Spika Tulia awatolea uvivu waliokebehi kifo cha Ndugai. Asema "Sisi tuko wengi kuliko nyinyi"

Israel mtoa roho tuongezee burudani, kiajuza hicho ni halali yako. DJ walete walete.
 

Viongozi sura zao zinaeleza jambo fulani,

Mbona hawana utulivu? Hawaangalii mbele, kila mmoja anahangaika kusoma kijitabu (sijui ndiyo ratiba), wanaangalia chini, vipi mbona kama wanaibu fulani?

Yaani Tulia anaongea lakini front bench wanaangalia chini, wame focus kusoma kijitabu (sijui ndiyo ratiba), hawamsikilizi/hawamwangalii akiongea,,,. Mambo ni mengi,,, time will tell.
 
Anatetea mfumo jike ili wanaume waendelee kulelewa na mishangazi.
 

Mjinga huyu binti. Wakati wanamtimua Uspika hawakuyajua hayo wanayoyasema leo....!!? Au kwa vile yeye ndiye aliyekuwa beneficiary wa mpango mzima?

Hao waliojitokeza na waliokuwa nyumbani wapi ni wengi?
 
Nimeliona hilo
 

Hii kauli ya spika haina afya kwa taifa letu, haijengi.

Taifa limegawanyika, viongozi ndiyo wawe mstari wa mbele kutuunganisha na si kutoa kauli za namna hiyo "eti sisi tupo wengi kuliko wao". Wanazidi kuharibu badala ya kujenga.

Kama viongozi mlipaswa kujiuliza kwa nini watu (hao unaosema wako wachache) wanabeza, wanakejeli, nk utagundua wamefikia hatua hiyo kwa sababu ninyi viongozi mmeamua kufanya mambo yenu binafsi kwa kuwaweka wananchi pembeni.

Viongozi wetu wamejawa na kiburi ndiyo maana hawapimi kauli zao, hawataki kuwasikiliza wananchi, wanashindana na yeyote mwenye hoja tofauti na wao.

Kauli kama hizi hazitawaleta watu pamoja na kuwa taifa moja bali ni kuzidisha sumu zaidi.

Lakini yote yana mwisho na taifa letu litabaki salama.
 
Umuhimu wa kuleta watekaji ili Tulia aendelee kuhonga bajaji mitaani ni dhambi isiyosameheka kwa Wazalendo.
 
Mambo mengine ni Bora Tulia anyamaze tu. Hii kauli yake itachochea zaidi moto. Ni vyema watafakari ni kwanini watu wanashangalia lakini kwa akili zao zinavyowapeleka watataka "kuwashughulikia"
 
naye ajirekebishe na kuungama hadharani vinginevyo siku yake watu watasherekea zaidi ya kwa ndugai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…