Yaan kwa kweli, sijui awe ana maanisha, na vitendo afanye pia.Tangu amekuwa Rais wa IPU amekuwa na maamuzi ya Akili sana hata jana alimnyamazisha mwigulu akamwambia wabumhe wakillamika kuibiwa sio uongo hela kweli zimeibiwa...
Walimu ni kundi la watumishi linaloonewa na kukandamizwa sana na wanasiasa maamuma.Amesema hayo akihoji kuhus Njia iliyotumika Kuwasimamisha walimu hao,Bila ya kufuata utaratibu wa kinidhamu wa kiutumishi,Hata hivyo ameongeza na kusema kuwa lisionewe kundi fulani tu kwani hata baadhi ya wabunge pia nao wanacheza miziki hiyo..
"Wapo mawaziri humu ndani na sisi wabunge huwa tunacheza mziki na hao wanafunzi, Tufafanuliwe hapa ili watu wajue nini cha kufanya la sivyo tutaendelea kucheza huo mziki na watoto wakiwepo shuleni alafu tutawapomza wale ambao watatakiwa kuchukuliwa hatua ,kwahiyo ni muhimu muwe na hatua zaidi ya hapa ili watu wote wawe na uelewa ni miziki gani inachezwa na ipi haichezwi itasaidia sana,Lakini tusiingize Huko hisia za kidini tusichanganye Imani ya dini na maadili ya mtanzania tusivichanganye" amesema Dkt tulia Ackson spika wa bunge la Muungano leo bungeni
hata hivyo aliendelea kumhoji waziri Njia iliyotumika kuwasimamisha walimu wao kazi na akasema kuwa njia hiyo haikuwa na usawa hivyo ameomba warudishwe makazini na njia sahihi zifuatwe
View attachment 2806039
View attachment 2805928
Wimbo shule haupigwi ila nyumbani unapigwa na mauno yanakatwa.Siyo kila nyimbo inapigwa kila mahali, watoto wanapaswa kufundishwa maadili mema, Maudhui ya ile nyimbo yanafaa watu walioko kwenye ma-bar na magenge mengine ya wahuni
Na Mungu alijua tuHawa walimu ingekuwa mimi ningewafukuza kabisa kazi. Ningekuwa tayari kupoteza uwaziri kwa sababu yao
Yeah mkuu kwa sababu BASATA Hawana mfumo huo hapo wa kwanza kiwajibika angekuwa BASATA na wizara ya Michezo kwa ujumla kwa sababu wameshindwa kufanya Censorship ya nyimbo ambazo hazina maasili kama sio kuzifungia kabisa au kuna double standard kwenye kufungia nyimbo zinaangaliwa zinazopinga serikali tu?Hata bila Spika kuhoji,yeye Kwa akili yake anaona ni sawa kuimba wimbo huo Shuleni?
Mdau kasema hapo tuwe na versio mbili za public na parental
Hilo lilikuwa jibu la mtu aliyeuliza kuwa watoto wangu nitawaambia wasikilize hiyo nyimbo?Ni watu wazima,hao wa Shule ni watu wazima?
Na hapo ndio changamoto...Ni kweli Kuna viongozi hawatofaitishi kati Imani au maadili ya kidini na maadili ya jumla ya Mtanzania
Lilikuwa ni swali la Mbunge aliuliza kwahyo na yeye akaamua kuchagiza..angalia atached video utaelewa..hata ya CAG pia amegongelea msumali na kasema kuna pesa kweli zimeibiwaKidomodomo sana. Ukiacha madawa ya kisafa na kinyakyusa anayotegemea hana jipya. Integrity ya nchi imeshuka na kuonekana ya kike kike kila kona. Tangu aingie uspika bungeni, hakuna mjadala na mswada wa maana uliopitishwa. Bunge limekosa hata meno kuwWajibisha wezi wa fedha za umma, It is a shame. PhD holder unadandia vistory vya vijiweni vya kina Zuchu,hopelesss.
Huu ni ukweli sana unakuta eti mpaka mwenyekiti wa mtaa na kitongoji anawakoromea walimu na anajifanya boss wake tukiamua kuwatetea kuna watu wanakuja juu wanataka walimu waendelee kuonewa hii sio sawa...Walimu ni kundi la watumishi linaloonewa na kukandamizwa sana na wanasiasa maamuma.
nafikiri ifike mahali iwe ni marufuku miziki ya kidunia mashuleni
Spika yupo sahihi wanaopasa kutimuliwa ni wale waliouruhusu huo wimbo uendelee kuwepo Nchini bila kuufungia !!Amesema hayo akihoji kuhus Njia iliyotumika Kuwasimamisha walimu hao,Bila ya kufuata utaratibu wa kinidhamu wa kiutumishi,Hata hivyo ameongeza na kusema kuwa lisionewe kundi fulani tu kwani hata baadhi ya wabunge pia nao wanacheza miziki hiyo..
"Wapo mawaziri humu ndani na sisi wabunge huwa tunacheza mziki na hao wanafunzi, Tufafanuliwe hapa ili watu wajue nini cha kufanya la sivyo tutaendelea kucheza huo mziki na watoto wakiwepo shuleni alafu tutawapomza wale ambao watatakiwa kuchukuliwa hatua ,kwahiyo ni muhimu muwe na hatua zaidi ya hapa ili watu wote wawe na uelewa ni miziki gani inachezwa na ipi haichezwi itasaidia sana,Lakini tusiingize Huko hisia za kidini tusichanganye Imani ya dini na maadili ya mtanzania tusivichanganye" amesema Dkt tulia Ackson spika wa bunge la Muungano leo bungeni
hata hivyo aliendelea kumhoji waziri Njia iliyotumika kuwasimamisha walimu wao kazi na akasema kuwa njia hiyo haikuwa na usawa hivyo ameomba warudishwe makazini na njia sahihi zifuatwe
View attachment 2806039
View attachment 2805928
Spika yuko sahihi, kama wimbo huo hauna maadili kwanini BASATA wameupitisha upigwe kwenye jamii? Hao walimu walikuwa wameonewa , pia ikumbukwe hapo shuleni kulikwa na hafla ndo mziki huo ukapigwa je walimu wangezuia watoto wasicheze? Darasa la 7 Huwa wana graduation zao na huwa wanacheza miziki hiyo hiyo na wanafanyia shuleni.Jamani,huyo hana tofauti na yule naesikia anavunja nyumba za watu jijini kisa wakazi. Mwalimu mkuu,hajatunga wimbo,hajausambaza. Mwalimu,siyo DJ. Labda kama aliomba upigwe,hapo ntaunga mkono wa kumshusha cheo na kuchukuliwa hatua za kinidhamu ingekuwa poa. Lakini, maadili mnayolilia siku hizi yako wapi? Bungeni kwenyewe wanatoleana maneno ya aibu,mtu mzima anaetazama hilo bunge anajifunza nini? Siku hizi,walimu hao ni vitoto vidogo vya umri sawa na wa wanafunzi. Kumbukeni,ni wa hiki kizazi kisicho na maadili. Kwanza,hiyo BASATA ina kazi gani? Kama taarifa gazetini kwanza inahaliliwa,kwa nini hata hiyo BASATA isingekuwa na kamati ya kuelekeza wasanii na kuwakosoa!! Kizazi cha kihuni,kinapenda maneno ya kihuni. Ili msanii auze,lazima atumie maneno hayo hayo. Bahati mbaya hawa watu wenye vipato cyao,hakika watoto wao hawachezi. Lakini angeingia mitaa ya kiswahili aangalie huo wimbo unavyochezwa na vitoto vidogo,unajiuliza haka kakifikisha miaka 10 itakuwaje! Vigodolo vimeanzia miaka 3 na kuendelea sasa
Hili ni swala mtambuka Maana lina miaka zaidi ya 30Nje ya mada kidogo
Hivi suala la Mdundo wa Taifa limefikia wapi pamoja na vazi la Taifa
Ndiyo maana kasema warudishwe kazini HALAFU NJIA SAHIHI ZIFUATWE..!! Wale walimu wakishitaki kuhusu utaratibu itakuwaje..!!?? Sababu kama hizi ndo zinatufanya hadi leo tunalimwa mafaini kisa kuna mtu mmoja hakufuata taratibu kwenye kuvunja mikataba iliyopo kisheria.Siyo kila nyimbo inapigwa kila mahali, watoto wanapaswa kufundishwa maadili mema, Maudhui ya ile nyimbo yanafaa watu walioko kwenye ma-bar na magenge mengine ya wahuni
Msamehe, hajaelewa kisa cha mkasa unaozungumziwa.Kwani kakosea kipi mkuu 😅😅
Makasiriko yako ya kukosa ajira usiyalete kwa walimu mkuu,,, we pambana na hali yako...Hawa walimu ingekuwa mimi ningewafukuza kabisa kazi. Ningekuwa tayari kupoteza uwaziri kwa sababu yao
Mimi kama 'DJ' hapa nimekuelewa zaidiWanavyofanya wenzetu ambao wametutangulia katika mambo haya ni hivi.
Wasanii wanarekodi nyimbo zenye versions tofauti, version moja inakuwa ni ya "explicit lyrics" wanaweza kununua wanaopenda. Hii inakuwa na maneno makali yote. Ni kwa ajili ya wakubwa, haitakiwi kupigwa redioni wala sehemu yoyote public kwenye watoto.
Hata ukinunua CD utakuta imeandikwa "Parental Advisory. Explicit Lyrics".
Version nyingine inakuwa "radio version", hii inakuwa imeondolewa maneno makali. Inaweza kupigwa redioni au sehemu zenye watoto.
Hapo msanii hajaondolewa uhuru wake wa kisanii, na jamii haijalazimishwa kusikia maneno makali pale pasipostahili.
Tatizo, huko Tanzania, kwenye nyimbo zenye maneno makali, hatuna kitu kinaitwa "radio version". Kila wimbo ni "explicit lyrics" version inapigwa sehemu zote, kuanzia redioni mpaka shuleni.
Mbona hata huku mtaani walipo hao watoto hii nyimbo hupigwa ?....au maadili yanatakiwa yawepo shule tu ?Wimbo hauna Maadili Kwa level ya Watoto sio watu wazima.