USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Kwani yesu hakuwa hata na Demu wa kuzugia kabla hajaanza utumishi,maana alianza utumishi akiwa na miaka 30+ so yawezekana alipata kaujananiNjaa
Tumbo limejaa minyoo mpaka anachapia hovyo. Najua tunajua kwamba lengo lake alitaka aongee Yosefu na mke wake Maria... Ila sasa maskiniii mbona atakoma.
USSR