Spika Tulia: Tusichanganye Maadili ya Mtanzania na Imani za kidini. Lipi kosa la walimu waliosimamishwa kazi Kwa kucheza muziki? Warudisheni kazini

Nyege nyegezi [emoji1]

Na wao wanakatika na migenye

Ova
 
Spika anapenda kuona watoto wa wenzake wakiyarudi mauno

KUNA WANAFUNZI WENGINE WANAKATIKA MPAKA WALIMU WANAPAGAWA UJUEEE

KIFUATACHO,KUNYANDUANA

ova
 
Siyo kila nyimbo inapigwa kila mahali, watoto wanapaswa kufundishwa maadili mema, Maudhui ya ile nyimbo yanafaa watu walioko kwenye ma-bar na magenge mengine ya wahuni
Hakuna maadili mema wala mabaya.
Acha kupotosha JF.
Maadili ni maadili tu
 
Huyo badaye watoto zake akawapime

Ova
 
Siyo kila nyimbo inapigwa kila mahali, watoto wanapaswa kufundishwa maadili mema, Maudhui ya ile nyimbo yanafaa watu walioko kwenye ma-bar na magenge mengine ya wahuni
Neno 'mengine' likitafakariwa vizuri unamaanisha 'bar ni sehemu ya wahuni' Mbwa wee
 
Mkuu umeongea kitu kikubwa sana kinafanya mpka nione aibu
Ni ukweli mkuu, humu mimi huwa nakuwa makini sana. Kuna watu tangu kuzaliwa kwao hawakuwahi kufunzwa kuhusu maadili wala utaratibu. Ukijitahidi kuwaeleza kuhusu maadili watakushangaa.

Zipo familia ambazo binti kupita na kanga moja mbele ya baba yake ni jambo la kawaida na wala wote hawaoni tatizo. Na kuna familia ambazo kila mtoto ana bafu lake chumbani, akitoka kukutana na baba na mama anakuwa tayari amevaa nguo. Unafikiri hizi familia mbili tukianza kuongelea maadili zitakuwa na maoni sawa?
 

Mkuu punguza kupanic. Bold na hughe texts shows unepanic
 
Shule ni bure. Kuna garama kwenye bure. Hawa watu hawajali aisee.
 
Spika kafanya vizuri sana hongera kwake, kama ni swala la watoto kucheza muziki ni kosa mbona huko huko mashuleni huwa wanachezaga ngoma kipindi cha umitanshumnta tena wanafunga vikanga kifuani na viunoni na kukatika?

Swala la kuwafungia waalimu sio haki na kwa kiasi kikubwa imeleta sintofahamu sababu mashuleni huwa kuna matukio ya sherehe mbalimbali kama mahafali, welcome form one nk, sasa huko wapige kwaya au kaswida?

Muziki ni burudi na muziki ni ajira huenda ikawa katika kucheza vile kuna mtoto pale akaonekana akajikuta anapata ufadhili wa kusomeshwa shule ya muziki ili kuendeleza kipaji chake.

Kiukweli kuna muziki inamaadili yasiyofaa ni siyo vyema ikipigwa mazingira ya shule kwa kuwa hata tafsida haina lakini kwa huu wa Zuchu binafsi sijaona kama unamaneno yeyote makali tena kwa level ya primary wao hata maana ya honey hawaelewi wao walikuwa wanajiimbia tu na kunichezea.

Tusichanganye muda wa masomo na muda wa burudani kama wangecheza muda wa masomo tena darasani basi wangepaswa kuchukuliwa hatua ila kama ilikuwa ni tamasha sioni kosa lao, dunia ya sasa ni ya utandawazi kuna vitu ni ngumu sana kuvizuia bali tuweke mazingira rafiki na sheria na kananuni zetu zitazame pia nyakati.

Ukiangalia ile clip utaona karibu kila mwanafunzi alikuwa anaimba ule wimbo wa Zuchu hii inaonesha wanaujua na huwa wanaucheza huko makwao au hata hapo shuleni wanapokuwa kwenye mapumziko yao.
 
Siasa tupu mbona hizo nyimbo za ngono hazichezwi katika shule nzuri Kama Feza wanakosomama watoto wao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…