguka vipi Hali matokeo yalishapangwa kabla ya kura.
 
Idawa, andika yako, mihemko yako, unavyojibu hoja inaonyesha wewe ni chama gani! usitoe povu kwani huku kuna watu wanajua sana kumsoma mtu anaewasilisha hoja!
 
Chadema acheni ujinga. Pelekeni wabunge bungeni. Walau hao kumi na tisa kila mmoja atachangia chama. Si huwa mnawakata ya kujenga chama ?Baadae msije kulia mitandaoni mnataka michango hata pango la Mtei mmeshindwa kulipa. Acheni kujitia kiburi wakati mmejaa shida.
 
Hapana kujenga tena chama kinatakiwa kife bana kabisa,wapinzani wamechelewesha sana maendeleo,hii mitano ni kazi tu
 
Kweli mkuu
Mi naona wangeenda tu bungeni
19 ni wengi sana wanauwezo wa kusikika wakiwa na hoja za msingi..
Hata wakisusa haiwaongezei credit
Mkuu tuwe watulivu muda ni Mwalimu mzuri Sana, kama iliwezekana kwa Lowassa sitashangaa lolote kutokea....hii ni November mpaka April tutaona mengi.
 
Back
Top Bottom