Wenyewe wananadi nchi imeendelea lakini kwa tatzo hili la umeme na mengineyo ni dhahiri bado tuna safari ndefu kama taifa.

Hizi taarifa za umeme tuendelee kuziona siasa zinatugharimu mno.
 
Wanawake ni wanawake tu hakuna wanaloweza zaidi ya kuongea na kuongea. Ni laana nchi kuongozwa na wanawake na ndio waTanzania mtie akilini kuongozwa na matundu badala ya kuongozwa na mkonga.
Naunga mkono hoja. Wazungu wanasema "it's an abomination". Huyu na yule mwenzake nikiwaangaliaga huwa nasikia kichefuchefu
 
Lucas mwashambwa chawa kindaki ndaki unalizungumziaje hili
Tuendelee kuwa watulivu na wavumilivu na kuwa na imani na serikali yetu chini ya uongozi shupavu,imara na madhubuti wa mama yetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama samia suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
 
Heeeeeeeee
 
Wabunge pamoja na supika hawajui kwamba umeme unachangia Sana kwenye Kodi ambayo ndio chanzo pekee Cha mapato Yao.
Wanajua sana tu..sema jeuri na dharau kwa watu waliowafanya kuwa pale. Wanajua hakina wakuwafanya chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…