Spika Tulia awatolea uvivu waliokebehi kifo cha Ndugai. Asema "Sisi tuko wengi kuliko nyinyi"

Ndiyo maana Mungu alioona mbali sana akasema,"Ni marufuku Mwanamke kutawala " lakini ccm imekengeuka na kuwapa hawa wanawake utawala ili majizi kama Rostarm Azizi,Mwingulu Nchemba na Kikwete yajichotee utajiri wa Tanganyika bila shida yoyote.
 
Mambo mengine ni Bora Tulia anyamaze tu. Hii kauli yake itachochea zaidi moto. Ni vyema watafakari ni kwanini watu wanashangalia lakini kwa akili zao zinavyowapeleka watataka "kuwashughulikia"
Na wengine tayari wameshapotezwa.
 
Tulia yupo sahihi sana.Ni kweli kabisa watu wabaya ni wengi kuliko wema.

Just a point.
 
Washauri wa viongoz wanakaz ya ziada.
Huo msiba ni wa taifa na sio wa chama.
Bibi yetu makinda angalau aliongea vitu vilivyoendqna na tukio.
Dada Tulia Akson ajitahid kutulia kama lilivyo jina lake aache usichana na uanawake alitakiwa kujifunza kwa walio mtangulia kusema.
Pole kwa wanafamilia na watz wote.
 
Uwingi wa nguvu,ufuasi ama fweza na mafweza fwezaa,ama umiliki vyawa?
 
Ni spika wa bunge lipi? Bunge lilishavunjwa Tayari
 
Kifo ni kifo tu.
RIP Mzee Kibao hakika ulionewa sana ipo siku mungu atakulipia
 
Aisee mwenye ile clip Tulia akifanya mazoezi pale uwanja wa jamhuri akiwa amevaa tight flan hivi atuwekee , tafadhali
 
Ni kweli tuko wengi sn tutathibitisha Oktoba. Hayo misukule ni michache sn hayafiki ht 5%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…