Boogman
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 2,439
- 5,612
Tunajua wee kwenu kwa kina mwigulu.Daaah Hadi naona aibu kujitambulisha nimetokea Kongwa[emoji22][emoji22][emoji22]View attachment 1918235
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunajua wee kwenu kwa kina mwigulu.Daaah Hadi naona aibu kujitambulisha nimetokea Kongwa[emoji22][emoji22][emoji22]View attachment 1918235
Me naona kama mchapio tu wa jina, lengo lilikuwa Yosefu na mke wake Maria .
Mke wa Yesu! Naomba kujua jina la mke wa Yesu?Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareth kwenda mpaka Jerusalem kuhesabiwa na wakakosa mahali pa kulala, kutoka Jerusalem mpaka Bethlehem alipozaliwa Yesu, distance zote nazijua na umbali wake na jinsi ilivyokuwa" - JOB NDUGAI
Duuuh 😥😥😥😥
Huyu ni yeye kama yeye wala sio side effects za chanjo
Hiyo movement umeielewa?Hii nadhani aliteleza tu lakini hakuwa anamaanisha Yesu kweli ni Yusufu.(Joseph)
Kumbe na wewe ulimsikia akidanganya!!Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareth kwenda mpaka Jerusalem kuhesabiwa na wakakosa mahali pa kulala, kutoka Jerusalem mpaka Bethlehem alipozaliwa Yesu, distance zote nazijua na umbali wake na jinsi ilivyokuwa" - JOB NDUGAI
Duuuh [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Huyu ni yeye kama yeye wala sio side effects za chanjo
Let say basi ni Yusufu na mke wake.Nafikiri ni ulimi tu umeteleza mdomoni. Labda alitaka kusema, "Yusufu" na mke wake.
Anyways, it's not a big deal.
Hahahaha Sasa mkuu hata mke unataka nisiende kuoa Kongwa au😂😂😂😂😂Tunajua wee kwenu kwa kina mwigulu.
He was talking about the distance they covered during that journey. Maybe he has visited Israel, so atakuwa anajua umbali waliotembea.Let say basi ni Yusufu na mke wake.
Hiyo movement anayojitapa kuifahamu iko sahihi?
Sikiliza tena na Soma Kitabu cha Luka...
Mimi nawashangaa wanaomshangaa Ndugai leo! Hamkumbuki alivyosema eti sheria fulani wakati tunaipitisha tulikuwa tumelala au mimi sikuwa spika!Hahahaha Sasa mkuu hata mke unataka nisiende kuoa Kongwa au😂😂😂😂😂
Hapo alitakiwa kumalizia kwa kusema mke wa Yesu baadae akajifungua kwenye holi la ng'ombe na akamzaa mtoto wa kiume akaitwa Yosefu.Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareth kwenda mpaka Jerusalem kuhesabiwa na wakakosa mahali pa kulala, kutoka Jerusalem mpaka Bethlehem alipozaliwa Yesu, distance zote nazijua na umbali wake na jinsi ilivyokuwa" - JOB NDUGAI
Duuuh [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Huyu ni yeye kama yeye wala sio side effects za chanjo
4 So Joseph also went up from the town of Nazareth in Galilee to Judea, to Bethlehem the town of David, because he belonged to the house and line of David. 5 He went there to register with Mary, who was pledged to be married to himand was expecting a child.6 While they were there, the time came for the baby to be born, 7 and she gave birth to her firstborn, a son. She wrapped him in cloths and placed him in a manger, because there was no guest room available for them.Nafikiri ni ulimi tu umeteleza mdomoni. Labda alitaka kusema, "Yusufu" na mke wake.
Anyways, it's not a big deal.
Msikilize Ndugai halafu soma kitu Biblia inasema.He was talking about the distance they covered during that journey. Maybe he has visited Israel, so atakuwa anajua umbali waliotembea.
Kimtokacho mtu ndicho kiujazacho moyo wake. Huyu jamaa mambo ya ngono na wanawake ndiyo anayowaza 24/7Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareth kwenda mpaka Jerusalem kuhesabiwa na wakakosa mahali pa kulala, kutoka Jerusalem mpaka Bethlehem alipozaliwa Yesu, distance zote nazijua na umbali wake na jinsi ilivyokuwa" - JOB NDUGAI
Duuuh 😥😥😥😥
Huyu ni yeye kama yeye wala sio side effects za chanjo