Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu aliwahi kusema bora kikao cha walevi kuliko kikao cha wanafikiAnawapongeza tena?
Mwanasiasa akikuambia huko nje jua ni kali sana, usimuamini hata kidogo toka nje uende ukahakikishe! Rais aliwapa TANESCO miezi 6 inayoishia Machi 2024 ili tatizo la umeme liwe limepatiwa ufumbuzi. Tukaona waziri mpya wa nishati akiteuliwa na kupewa unaibu waziri mkuu juu, ili aweze kuikabili changamoto hii.
Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson, amesema kuwa Bunge limewapa Tanesco muda kufikia mwezi wa sita mgao wa umeme uwe umeisha.
"Wacha tuipe serikali muda, kwa maana ipi wao walijipanga mwezi wa sita (shida ya umeme kuisha) wakarejesha nyuma mwezi wa pili, tunawapongeza sana na mmerejesha mpaka mwezi wa tatu kwa hizo mashine zote kukamilika, Bunge linawapa mpaka mwezi wa sita ili bunge linapokuwa hapa mgao uwe umeisha, tunawapongeza sana kwa kazi nzuri," - Spika wa Bunge
Pia soma:
- Naibu Waziri wa Nishati: Mgawo wa umeme nchini utaisha mwezi wa tatu
[emoji1] matapeli hawaKumbe sio leo tarehe 16 februali? Ama kweli mwanasiasa usimwamini hata kidogo!
Tukufu kwako labdaNdugu zangu Watanzania,
Bunge letu tukufu chini ya uongozi imara wa Nguli wa sheria kuwahi kutokea nyanda za juu kusini na Rais wa umoja wa mabunge Duniani, umeipa maagizo mazito serikali bya kuhakikisha kuwa ifikapo mwezi wa sita Mwaka huu basi tatizo na changamoto ya mgao wa umeme inafika tamati na kuwa mwisho na historia ya mgao wa umeme katika nchi hii ya asali na maziwa na ambayo Mungu ameijalia kila aina ya rasilimali na kila aina ya utajiri.
Bunge limetoa muda huo ambapo linaamini ni wakati huo ambapo mitambo yote katika bwawa la mwalimu Nyerere itakuwa imewashwa na kuanza kuzalisha umeme.
Nisiwe na maneno mengi na kuharibu habari hii njema kabisa kwa mamilioni ya watanzania wanyonge ambao wanaendelea kuwa watulivu na wenye subira kwa kila jambo linalokuja mbele yao.
Mgawo mpaka 2010Ndugu zangu Watanzania,

Wahuni hawaMwanasiasa akikuambia huko nje jua ni kali sana, usimuamini hata kidogo toka nje uende ukahakikishe! Rais aliwapa TANESCO miezi 6 inayoishia Machi 2024 ili tatizo la umeme liwe limepatiwa ufumbuzi. Tukaona waziri mpya wa nishati akiteuliwa na kupewa unaibu waziri mkuu juu, ili aweze kuikabili changamoto hii.
Sasa leo anakuja kiongozi wa muhimili mwingine, Spika wa Bunge, akitoa pongezi kwa jitihada zilizopo, na kisha kuongeza muda kwa shirika mpaka ifikapo Juni 2024. Mimi nafikiri kauli ya Rais inapaswa kuheshimiwa, kwa hiyo wizara yenye kubeba dhamana na uongozi wa shirika ufanye kila liwezekanalo angalau umeme uanze kuzalishwa katika Bwawa la Nyerere mapema iwezekanavyo kabla Machi 2024 ili kuzidi kumuheshimisha Rais wetu.
Kumbe sio leo tarehe 16 februali? Ama kweli mwanasiasa usimwamini hata kidogo!
Sasa maajabu yakaibuka baada ya tamko hilo la serikali kwa spika wa bunge, Dr. Tulia kusema kwa niaba ya bunge anaomba sana mgawo wa umeme uishe mwezi juni, 2024 badala ya mwezi machi, 2024 ambao serikali imehaidi.[emoji23]Siku ya jana, serikali bungeni iliamua kuweka msisitizo wa kauli ya Rais Samia aliyoitoa mwaka jana wa mgawo wa umeme kwisha kabisa kabisa mwezi machi, 2024. Naibu wa waziri wa Nishati aliweka bayana kuwa mpaka kufikia mwezi machi, 2024 hakutakuwa na mgawo wa umeme tena!
Sasa maajabu yakaibuka baada ya tamko hilo la serikali kwa spika wa bunge, Dr. Tulia kusema kwa niaba ya bunge anaomba sana mgawo wa umeme uishe mwezi juni, 2024 badala ya mwezi machi, 2024 ambao serikali imehaidi.
Kweli kuna bunge hapo?
Kweli tuna Spika mwenye akili timamu?
Ndugu acha tu. Msanii angetunga igizo kuhusu maneno na vitendo vya Serikali yetu, watu wakiona igizo hilo wangedhani ni igizo la kufikirika! Lakini Tanzania ni ukweli mambo haya yanatokea. Bunge na Serikali wanashindana kubebana na kulindana, na Mahakama pia na Vyama vya upinzani. Kisha hapo utegemee nchi hiyo iendelee. Labda kwa kutawaliwa tena!Wanajua michezo yao wachezavyo
Chanzo Cha matatizo yote ya nchi hii ni CCM