Mwanasiasa akikuambia huko nje jua ni kali sana, usimuamini hata kidogo toka nje uende ukahakikishe! Rais aliwapa TANESCO miezi 6 inayoishia Machi 2024 ili tatizo la umeme liwe limepatiwa ufumbuzi. Tukaona waziri mpya wa nishati akiteuliwa na kupewa unaibu waziri mkuu juu, ili aweze kuikabili changamoto hii.

Sasa leo anakuja kiongozi wa muhimili mwingine, Spika wa Bunge, akitoa pongezi kwa jitihada zilizopo, na kisha kuongeza muda kwa shirika mpaka ifikapo Juni 2024. Mimi nafikiri kauli ya Rais inapaswa kuheshimiwa, kwa hiyo wizara yenye kubeba dhamana na uongozi wa shirika ufanye kila liwezekanalo angalau umeme uanze kuzalishwa katika Bwawa la Nyerere mapema iwezekanavyo kabla Machi 2024 ili kuzidi kumuheshimisha Rais wetu.
 
Tukufu kwako labda

Ova
 
Mgawo mpaka 2010

Huko

Ova
 
Mgawo ulipoanza mwezi wa 9 mwaka jana serikali ilisema utachukua miezi 6 hadi mwezi Machi ndiyo mgawo utaisha sasa yeye anasema uishe mwezi wa 6 halafu anaipongeza serikali! Mbona sasa ni maajabu haya.
 
Wahuni hawa

Ova
 
Siku ya jana, serikali bungeni iliamua kuweka msisitizo wa kauli ya Rais Samia aliyoitoa mwaka jana wa mgawo wa umeme kwisha kabisa kabisa mwezi machi, 2024. Naibu wa waziri wa Nishati aliweka bayana kuwa mpaka kufikia mwezi machi, 2024 hakutakuwa na mgawo wa umeme tena!

Sasa maajabu yakaibuka baada ya tamko hilo la serikali kwa spika wa bunge, Dr. Tulia kusema kwa niaba ya bunge anaomba sana mgawo wa umeme uishe mwezi juni, 2024 badala ya mwezi machi, 2024 ambao serikali imehaidi.

Kweli kuna bunge hapo?
Kweli tuna Spika mwenye akili timamu?
 
Ujue na yeye anafahamu fika kuwa kwa March ni ndoto tatizo hilo kuisha isitoshe serikali imesema litapungua tu kwa March means litaendelea kuwepo.
 
Spika kwa hiyo kauli yake amethibitisha uwepo wa huu mgao wa umeme ni dili la wakubwa serikalini, nawaambia ukweli, hawa viongozi wajinga wanatuchezea akili makusudi kwasababu wameshajua sisi ni wajinga zaidi yao.

Kama leo tukiamua ujinga wetu ufike mwisho, tukafanya jambo fulani kuwaonesha sisi sio wajinga tena, nawaambia ukweli, huu mgao wa umeme utaisha rasmi kuanzia muda huo tutakaomaliza hilo jambo letu.

Haiwezekani tuwe na mgao wa umeme unaotafutiwa sababu mpya kila kukicha, wakati yule aliyetangulia kabla yake kwenye mazingira na miundombinu hiyo hiyo, aliweza kudhibiti mgao wa umeme haukuwa mkali kama huu, nasema tena; TUNACHEZEWA.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Sasa maajabu yakaibuka baada ya tamko hilo la serikali kwa spika wa bunge, Dr. Tulia kusema kwa niaba ya bunge anaomba sana mgawo wa umeme uishe mwezi juni, 2024 badala ya mwezi machi, 2024 ambao serikali imehaidi.[emoji23]
 
Wanawake ni wanawake tu hakuna wanaloweza zaidi ya kuongea na kuongea. Ni laana nchi kuongozwa na wanawake na ndio waTanzania mtie akilini kuongozwa na matundu badala ya kuongozwa na mkonga.
 
Wanajua michezo yao wachezavyo
Ndugu acha tu. Msanii angetunga igizo kuhusu maneno na vitendo vya Serikali yetu, watu wakiona igizo hilo wangedhani ni igizo la kufikirika! Lakini Tanzania ni ukweli mambo haya yanatokea. Bunge na Serikali wanashindana kubebana na kulindana, na Mahakama pia na Vyama vya upinzani. Kisha hapo utegemee nchi hiyo iendelee. Labda kwa kutawaliwa tena!
 
Chanzo Cha matatizo yote ya nchi hii ni CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…