blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Prof wenu alikurupuka Sana... Hovyo kabisaa..HUYU MAMA AKAE KIMYA
Aibu yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Prof wenu alikurupuka Sana... Hovyo kabisaa..HUYU MAMA AKAE KIMYA
Nyege nyegezi [emoji1]Nakumbuka kuwahi kuwasikia wabunge wanawake wakati walipokuwa Rwanda kwenye michezo Fulani wakishangilia na kuomba wimbo wa Diamond uliopigwa marufuku wa nyege nyegezi.
Hawa wanasiasa nao ni tatizo kubwa. Maana kweli nyimbo zisizo na maneno mazuri huimbwa katika mikutano Yao ,haswa ya CCM.
Hawa walimu walionewa, na walipaswa tu kuelekezwa
Potelea mbaliHuwezi kumsimamisha mtu bila kumsikiliza. Viongozi hawajui taratibu za utumishi
Spika anapenda kuona watoto wa wenzake wakiyarudi maunoHopeless. Viongozi ndo chsnzo cha kuporomoka maadili ya watoto na vijana wetu. A PhD holder unaanzisha motion isiyo na mashiko. Kwa undani naona ni sababu ya Ukanda and nothing more. Waziri wa Elimu ndiye mwenye dhamana ya kusimamia Wizara,. Hivi kipindi Magufuli anaachisha kazi watumishi kwenye mikutano ya hadhara, Spika alikuwepo akakaa kimya. Leo anahoji the same scenario.
Nyie mikia mwezi wote huu tunawasamehe...Hawa walimu ingekuwa mimi ningewafukuza kabisa kazi. Ningekuwa tayari kupoteza uwaziri kwa sababu yao
Hakuna maadili mema wala mabaya.Siyo kila nyimbo inapigwa kila mahali, watoto wanapaswa kufundishwa maadili mema, Maudhui ya ile nyimbo yanafaa watu walioko kwenye ma-bar na magenge mengine ya wahuni
Acha mtoto wako aendele kukati na kucheza nyimbo hizo tuShule gani hizo
Huyo badaye watoto zake akawapimeMkuu, humu mitandaoni tupo watu wengi na tuna malezi tofauti tofauti sana. Kuna ambao tangu kuzaliwa kwao hawakuwahi kuwa na utaratibu wa kula mezani kama familia, Baba anajipakulia mwenyewe anaenda kula anapoona panafaa kulia hata nje kwa jirani. Mtoto anachota humo humo pengine hata kabla ya baba au mama na anaenda kulia chumbani. Ni vigumu sana kuanza kujadili kuhusu maadili na tukaelewana.
Labda tu nikuache na mtazamo wako, wewe endelea kuwafundisha watoto wako kukata viuno na kuwakaririsha nyimbo za Zuchu.
Neno 'mengine' likitafakariwa vizuri unamaanisha 'bar ni sehemu ya wahuni' Mbwa weeSiyo kila nyimbo inapigwa kila mahali, watoto wanapaswa kufundishwa maadili mema, Maudhui ya ile nyimbo yanafaa watu walioko kwenye ma-bar na magenge mengine ya wahuni
Watoto wengi sahv wanazibuliwa mapemaaaaMkuu umeongea kitu kikubwa sana kinafanya mpka nione aibu
HHaha mkuu kataja maskani ya Maji ya mende unayoyapendaNeno 'mengine' likitafakariwa vizuri unamaanisha 'bar ni sehemu ya wahuni' Mbwa wee
Acha usenge bro!Hawa walimu ingekuwa mimi ningewafukuza kabisa kazi. Ningekuwa tayari kupoteza uwaziri kwa sababu yao
Mkuu umeongea kitu kikubwa sana kinafanya mpka nione aibu
Kama zipo basi zivunjwe. Hakuna wanalofanyanafikiri unafahamu juu ya kamati za madili kwa viongozi
Ni ukweli mkuu, humu mimi huwa nakuwa makini sana. Kuna watu tangu kuzaliwa kwao hawakuwahi kufunzwa kuhusu maadili wala utaratibu. Ukijitahidi kuwaeleza kuhusu maadili watakushangaa.
Zipo familia ambazo binti kupita na kanga moja mbele ya baba yake ni jambo la kawaida na wala wote hawaoni tatizo. Na kuna familia ambazo kila mtoto ana bafu lake chumbani, akitoka kukutana na baba na mama anakuwa tayari amevaa nguo. Unafikiri hizi familia mbili tukianza kuongelea maadili zitakuwa na maoni sawa?
Kwanini...? Huyu ni Spika Bunge siyo mama TU.HUYU MAMA AKAE KIMYA
Mkuu punguza kupanic. Bold na hughe texts shows unepanic