Spika Tulia: Tusichanganye Maadili ya Mtanzania na Imani za kidini. Lipi kosa la walimu waliosimamishwa kazi Kwa kucheza muziki? Warudisheni kazini

Huyu nae anaongea ujinga,sio Kila wimbo unatakiwa kuimbwa kwenye mazingira ya kufundishia na kulelea Watoto.

Watu wacheze na kuimba maeneo husika na sio Shuleni.

Waziri Yuko sahihi Kuwashughulikia wahusika.

Ingekuwa ni shule zinazofundisha muziki pengine inge make sense lakini napo ni lazima aina ya muziki izingatiwe Kwa sababu za kutunza Maadili, Watoto wa Leo ndio Wazazi wa kesho.
 
Huyu Mama ana akili, hili Jumba la ccm ndo linaharibu watu.
 
Watu walioko kwenye Sanaa kuanzia Serikalini na wasanii wenyewe hawayajui haya Ili wasaidie jamii na industry?
 
Wimbo hauna Maadili Kwa level ya Watoto sio watu wazima.

Mambo ya kampeni sijui nini hayahusiani na maeneo ya shule waliko Watoto.

Wewe kama unaona sawa weka wimbo wa honey uwe unacheza na Watoto wako ndani.
 
Mikutano ya ccm Huwa ni maalumu Kwa Ajili ya Watoto? Hapa mpumbavu ni wewe au Prof?

Shule ndio kunatamiwa kupigwa nyimbo za kina Zuchu na zingine za kipuuzi kama hizo?
 
View: https://twitter.com/uhalisiaonline/status/1721711197643214960?t=HbpVeca6FGdBi4Etbh1Dfg&s=19
 
Huyu unayemjibu anachanganya na udini ndo maana hawezi kumwelewa spika
 
Ajabu ni kwamba Waziri atasanda kwa Spika, halafu ataendelea kung'ang'ania cheo chake...

Wakati nchi za watu kiongozi mwenye ako na akili nzuri, angemjibu spika kwamba yeye sio waziri wa hao wabunge na viongozi wanaocheza miziki wanayoijua wao bali yeye kapewa dhamana kulinda maadili ya kielimu ya mtoto wa Kitanzania...
 
Kwanini...? Huyu ni Spika Bunge siyo mama TU.
Kidomodomo sana. Ukiacha madawa ya kisafa na kinyakyusa anayotegemea hana jipya. Integrity ya nchi imeshuka na kuonekana ya kike kike kila kona. Tangu aingie uspika bungeni, hakuna mjadala na mswada wa maana uliopitishwa. Bunge limekosa hata meno kuwWajibisha wezi wa fedha za umma, It is a shame. PhD holder unadandia vistory vya vijiweni vya kina Zuchu,hopelesss.
 
Huyo ni mcha Mungu tena m- TAG, ama mlokole hivyo suala la madawa hapo halipo, ni maombi kwa kwenda mbele.. ukiona unakerwa nae huenda una roho chafu ndani yako ama pèpo.. liambie ' pepo tokaaa'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…