Ukiona nchi ina ugaidi au uasi , usilamu magaidi au waasi , bali serikali ndo huandaa mazingira kwa ajili uasi au ugaidi kushamiri , yupo kijana kinyoz anajikuta mwez unaisha anamtafutia mwenye boma pia mabutcher pia wanaorusha muvi pia vitup vya afya vidogo private vya huko ndan ndan vinashindwa jiendesha sababu baadhi ya mashine za umeme hazifanyi kaz , hawa wote akisikia alshabib wanakulipa vzr haez endelea vumilia serikali ya kipuuz , SERIKALI ISILALE MUDA NI SASA , BAADAE ITAKUWA MAJOZI
 
Ukiwaona vile wamevaa suti zao aisee utasema tuna viongozi kweli.

Njoo kwenye kauli na vitendo aisee shetani ni bora.

Fikiria watu wangapi wanahitaji umeme kufanya shughuli zao na ukitazamia kuwa wengi wao hawamudu kununua majenereta.
 
Ipo siku waheshimiwa watapigwa makofi wanatuchukulia simple sana walipa kodi
Yale ya liberia mwaka 1980 yanaeza jirudia hapa bongo , serikali imelala sana na wanaolalamika hadi walio miongon mwao , MUDA NI MWL MZURI
 
Wako wapi wale maspika wanaojitambua?
Tulidhani jobo ndio worst spika kumbe .............
 
Hatuna serikali makini
Hatuna mihimili makini
Hatuna viongozi makini
 
Bunge wamechukua wap hayo maoni ya kuwaongezea muda wizara ya Nishati ? je walipiga kura bungeni ? viongoz washatudharau ila muda ukifika watalia na kusaga magego
 
Tulia ni spika mbovu kuwahi kutoa huyu kawa msemaji wa serikali.
 
Ukiwaona vile wamevaa suti zao aisee utasema tuna viongozi kweli.

Njoo kwenye kauli na vitendo aisee shetani ni bora.

Fikiria watu wangapi wanahitaji umeme kufanya shughuli zao na ukitazamia kuwa wengi wao hawamudu kununua majenereta.
Wabunge pamoja na supika hawajui kwamba umeme unachangia Sana kwenye Kodi ambayo ndio chanzo pekee Cha mapato Yao.
 
Habari njema ipi we jamaa!mbona unakua kama mpumbavu!we unaona mwezi wa sita ni karibu??vijana wengi ajira zao zinaathirika kwa ajili ya umeme mf saloon, fundi wa kuchomelea nk!halafu we unasema umeme kupatikana mpaka mwezi wa sita ni habari njema!
 
Kuna mambo hayapaswi kuvumiliwa mojawapo ni hili la umeme.

Lakini kuwavumila wapumbavu kama huyu jamaa humu jukwaani ni uzembe sana. Lucas ni mtu wa hovyo sana, analitumia jukwaa kujifunza propaganda.
 
Kaka eeh Kuna wakati Ni bora ukawa unanyamaza Tu
 
Habari njema ipi we jamaa!mbona unakua kama mpumbavu!we unaona mwezi wa sita ni karibu??vijana wengi ajira zao zinaathirika kwa ajili ya umeme mf saloon, fundi wa kuchomelea nk!halafu we unasema umeme kupatikana mpaka mwezi wa sita ni habari njema!
Hajawah kuwa na akil huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…