Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Wenyewe wananadi nchi imeendelea lakini kwa tatzo hili la umeme na mengineyo ni dhahiri bado tuna safari ndefu kama taifa.Ndugu acha tu. Msanii angetunga igizo kuhusu maneno na vitendo vya Serikali yetu, watu wakiona igizo hilo wangedhani ni igizo la kufikirika! Lakini Tanzania ni ukweli mambo haya yanatokea. Bunge na Serikali wanashindana kubebana na kulindana, na Mahakama pia na Vyama vya upinzani. Kisha hapo utegemee nchi hiyo iendelee. Labda kwa kutawaliwa tena!
Hizi taarifa za umeme tuendelee kuziona siasa zinatugharimu mno.